Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,722
45,130
Ukija uwanja wa Taifa ukiwa umevaa jezi ya Mamelodi Sundowns lazima utuoneshe passport ya Afrika Kusini na ukiwa na jezi ya Al Ahly utuoneshe passport ya Misri, nje na hapo Polisi watakuchukua ukapumzike” Damas Ndumbaro, Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo.

Yapi maoni yako?

Huyo mpumbaff ameshindwa kuipandisha daraja majimaji ya kwao songea
 
Hayo mambo yanafanyika kwenye mikutano ya siasa. Kwenye mkutano wa chama fulani hutakiwi kwenda na mavazi yanayotambulisha itikadi ya chama shindani.

Mpira ni burudani, mpira ni furaha + ubunifu pia.
Ndiyo maana kuna watu wanatengeneza propaganda ambazo zina"boost" biashara zao ikiwamo mauzo ya jezi.
Haijalishi ni jezi za timu gani.

Kuna wakati tulifurahi sana kuona timu zetu zina mashabiki huko ng'ambo walikoenda kucheza. Kungekuwa na sheria au amri za kishenzi tusingewona wala kuwatambua.

Timu zetu zifanye vizuri ili watakaovaa jezi za Mamelod na Al Ahly waambulie aibu baada ya matokeo.
 
Wazir Ndumbaro mara nyingi amekuwa akionyesha uwezo mdogo Sana kwenye reasoning.
Inasemekana NI mwanasheria . Ajabu Sana hii.

Adhibitiwe mapema maana Kwa uropokaji huu na polisi tulionao inaweza kuwa vurugu kubwa siku ya mechi.

Suluhu ni Yanga na Simba kuhamasisha mashabik wao kununua mapema na Kwa wingi tiketi ili kutawala uwanja siku ya mechi.
 
Back
Top Bottom