utumishi wa umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Room 28

    JamiiForums Tanzania Kadiri ya sheria ya utumishi wa umma ? Nastahiri malipo

    ..
  2. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Wananchi 537 wahudumiwa katika banda la MOI wiki ya utumishi wa umma Dodoma

    Jumla ya wananchi 537 wamepatiwa huduma za kibingwa na kibobezi katika banda la Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yaliyofanyika katika Viwanja vya Chinangali jijini Dodoma. Maadhimisho hayo yamehitimishwa leo, Juni 23, 2026 na...
  3. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Matumizi mabaya ya pesa za umma naziona kwenye sherehe/kilele ya Utumishi wa umma

    Naona Kuna taasisi nyingi zimeweka mabanda hapa chilangali kuhitimisha wiki/kilele cha Utumishi wa umma jambo ambalo halina manufaa kwa Taifa,ni afadhali kungekuwa na tamasha la tamaduni kuliko haya mambo ya ajabu.
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO DAWASA hakuna usawa wala haki katika upandishaji wa madaraja na mabadiliko ya majukumu

    Mimi ni mtumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA). Kumekuwepo na changamoto ya kukosekana kwa usawa na haki katika upandishaji wa madaraja na mabadiliko ya majukumu kwa watumishi, kinyume na miongozo ya utumishi wa umma. Kwa mfano, kuna watumishi ambao...
  5. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania TEHAMA yatajwa nguzo ya mageuzi ya utumishi wa umma wakati UDOM ikishiriki wiki ya utumishi wa umma 2026

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kinashiriki katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2026 yanayofanyika katika viwanja vya Chinangali jijini Dodoma, kwa lengo la kutoa elimu kwa wananchi kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na chuo pamoja na kusikiliza na kutatua changamoto zinazowakabili...
  6. H

    JamiiForums Tanzania HOJA Tume ya Utumishi wa Umma namba za simu na email hazifanyi kazi. Je hamlijui hilo?

    Habarini, Nimekuwa nikifuatilia na kuhakiki mawasiliano mbalimbali ya taasisi muhimu za serikali ikiwemo Tume ya Utumishi wa Umma na kukuta hazifanyi kazi kwa muda mrefu pasipo kufanyiwa marekebisho wala uhakiki. Inakuwaje Taasisi nyeti kama hii inashindwa kuhakiki njia za mawasiliano yake...
  7. 9

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga inawatelekeza Wastafu bila kuwarejesha Maskani baada ya kustafu utumishi wa umma

    Halmashauri ya wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro inawatelekeza wastafu bila kuwarejesha maskani baada ya kustafu utumishi wa umma.
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Uraia wa nchi mbili ni sawa ila sio kwenye uongozi na utumishi wa umma

    Suala la uraia wa nchi mbili ni zuri lakini kuna matatizo yake pia lisipowekea vizuri, mfano sasa hivi Kenya Kuna malalamiko ya baadhi ya wanasiasa waliochaguliwa viongozi Kenya kuishi Marekani kwa sababu wana uraia wa nchi mbili. Marekani pia kuna malalamiko ya baadhi ya wanasiasa wenye uraia...
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali kuhuisha sheria ya Utumishi wa Umma, sura ya 298. Wale waliokuwa wanalipwa mishahara binafsi wajiandae

    Wakuu habari, Kwa taarifa za chini chini, Serikali inaenda kuhuisha sheria hizo kupitia Ofisi ya waziri Mkuu... Kumbuka sheria hasa ya mishahara binafsi inaenda kufanyiwa marekebisho; kuanzia mwezi wa saba watu watapunguziwa mishahara yao.
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya Utumishi wa Umma na TAMISEMI mtutendee haki katika Suala la UHAMISHO WA WATUMISHI

    Unakuta mtu una Cheti cha ndoa, umeshathibitishwa kazini, ukiomba uhamisho unakataliwa na kuambiwa uombe kwenye mfumo. Mfumo ukiomba haukuruhusu eti mpaka miaka mitatu. Hii ni kinyume na haki za binaadamu. Mnataka tuishije tunapokuwa mbali na ndoa zetu? Mamlaka husika naomba litende haki Kwa...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Naweza vipi kurudi kwenye utumishi wa umma iwapo niliacha mwenyewe kazi?

