Falsafa za 4R za Rais Samia ni msingi wa siasa safi na demokrasia. Je, zijumuishwe kwenye mtaala wa elimu na kuanza kufundishwa mashuleni?

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
2,590
4,602
Najaribu kutafakari namna ya kutoka na picha kubwa kwenye falsafa za 4R za Rais Samia. Kwa kuwa falsafa hizo zimejikita zaidi katika misingi ya siasa bora na demokrasia, Je sio vema zikajumuishwa kwenye mtaala wa elimu ili zianze kufundishwa mashuleni?

Najaribu kutafakari Zaidi kuhusu matokeo ya kufanya hivyo:

Tutajenga siasa za kutumia maridhiano kama muafaka. Hapa tutaepukana na migogoro ya kisiasa yenye kuleta misuguano na migongano na machafuko ya kisiasa.

Tutajenga siasa na mfumo wa kidemokrasia wenye kuhimiza Uvumilivu na kuvumiliana kwa Imani na itikadi za kidini, kisiasa na kikabila. Hapa hatutaona wala kusikia udini au ukabila ukitumika kama nyenzo ya kisiasa.

Tutajenga siasa na mfumo wa kidemokrasia ya maboresho na mabadiliko mbalimbali ya kijamii, kisera, kisheria na kimfumo. Hapa tutaona mifumo ya utoaji na usimamizi wa haki ikiwa imara na madhubuti.

Tutajenga siasa na demokrasia yenye msingi au misingi ya kuhimiza ujenzi wa Taifa na kuenzi utaifa wetu. Hapa tutaona kuimarika Kwa uzalendo.

Kama falsafa za 4R za Rais Samia zikajumuishwa kwenye mtaala wa elimu na kuanza kufundishwa mashuleni inaweza kusaidia kufikisha mbali zaidi
 
Wewe ndiye yule yule mfuasi mnazi wa Jiwe?
 
TANZANIA ni Moja ya NCHI zenye KIWANGO kidogo cha DEMOKRASIA
KATIBA MPYA INAOGOPWA kama Ukimwi na Watawala
-666791316.jpg
 
Najaribu kutafakari namna ya kutoka na picha kubwa kwenye falsafa za 4R za Rais Samia. Kwa kuwa falsafa hizo zimejikita zaidi katika misingi ya siasa bora na demokrasia, Je sio vema zikajumuishwa kwenye mtaala wa elimu ili zianze kufundishwa mashuleni?

Najaribu kutafakari Zaidi kuhusu matokeo ya kufanya hivyo:

Tutajenga siasa za kutumia maridhiano kama muafaka. Hapa tutaepukana na migogoro ya kisiasa yenye kuleta misuguano na migongano na machafuko ya kisiasa.

Tutajenga siasa na mfumo wa kidemokrasia wenye kuhimiza Uvumilivu na kuvumiliana kwa Imani na itikadi za kidini, kisiasa na kikabila. Hapa hatutaona wala kusikia udini au ukabila ukitumika kama nyenzo ya kisiasa.

Tutajenga siasa na mfumo wa kidemokrasia ya maboresho na mabadiliko mbalimbali ya kijamii, kisera, kisheria na kimfumo. Hapa tutaona mifumo ya utoaji na usimamizi wa haki ikiwa imara na madhubuti.

Tutajenga siasa na demokrasia yenye msingi au misingi ya kuhimiza ujenzi wa Taifa na kuenzi utaifa wetu. Hapa tutaona kuimarika Kwa uzalendo.

Kama falsafa za 4R za Rais Samia zikajumuishwa kwenye mtaala wa elimu na kuanza kufundishwa mashuleni inaweza kusaidia kufikisha mbali zaidi
Mtaala my foot!! Kwa mfumo uliopo hayo uliyoandika hayawez click ever!!
 
Back
Top Bottom