football

 1. The Boss

  Kenyans love gossiping than football...

  Mpaka wanaume wanapenda gossiping than football. Sijasema mimi, Mkenya huyu anasema..
 2. Kapepo

  SRL football (Simulated Reality League)

  Habari wadau naomba kufahamu kiundani juu ya huu mchezo nani ambaye anakuwa anachezesha binadamu wa kawaida au ni computer ndio inakuwa inacheza tu yenyewe?
 3. Sky Eclat

  Ile Football Match ya Bush Stars na Born Towns

  Lord Lofa: Nijichane na mamisosi ili nivimbe ki roho mbaya uwanjani na watemi wao wa Bush lazima waipate. Ndumilakuwili: Alafu wabebe mzigo wa magoli. Lord Lofa: Usikete ujinga na mzigo wa kushangilia nani ataubeba?
 4. M

  Tuna Magari ya kukodisha

  Habari ndugu jamaa na rafiki. Kampuni ya SHALOM CAR HIRE AND TOUR tunakodisha magari kwa ajili ya shughuli za mjini Dar es salaam za kazi, tours, msiba, harusi,sendoff na kwa taasisi yoyote iliyo tayari kufanya kazi nasi. Magari ni kama vile VX,TX,GX, PRADO,VANGUARD, RANGE ROVER SPORT &...
 5. Sinister

  Drogba slams racist COVID-19 comments.

  Drogba slams racist COVID-19 comments Apr 3, 2020 - 01:32 pm By Lorenz Kohler INTERNATIONAL Football legends Didier Drogba and Samuel Eto'o have slammed comments made by two French doctors that COVID-19 vaccines should be tested on Africans first. Drogba labelled the suggestion as taking...
 6. S

  Heri ya kuzaliwa Cristiano Ronaldo, hakika ulimwengu wa soka unajivunia uwepo wako

  Leo ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa ya Mshambuliaji wa club ya Juventus Cristiano Ronaldo ambaye ametimiza miaka 35. Mshambuliaji huyu ni miongoni wa wanasoka mahiri walio na wafuasi wengi zaidi ambao wengine wanadai kuwa ndio mchezaji bora wa muda wote kwao. Katika miaka 18 ya uchezaji wake...
 7. kasulavenance

  NATAKA KUSAJIRI FOOTBALL ACADEMY ANAYEJUA UTARATIBU UPOJE?

  Naomba msaada kwa anayejua utaratibu gani unatumika kusajiri football academy.
 8. Pierre2017

  Wenye Uzoefu na kubet football tushauriane hapa

  Habari!Nimekutana na jamaa mtandaoni anasema anauza matokeo ya mechi zilizonunuliwa,yani kuna mechi matokeo yake yanafamahika kabla hazijaingia uwanjani naskiaga hii kitu ipo kwa wenzetu wa nchi za njee kwasbb wao wanawekeza pesa nyingi kwenye huu mchezo..swali langu ni je haya ni ya kweli!?kuna...
 9. Tz boy 4tino

  Rangi yake Sadio Mane ndiyo iliyomkosesha Ballondoir

  Ballondoir ya mwaka huu imekuwa ya utata sana kama zilivyokuwa nyingine za miaka ya karibuni. Mshindi wa Ballondoir wa mwaka 2019( Lionel Messi) naye ameshindwa kukaa kimya na kukiri kuwa Mchezaji Sadio Mane alistahili tunzo hiyo. Messi alizungumza hayo alipohojiwa na gazeti la Marca baada ya...
 10. Titicomb

  Shabiki wa Liverpool wampa jina jipya mchezaji Kun Aguero

  Habari wadau wa michezo? Mashabiki wa damu wa Liverpool wana hasira sana na Aguero sababu ya unyama anao watendea mara kwa mara wakati timu yao LFC inapokutana uwanjani na Manchester City FC. Sasa katika kupoza machungu na kushangilia hasimu wao kupoteza pointi 2 jana tarehe 17/08/2019 Man City...
 11. lembu

  Sadio Mane: My parents told me pursuing football was a waste of time

  Sadio Mane (Liverpool star) said that his parents have been telling him pursuit football career was a waste of time, right up until he signed his first contract in 2011 with Metz, before moving to Red Bull Salzburg and Southampton prior to his Liverpool switch. Mane, 26yrs old, has developed...
Top Bottom