rais samia suluhu hassan

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Kwako Rais Samia kuhusu uhamisho wa mtoto kutoka shule binafsi kwenda ya umma

    Kwa Heshma na Taadhima Nakuandikia ili Ufahamu kero inayowakumba baadhi ya watu katika Mada tajwa hapo juu Ninaye mdogo wangu kutokana na mazingira aliyokuwa nayo Alipelekwa shule binafsi mpaka alipomaliza KIDATO cha pili na kufanya mtihani wazazi wakayumba kimaisha na kupelekea kutokuweza tena...
  2. I

    Wananchi wa Tanzania tunakupongeza Rais Samia kwa mazuri unayoyatenda

    Wananchi wa Tanzania tunakupongeza kwa mazuri ambayo unayatenda. Usikatishwe tamaa na kelele sisi tulioishi muda mrefu na kujua mwenendo wa nchi tunakuona unaenda vyema sana. Furaha, amani, mshikamano miongoni mwa watanzania ni wa hali ya juu. Uhuru wa kuabudu, uhuru wa kutoa maoni, hata uhuru...
  3. Roving Journalist

    Mazishi ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Hayati Edward Lowassa, Februari 17, 2024

    Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Zamani wa Monduli (CCM) Hayati Edward Lowassa anazikwa leo Nyumbani kwake, Monduli. Mazishi haya yamehudhuriwa na viongozi wakuu wa Nchi wakiongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan. https://www.youtube.com/live/v2qFUEf1N_s?si=0DxihDr8JzbqfhH_ Waombolezaji wametoa...
  4. Mjanja M1

    Rais Samia aalikwa na Baba Matakatifu Francis Mjini Vatican kwa mazungumzo rasmi ya siku mbili

    Kufuatia mualiko wa kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani na nchi ya Vatican Papa Francis, Rais Samia Hassan atafanya ziara ya kitaifa tarehe 11 hadi 12 Februari, 2024. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January...
  5. Kingsmann

    Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi leo tarehe 18.12.2023

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi kama ifuatavyo: A: Uteuzi na Utenguzi i) Amemteua Balozi Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini...
  6. Stephano Mgendanyi

    Jimbo la Ushetu: Wananchi wa Ukune, Ushetu Wampongeza Rais Samia Suluhu Hassan

    📍 Jimbo la Ushetu: Wananchi wa Ukune, Ushetu Wampongeza Rais Samia Suluhu Hassan 🏥🚑🤰🏽🧑🏽‍🍼 ▪️Wananchi wa Ukune,Ushetu Wampongeza Rais Samia Suluhu Hassan ▪️Mbunge wa Ushetu Mhe. Emmanuel Cherehani azidi kukonga nyoyo wananchi wa Ushetu Wananchi wa Kata ya Ukune katika Halmashauri ya Ushetu...
  7. ChoiceVariable

    Anga la Tanzania ya Samia linazidi Kufunguka. Bado Mikoa 7 tu Kupata Uwanja wa Kisasa wa Ndege

    Naendelea kuwakumbusha kazi nzuri na ya kutukuka inayofanywa na Serikali ya awamu ya 6 Chini ya Mama wa Vitendo Rais Dr Samia. Serikali ya mama imekamilisha ujenzi wa viwanja kadhaa vya ndege vikiweno vifuatavyo; Songwe Airport Mbeya Songea Airport Ruvuma Chato Airport Geita Dodoma Airport...
  8. ChoiceVariable

    Mlio jirani na Rais mshaurini; ni sawa kutoa zawadi lakini kutapanya pesa nyingi kiasi hiki hapana!

    Juzi hapo eti Rais akitoa mil. 500 Kwa Taifa Stars kuingia Afcon, Leo tena eti anatoa mil. 92 Kwa Ndondo Cup. Hata Kama ni Kuunga mkono Michezo,kutapanya pesa za Walipakodi Kwa wingi huu Haikubaliki. Matokeo yake badala ya watu kufurahia inatuma ujumbe wa Moja kwa Moja kwamba anatumia pesa za...
  9. msuyaeric

    Teuzi Mpya: Rais Samia na falsafa ya kimageuzi kwa Watumishi wa Umma

    Na Mwl Udadis, Buza kwa Lulenge Moja ya falsafa ngumu katika uongozi ni uwezo wa kuongoza watu kimageuzi. Rais Samia anaendelea kuiishi falsafa hii kwa weledi na umahiri wa hali ya juu. Nafasi za teuzi siku zote ni dhamana katika kuwatumikia watanzania, dhamana hii inaweza kukabidhiwa kwa...
  10. Mi bishoo tu

