mwezi

  1. S

    Nitajieni biashara nyingine inayotoa faida kama mikopo ya kausha damu!

    Kausha damu: Unawekeza mtaji wa shilingi 1,000,000, unavuna faida ya shilingi 300,000 mpaka 400,000 kwa mwezi. Nitajieni biashara nyingine kama hii. Tunaposema hii mikopo ni kausha damu na initia watu umasikini, basi hicho ndicho kinachofanyika. Hivi leo hii ukipewa mtaji wa shilingi 1000,000...
  2. Webabu

    Israel iko hoi kiuchumi baada ya kujiingiza Gaza. Ikiwa ni mwezi wa pili tu. Hamas wamelipandisha deni lake mpaka 8 bn Dollar

    Vita kati ya taifa kubwa la Israel na wanamgambo wa Hamas vikiingia mwezi wa pili tayari serikali ya taifa hilo imeshaingia hasara kwa kuongezeka deni lake kwa dola bilioni 8.sawa na shekel bilioni 30. Waziri wa fedha wa taifa hilo amesema deni hilo limetokana na serikali kugharamia shughuli...
  3. LA7

    Nikiweza kutoboa hadi mwezi wa pili 2024 basi itakuwa ni kwa neema ya Mungu

    yaani kiujumla ni hivyo tu kuanzia mwezi wa kwanza ni makadirio ya kupata mtoto wa pili mungu akipenda lakini mpaka sasa bado sijasevu hata 100 ndani leo ndo nimepunguza miezi miwili ya kudaiwa kodi toka miezi minne. Eeeh Mwenyezi Mungu tupunguzie hii mizigo na changamoto tunazozipitia wengi...
  4. Roving Journalist

    NEMC imetoa mwezi mmoja kwa viwanda vinavyozalisha Chupa za plastiki zenye rangi kuweka utaratibu wa kukusanya na kuhifadhi chupa hizo

    Baraza la Usimamizi na Utunzaji Mazingira Nchini NEMC imetoa mwezi mmoja kwa viwanda vinavyozalisha chupa za plastiki zenye rangi kuweka utaratibu wa kukusanya na kuhifadhi chupa za rangi ambazo zimekuwa zinachafua mazingira kwa kuzagaa maeneo mbalimbali. Mkurugenzi wa Baraza la Taifa la...
  5. M

    Mshahara wa Mwezi wa tisa na mwezi wa 10 haujaingia kwa baadhi ya Waajiriwa wapya, huko Karatu-Arusha

    Kwako waziri husika, sanasana hapo Tamisemi. Kwanza nitoe shukrani kwa Rais wa Tanzania, kwa kuweza kutoa ajira, hatimaye nikaitwa kufanya usaili na mwisho wa siku nikapata ajira na kupangwa halmashauri ya karatu. Kwakweli huu mchakato wa kuingia kazini kwa baadhi ya waajiri wapya umekuwa...
  6. MSAGA SUMU

    Bilionea Chris Lukosi kuibadilisha Tanzania kuwa China kuanzia mwezi Disemba

    Baada ya Serikali ya Tanzania kushindwa kuibadilisha nchi yetu kwa zaidi ya miaka 60 hatimaye zee la Madungu Chros Lukosi ameamua kulichukua suala hilo mikoni mwake na kuifanya Tanzania kuwa kama China, mabonanza yatakuwa yanatengenezwa Tabata, charger na earphone Kigoma, spea arusha, Simu...
  7. N

    ( Uzalendo)Nimekataa mshahara wa milioni 50 kwa mwezi ili nirudi nyumbani Tanzania

    Hapa majuzi nilipata email kutoka shirika moja la Afya hapa Marekani jina kapuni kutokana na usiri( privacy) ya kimkataba na sheria ya hilo shirika na pia naweza kushitakiwa na then ninaweza kukosa madili mengi mengi ya hapa ya hapo ukimani kwenu Kutokana na uzalendo wangu nimeamua kurudi...
  8. Mama Edina

    Wenzetu Utumishi kuna jipya mwezi huu?

    Wale tunaoishi na Samia. Chakula cha shikamoo. Je, mshahara una chochote kitu October?
  9. Babu sea

    Unatumiaje laki tatu kwa mwezi?

