Maoni: Dira ya Taifa ya maendeleo ya 2050 itakayofungamanishwa na falsafa ya 4R ya Rais Samia na Katiba mpya italeta MATOKEO MAKUBWA KESHO

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
2,590
4,603
"The best is yet to come"(Obama ,2012) ni maneno yaliyotamkwa na Rais Obama katika hotuba yake siku aliyotangazwa mshindi kuongoza Taifa hilo kubwa kabisa duniani kijeshi na kiuchumi kwa kipindi cha pili mwaka 2012. Ilikuwa ni hotuba ya matumaini makubwa kwa Marekani na Wamarekani. Kwa tafsiri isiyo rasmi maneno hayo tunaweza kuyatafsiri " mazuri bado yanakuja".

Katika kipindi cha Rais Kikwete kulikuwa na sera ya BRN ( Big Results Now) ambayo kwa tafsiri ni Matokeo Makubwa Sasa. Mafanikio ya mpango wa BRN kwa kifupi yalikuwa:
i. Usambazaji wa maji salama vijijini.
ii. Ulinzi wa Chakula
iii. Kuimarishwa kwa usafirishaji wa Bandari, Reli na Barabara
iv. Kuziwezesha kifedha miradi
v. Uboreshaji wa elimu ya msingi na sekondari.

BRN ilikuwa ni sehemu na nyenzo muhimu katika utekelezaji wa dira ya maendeleo ya Taifa ya 2025 ambayo ilikuwa na lengo la kufikia uchumi wa kati mwaka 2025 kulingana na mikakati na mipango iliyokuwa nayo. Mwaka 2020, tukafanikiwa kuingia uchumi wa kati wa chini lakini Sasa tumeshuka kidogo kutokana na athari za COVID-19 iliyoikumba dunia kwenye uchumi. Licha ya yote mkakati wa matokeo makubwa Sasa ulikosa meno, hayo yalitanabaishwa na waziri mkuu mstaafu Lowassa alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa 2014/2015, novemba, 2013 Bungeni Dodoma.

Sasa Taifa linakwenda kuandaa dira mpya mpya ya maendeleo ya 2050. Na hapa ninaona mikakati ya maandalizi na utekelezaji ya dira mpya itakavyoleta mwanga wa matumaini katika MATOKEO MAKUBWA KESHO (BEST RESULTS TOMORROW, BRT)

Kwanza, katika mchango wake Lowassa alisema kitengo cha Utekelezaji, ufuatiliaji na Tathmini ya miradi (PDB) kilichokuwa chini ya Ofisi ya Rais kilikosa meno ya kufanikisha mipango ya BRN. Changamoto hii imetatuliwa na Rais Samia ambaye kimsingi Serikali anayoongoza itakuwa na jukumu la kuandaa dira ya Taifa ya maendeleo ya 2050 (2025-2050). Mosi, Ameunda wizara ya mipango na uwekezaji na kuunda tume ya Taifa ya mipango ambacho kitakuwa ni chombo rasmi na chenye meno katika utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo.

Pili, Rais Samia amekuja na falsafa zake katika uongozi ambazo ni Reconciliation (maridhiano), Resilience ( Uvumilivu), Reforms ( maboresho) na Rebuilding ( Kujenga upya) kwa kifupi ni 4R au RRRR. Falsafa hizi ni nyenzo muhimu katika uandaaji na utekelezaji wa dira ya Taifa ya maendeleo. Kwa mfano, kupitia falsafa ya Maboresho( Reforms) hapo tunaona maboresho yanayofanywa sasa yatakuwa ni msaada mkubwa kwenye uandaaji wa dira hiyo. Pia falsafa ya Rebuilding( Kujenga upya) kimsingi itafanikiwa kwa kuwepo na nyenzo ambayo ni Dira ya Taifa ya maendeleo.

Tatu, nia na dhamira ya Serikali inayoongozwa na Rais Samia kutupatia katiba mpya. katiba ni nyenzo katika uandaaji wa dira ya maendeleo Kwa sababu katiba itaendelea kuwepo hata baada ya dira kutekelezwa. Kupitia nyenzo hii itasaidia wapanga mikakati na waandaaji wa dira wataandaa dira itakayofungamanishwa na katiba na matakwa ya katiba tarajiwa.

Ushauri wangu:
Tunaona kwamba Dira ina hitaji nyenzo muhimu kama tulivyoona hapo juu hivyo ninashauri kwamba kabla ya kuanza mpango wa kuandaa dira ya Taifa ya maendeleo tuangalie kwanza upatikanaji wa katiba mpya ili dira hiyo iandaliwe katika mazingira ya katiba mpya.

Hitimisho :
Kwa kuwa dira ya Taifa ya maendeleo itakuwa imebebwa na nyenzo muhimu, ni ishara kuwa itakuwa ni dira bora zaidi kuwahi kutengenezwa katika Taifa hili. Tutumie nyenzo ya falsafa za Rais Samia za 4R na katiba mpya kupata dira mpya ya maendeleo.

Bado naamini mazuri mengi yanakuja chini ya uongozi wa Rais Samia, tukae tuyasikilizie kama Wamarekani walivyoyasikilizia mazuri kutoka Kwa Rais Obama.

Ahsante.
 
Unajua maana ya nyenzo..
Falsafa..
Ni km unatamka tu linalokujia kichwani..
Hiyo BRN yako na aliyeileta mnaweza kutoa any guiding written material ya mwanzo wake..hadi matokeo?
Ilipotupwa kapuni kwa nini hamkujitokeza kuitetea, japo kitu kizuri kinajitetea chenyewe...mnaunda vitu havina kichwa wala miguu lengo kutengeneza nafasi mstaafu omar issa apate pa kuegemea..anashindwa nini kuanzisha taasisi ya kushauri maendeleo km alivyofanya Mzee Uttoh?
 
Kumbe siasa tu

Sent from my SM-G977B using JamiiForums mobile app
 
Unajua maana ya nyenzo..
Falsafa..
Ni km unatamka tu linalokujia kichwani..
Hiyo BRN yako na aliyeileta mnaweza kutoa any guiding written material ya mwanzo wake..hadi matokeo?
Ilipotupwa kapuni kwa nini hamkujitokeza kuitetea, japo kitu kizuri kinajitetea chenyewe...mnaunda vitu havina kichwa wala miguu lengo kutengeneza nafasi mstaafu omar issa apate pa kuegemea..anashindwa nini kuanzisha taasisi ya kushauri maendeleo km alivyofanya Mzee Uttoh?
Dira ya Taifa ya Maendeleo sio wazo la mtu mmoja na yeyote atakayeisimamia atakuwa amesimamia jambo la kitafaifa Kwa mustakabali na maslahi mapana Kwa Taifa.

BRN iliweka kwenye maeneo sita ya kimkakati na Kila eneo liliwekewa mikakati yake na malengo yake Kwa ujumla na sio sawa kusema hakuna matokeo yoyote ya BRN, matokeo yapo tena makubwa sana nimeyaoanisha kwenye mada Kwa kifupi.
 
Back
Top Bottom