    Najisikia amani kuwa chini ya utawala wa Rais Samia Suluhu hassan

    Huyu mama namkubali sana pamoja na mapungufu yake kama binadamu naona kamzidi mbali mbali sana mtangulizi wake hayati John Pombe Magufuli.Jpm alikuwa anakopa ila akiwa na kipaza sauti anasema serikali inajenga miradi Kwa pesa za ndani.Mama ni muwazi,tunajenga hiki Kwa pesa za wahisani,full...
  11. U

    Rais Samia una Mkataba na Watanzania milioni 60 na sio wateule wako wasiozidi 300. Chukua hatua kabla hujachelewa

    1. Sasa ni wazi na hakuna ubishi tena, kuwa Mama Samia Suluhu Hassan zinakuja kelele kubwa sana kukuzomea kuwa, umeshindwa kuongoza nchi hii...! 2. Ni dhahiri shahiri kuwa, wewe Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT unawaogopa kuwawajibisha wateule wako wanaoshindwa kutenda wajibu wao na ambao...
  12. Roving Journalist

    Rais Samia ashiriki Mkutano wa wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu, leo Julai 26, 2033

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) tarehe 26 Julai, 2023 jijini Dar es Salaam. === Rais Samia anazungumza Ninayo furaha kubwa...
  13. The Sunk Cost Fallacy 2

    Tanzania yapanda viwango vya Udhibiti Rushwa Afrika, yawa ya 14 kutoka 19

    Jihudi za Kukabiliana na Rushwa za Serikali ya awamu ya 6 Zinazidi kuzaa matunda baada ya Tanzania kuzidi kufanya vizuri. Kwa mujibu wa jaridi la Transparency International linaloangazia masuala ya Rushwa,Tanzania imeendelea kufanya vizuri katika kudhibiti Rushwa kutoka kuwa ya 19 mwaka 2021...
  14. U

    Sekeseke la mkataba wa Bandari za Tanganyika kuuzwa kwa waarabu linaendelea. Je, Bunge limefuta Hansard za majadala wa kupitisha azimio kuunga mkono?

    Huku ma RCs na DCs wakiwa wamepewa maagizo ya kusafisha "image" ya Rais Samia Suluhu Hassan iliyochafuliwa na vumbi la tope la mkataba wa ovyo la kukodisha/kubinafsisha bandari zote za bahari na maziwa makuu yote ya Tanganyika akiziacha za kwao Zanzibar, inasemekana kuwa kumbukumbu (hansard) za...
  15. peno hasegawa

    Ninampongeza Rais Samia Suluhu Hassan

    Mama Anaupiga mwingi. Kila Hilo 20milion, Hawa wanao wametoka shule waangalie Usafiri wao.
  16. LICHADI

    Rais Samia naskia upo JamiiForums, basi pitia hapa

    Mama ili Nchi iendelee inatakiwa watu walipe kodi ila lazima uangalie namna unavyowakamua wananchi wako namna unavyowaumiza na sio kuwadai kodi kwa mabavu Mama mtu anaagiza mzigo China ukifika Bandarini analimwa kodi kubwa alatu mtu huyo huyo akifikisha mzigo wake store bado mnataka alipe kodi...
  17. Dira Yetu

    SoC03 Tujibu Ripoti ya C.A.G

    Ripoti ya mwaka ya Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya Tanzania kwa mwaka wa fedha 2021/22, ilibainisha mapungufu mbalimbali katika nyanja tofauti za uendeshaji wa Serikali. Hii ni ishara tosha kuwa, kuna haja ya kutafuta njia mbadala na makini za kutatua changamoto hizo ili...
  18. JackisonDubai

    Zitto Kabwe, kwanini hauchambui upungufu wa Dola Tanzania?

    Zito Kabwe mchumi aliyejipatia umaarufu Kwa kuchambua mwelekeo na udhaifu mbalimbali kwenye serikali ya CCM lakini safari hii amegeuka bubu ghafla kwani mdomo umejaa asali ambayo itampalia kama atathubutu kupanua mdomo wake. Serikali ya Rais Samia imekumbwa na uhaba mkubwa wa hifadhi ya Dola...
  19. F

    Rais Samia, zile milioni 10 kwa kila goli achana nazo, toa ndege zipeleke washangiliaji

    Yanga kuitetemesha Afrika. Namshauri Rais zile 10 ml kwa kila goli aachane nazo badala yake atoe ndege za Dreamliner 2 zipeleke washangiliaji kwy fainali kuwatia hamasa Mayele na Morisson ili walete kombe Tz. Fan wa taifa stars mwenye uzalendo mkali kwa taifa. Sent from my SM-A260F using...
  20. benzemah

    Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa SADC

    Rais wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Organ Troika, SADC Troika na Nchi zinazochangia Vikosi vya Jeshi katika Force Intervention Brigade (FIB) Windhoek nchini Namibia tarehe 08 Mei...
Back
Top Bottom