    Nikiacha kazi mwaka 2015 kutokana na sababu za kiafya na nikapokea mpaka mafao yangu ya PSPF. Lakini sasa nimekuwa fit na naweza kufanya kazi kama kawaida. Nilijaribu kuandika barua utumishi kuomba kurudi maana nilikuwa nikiomba kazi naambiwa nina check namba hivyo siwezi ajiriwa na mimi...
  12. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Kipi Kinachoendelea nyuma ya michakato ya ajira katika Utumishi wa Umma?

    Vijana wengi wamekuwa wakipitia msongo mkubwa wa mawazo wanao sababishiwa na hii sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma na haya ni baadhi ya maswali wanayo jiuliza bila majibu 1; Inakuwaje nafasi za kazi zinatangazwa na watu wanajitokeza kufanya usaili lakini zoezi la kuwapangia vituo...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Maslahi ya Watumishi wa Kampuni ya ulinzi ya GARDA WORLD ni duni

    Kampuni ya ulinzi ya Garda World imeendelea kukiuka haki za wafanyakazi wake kwa kushindwa kuongeza mishahara. Mbali na hilo, kampuni hiyo imekaa kimya kabisa kuhusu utekelezaji wa agizo la Serikali la kuongeza mishahara katika sekta binafsi kuanzia mwaka 2026, jambo linaloashiria dharau kwa...
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Dress Code ya wanafunzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma kwanini isiigwe?

    Mwaka jana nilimtimua ofisini binti wa field aliyekuja na sketi fupi iliyokuwa inabada mpaka mistari ya chupi zake zinaonekana. Nikamwambia akabadilishe ndio arudi ofisini. Januari nilienda ofisi moja ya umma kufanya kazi, moja ya afisa aliyetuletea nyaraka alikuwa amevaa jinsi ya kubana mpaka...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga Marufuku Uhamisho wa Watumishi

    Waziri wa Nchi, OR Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema, "Kumekuwa na maombi mengi sana ya baadhi yetu kuomba kubadilisha vituo vya kazi. Nitoe rai, hatutakuwa na mabadiliko ya vituo vya kazi kwa sasa. Nafasi zote zimetolewa kulingana na uhitaji wa kila...
  16. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Yawezekana Haya Ndiyo Makundi Katika Utumishi wa Umma yaliyo Nyuma kwa Kila Kitu

    Hawa ndio watumishi wa umma wenye mambo ya ajabu na ya kustaajabisha Walimu Watendaji wa vijiji Maafisa polisi Katika Makundi haya ndio watu utakuta wanaishi kwa Madeni from January to December Hawa ni watu walio nyuma kiteknolojia yaani ni rahisi kumkuta mwalimu anamiliki smart phone kwa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Secretariati ya Ajira kupeleka usaili wa mahojiano Dodoma wakati written zilifanyika mikoani si sawa!

    Naomba kuwasilisha malalamiko yangu: Ni kwanini hawa PSRS wanapeleka oral interviews Dodoma ilihali written zinafanyka mikoani jambo hili linawagusa graduates wengi wa kada tofauti na ualimu na afya wao kila kitu wanafanya mikoa walipo lakini kwa kada nyingne ni lazima uende Dodoma? Kiufupi...
  18. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma yatangaza nafasi za kazi 17,710

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya na MDAs & LGAs anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 17,710 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili; Ili kuweza kutazama nafasi zilizotangazwa pitia
  19. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Tunaka Rais mwenye kutoka na kukemea rushwa na kusimamia maadali ya Utumishi wa Umma na kulinda rasilmali za nchi bila uoga

    Tunataka Rais mwenye kutoka na kukemea rushwa na kusimamia maadali ya Utumishi wa Umma na kulinda rasilmali za nchi bila uoga
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda Polepole ndiye kijana mTanzania wa hovyo zaidi na aliechafua zaidi taswira ya vijana katika utumishi wa umma tangu tupate uhuru

    Kwanza amewatia aibu na kuwaaibisha sana vijana wote Tanazania kwa kukosa utii na kugeukia unafiki na umbea ambao hauna maana wala faida yoyote.. Pili, Ni wazi utovu wa nidhamu wa Hamphrey Polepole utawakosesha vijana wengi fursa za kuaminiwa na kupewa nafasi za kulitumikia Taifa lao katika...
Back
Top Bottom