    Jamani wanajamiiforums ninapokea mshahara laki tatu na nina mke na watoto wawili ninalipa kodi 30,000 kwa mwezi, kinachonitesa ni hesabu za kubalance mpaka hiyo hela ieneee mpaka mwisho we mwezi nifanyaje ili niweze kubakisha kiasi niweke akiba. Msaada wenu please..
  10. A

    DOKEZO Nimelipia marekebisho ya cheti cha Chuo, huu ni mwezi wa nne sasa, NACTVET wananizungusha tu

    Nina malalamiko yangu kuhusu Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET). Kuna watu tupo wengi tuliomba tubadilishiwe matokeo ya Chuo kwa makosa ya kibinadamu katika Uandishi, tukalipia pesa kupitia “Control Number”. Mpaka sasa miezi minne imefika kila tukienda...
  11. Anonymous

    Mkandarasi anatulipisha Tsh 50,000 kwa nyumba kila mwezi kuzoa taka Masaki (Dar) lakini huduma ni mbovu

    Mimi ni mkazi wa Masaki nimeona ripoti ya gharama za utoaji taka kuwa kubwa mitaa ya Mbezi Beach B (maarufu kwa jina la Mbezi Beachi ya Chini) nikaona nami nipaze sauti yangu kwa upende wetu wa Masaki ndani ya Jiji letu hili la Chalamila. Huku Masaki gharama ni mara mbili ya Mbezi, Mkandarasi...
  12. Lycaon pictus

    Tarehe 30 mwezi wa 9 kila mwaka ni siku ya utafsiri duniani. Hivi hapa ni vitabu kumi vilivyotafsiriwa zaidi duniani na nchi kumi zinazotafsiri zaidi

    Siku hii ilianzishwa kumuenzi St. Jerome. Huyu alikuwa mtu wa mwanzo mwanzo kutafsiri biblia. Tarehe 30/9 ni siku yake ya kufa. Utafsiri umechangia sana katika kusambaza maarifa duniani. Hata vitabu maarufu na vilivyopendwa na wengi Tanzania kama Alfu Lela Ulela, Hekaya za Abunuwasi, Mashimo ya...
  13. Roving Journalist

    Bosi mpya TANESCO Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga asema: Tunatarajia changamoto ya upungufu wa umeme imalizike Machi 2024

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga ametambulishwa mbele ya waandishi wa Habari leo Septemba 27, 2023 na kuelezea kuhusu mipango ya shirika hilo na kugusia kuhusu changamoto ya umeme. Kuhusu changamoto ya umeme Nchini, amesema “Tunatarajia...
  14. OLS

    Watanzania walitumia takriban Tsh. bilioni 199.41 kwa ajili ya Internet mwezi Juni

    TCRA katika taarifa yao kuhusu ufafanuzi wa bei za data iliyotolewa Mei 9, 2022 ilionesha kuwa zaidi ya 95% ya watanzania hutumia data kwa kujiunga vifurushi vinavyotolewa na mitandao. Yaani watanzania hawatumii internet kabla ya kujiunga na kifurushi. Suala hili limenifanya niangalia kwa mwezi...
  15. MOSHI UFUNDI

    Nalipwa 500,000/=(laki tano) kwa mwezi, unanishauri niwekeze wapi?

    Asalaam wakuu. KUfupisha uzi. Kwasasa kuna mahali nafanya kazi nalipwa laki 5, ila kazi inanichukulia muda mwingi sana. Ingawa nakula bure , na nalala bure(vyote nimepewa na ofisi yangu). Umri wangu 20's. Naomba ushauri niwekeze pesa yangu wapi ili niongeze kipato changu. Mwanzo niliwaza...
  16. Replica

    Daraja la Kigamboni lakusanya bilioni 83 tangu kufunguliwa 2016. Makusanyo yafikia 1.3B kwa mwezi

    Daraja la Kigamboni ambalo linaunganisha mji wa Kigamboni limekusanya bilioni 83 kama tozo za kuvuka daraja kwa miaka saba iliyopita.Daraja la Kigamboni lilijengwa kwa gharama ya $ 135 bilioni(337.5 bilioni)na kuwa la aina yake Afrika Mashariki. Daraja la Nyerere ni mradi wa pamoja kati ya...
  17. Maria Nyedetse

    Ni mwezi wa tano sasa mtoto Warda haonekani

    Ni miezi mitano imepita tangu Mwanafunzi wa kidato cha pili Nyumbu Secondary, Kibaha Mkoani Pwani Warda Mohamedi(15) atoweke nyumbani alipokuwa anaishi April 19,2023 na hadi sasa hajulikani alipo licha ya juhudi za Familia kumsaka huku Polisi ikisema inaendelea na uchunguzi. Mwandishi wa...
  18. Zekoddo

    Mshahara mwezi September

    Ety wakuu mnaotumia CRDB.. vipi mshahara wa mwezi September.. ushatoka...?
  19. Carlos The Jackal

    Ndo nimemaliza C-section ya 6, nimechoka akili na mwili. Halafu kuna Wanasiasa kwa mwezi wanakula 11 M na bado wanajiongezea mshahara 40%

    Kwa Msioelewa, C-section ni Upasuaji wa kumzalisha Mama (kutoa mtoto/watoto) Kwa Kizazi kwa njia ya upasuaji. Toka Nilipolala usiku wa kuamkia Jana, mpaka Leo sijalala yaani 24 hours bila kulala. Kuweni na Huruma Enyi Viongozi, Hivi mtu toka saa Mbili usiku uko Chumba Cha Upasuaji ...
Back
Top Bottom