juni

"Juni, juli, augusti" is a single by Swedish pop group Gyllene Tider, released on September 16, 1996. The single peaked at number 37 on the Swedish Singles Chart. On November 9, 1996, an attempt was made to take the song to the Svensktoppen chart, but failed. However, the song did reach the Swedish Tracks list.

View More On Wikipedia.org
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Maazimio ya kikao cha Kamati Kuu kilichoketi tarehe 30 Juni 2026 Sunset Vista Hotel, Kigoma Mjini

  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Msajili wa Vyama vya Siasa anatakiwa kuipatia CHADEMA malimbikizo ya ruzuku yake yote kuanzia Juni hadi Oktoba 2025

  3. A

    JamiiForums Tanzania Ewe mmiliki wa kampuni, unafahamu ya kuwa leo 30 Juni 2026 ni siku ya mwisho kuwasilisha hesabu za kampuni yako Kwenda TRA?

    Hakikisha unawasilisha hesabu za kampuni yako kwenda TRA kabla ya 30 Juni 2026, tofauti na hapo kampuni yako itakuwa hatarini kulipa faini ya Tshs 300,000 kwa kila mwezi ambao hujawasilisha hesabu zako. Hii ni kwa mjibu wa kufungu 89 (1) ya Sheria ya usimamizi wa kodi (R.E 2023). Epuka kuingiza...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Alhaji Aliko Dangote, Ikulu na timu yake Ikulu ya Dar, leo Juni 28, 2026

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Juni, 2026.
  5. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania FT: Ecuador 2-1 Germany | Worl Cup 2026 | MetLife Stadium | 25 Juni, 2026 | 5:00 Usiku

    Ecuador na Ujerumani wanashuka kwenye dimba la New York New Jersey Stadium, huku Waamerika Kusini hao (Ecuador) wakipambana kufa na pona kupata nafasi ya kutinga hatua ya mtoano dhidi ya Wazungu (Ujerumani) ambao tayari wameshafuzu. Ecuador waliingia kwenye mashindano haya ya Kombe la Dunia la...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wafungaji Bora wa Muda wote katika World Cup mpaka kufikia leo Juni 17, 2026

  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 13, Mkutano wa Tatu, Kikao cha 50, tarehe 16 Juni, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=1DWPVZLDxLk
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 13, Mkutano wa Tatu, Kikao cha Arobaini na Tisa, Juni 15, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=gDE5eqI9Fkw
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha anasoma Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27, leo Juni 11, 2026

    Serikali kupitia Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) inatarajia kuwasilisha Bajeti Kuu ya Mwaka wa Fedha 2026/27 leo Alhamisi Juni 11, 2026 Bungeni Jijini Dodoma. Balozi Khamis Mussa Omar alinukuliwa akisema bajeti hiyo itatumika kutekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Mpango wa...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge La 13, Mkutano Wa Tatu, Kikao Cha 41, Tarehe 02 Juni, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=JWa-85kg0nc
  11. R

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kila Mkoa tuweke screen kubwa kuangalia heshima inayojengwa na vijana wetu Serengeti Boys, Juni 2, 2026

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda amewataka wakuu wa mikoa Nchini kote Siku ya Jumanne, Juni 2, 2026 Kila Mkoa waweke Luninga kubwa ili watu watazame fainali ya michuano ya AFCON kati ya Timu ya Taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Boys na Senegal...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Juni 6, 2022 Injinia Hersi Said aliahidi atajenga Uwanja wa Yanga ndani ya miaka minne ya Uongozi wake

    Miaka minne iliyopita, Siku ya Jumatano, Juni 6, 2022 akiwa anahojiwa katika Kipindi cha Sports Arena cha Wasafi FM, Injinia Hersi Said baada ya kupitishwa kuwa mgombea pekee wa nafasi ya Urais katika Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said alitoa ahadi ya kujenga uwanja wa klabu wenye siti 20,000...
  13. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya kuwafidia waathirika wa maandamano ya Gen Z ya Juni 2024

    Wakati serikali ya Kenya ikiwafidia Gen Z, serikali ya Tanzania inaandaa mashtaka kwa Gen Z wa Tanzania walioshiriki maandamano ya Oktoba 29. Hii ndiyo tofati ya serikali zinazojali maisha ya uhai wake. ======================== Serikali ya Kenya imetenga shilingi bilioni mbili za Kenya kama...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hilder Newton: Kesi ya Lissu kuendelea Juni 11, 2026

    Taarifa hii ni kwa mujibu wa Hilder Newton kupitia mtandao wa X
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mpimbwe: Watumishi tulioajiriwa JUNI 2022 hatujapandishwa madaraja wala kulipwa Malimbikizo ya Mishahara

    Watumishi walioajiriwa mwezi Juni 2022 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe tunaomba haki yetu ya msingi itendeke. Pamoja na kutimiza wajibu wetu wa kazi kwa uaminifu, hadi sasa wengi wetu hatujafanyiwa utaratibu wa kupandishwa madaraja kama sheria na taratibu za utumishi wa umma...
  16. H

    JamiiForums Tanzania ATCL kuanza safari za Urusi juni 2025 - Waziri Mahmoud Kombo

    ATCL KUANZA SAFARI ZA URUSI JUNI 2025 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, amesema kuwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), linatarajia kuanza safari za ndege kuelekea nchini Urusi mnamo Juni, 2026. Ameyasema hayo leo Mei 15, 2026 jijini Arusha...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Uganda zakubaliana kuondoa vikwazo vyote vya biashara ifikapo Juni

    Tanzania na Uganda zimekubaliana kuondoa vikwazo vyote vya biashara kati ya nchi hizo mbili ifikapo mwezi Juni mwaka huu, katika hatua inayolenga kuimarisha biashara ya pande mbili na kuongeza ushirikiano wa kiuchumi. Ahadi hiyo ilitangazwa wakati wa chakula cha jioni cha rasmi kilichoandaliwa...
  18. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Jarida la ikulu mawasiliano toleo la juni, 2025

    JARIDA LA IKULU MAWASILIANO TOLEO LA JUNI, 2025 DIBAJI Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama mnavyofahamu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kuhakikisha kuwa kazi inaendelea kwa kudumisha tunu za Taifa letu, kukuza uchumi wa nchi, na kuimarisha...
  19. K

    JamiiForums Tanzania JUMLA YA SMS BILIONI 52.8 ZIMETUMWA NA KUPOKELEWA MWEZI JUNI 2025 SAWA NA ONGEZEKO LA ASILIMIA 6 UKILINGANISHA NA MWEZI MACHI 2025

    JUMLA YA SMS BILIONI 52.8 ZIMETUMWA NA KUPOKELEWA MWEZI JUNI 2025 SAWA NA ONGEZEKO LA ASILIMIA 6 UKILINGANISHA NA MWEZI MACHI 2025 idadi ya sms ndani ya nchi imeongezeka kutoka sms bilioni 50 mwezi MACHI 2025 hadi kufikia bilioni 52.8 mwezi Juni 2025 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 6...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbunge wa CHADEMA, Sophia Mwakagenda akicheza akiwa amevalia nguo za CCM, Juni 30, 2025

    Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, Sophia Mwakagenda akicheza pamoja na baadhi ya Viongozi na Wananchi wa Kata ya Itete, Busokelo Mkoani Mbeya huku akiwa amevalia nguo za Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo tarehe 30 Juni, 2025 wakiongozwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni...
Back
Top Bottom