Wakuu katika hali ya kujikwamua kimaisha kwa sisi waajiriwa saving ni muhimu sana.
Kwa sisi ambao hatuna posho yeyote ni mshahara tu ni changamoto kwa kweli, sasa mimi katika dodoso zangu nimeonelea ili niweze japo kufikia malengo japo kwa 40% ninahitaji kusave 700k kila mwezi kwa muda wa miezi...
Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso
Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso ameiagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Iring (IRUWASA) kuhakikisha katika kipindi cha mwezi mmoja inatekeleza mradi wa muda mfupi kuhudumia Kaya zipatazo 23 zinazokosa maji katika Vijiji vya Luhindo na...
Hivi kuna kitu gani behind ajira.? unakuta mtu analipwa 800k kwa mwezi lakini anamaisha magumu ndy nn sasa.?
Alie na ufafanuzi mzuri anieleweshe... si kwa miezi miwili tu hapo unakua na 1.6M + kwa 10 miezi = 9.6M kwa mwaka😀
huu uzi nadhani unaweza usipate mpinzani siku za karibuni
huzi wenyewe ni huu 👇🏾
Pesa inaweza kuja kwenye maisha yako bila kutarajia
hapa Joannah akishirikiana na Labella wamemwaga madini ambayo yana mafunzo yanayoweza kukusaidia na kukuokoa au kumuokoa rafiki yako siku moja
kuanzia...
Mkoa wa Geita wafanyakazi wa idara ya afya kupitia shirika lisilo la kiserikali ICAP wanacheleweshewa mshahara wao kila mwezi na wakiuliza kwa mratibu wa mkoa hatoi majibu mazuri na kutishia kama umeshindwa acha kazi ambacho sio jambo jema
Anonymous
Thread
afya
geita
idara
idara ya afya
kila mwezi
kiserikali
kupitia
mkoa
mkoa wa geita
mshahara
mwezi
shirika
wafanyakazi
wao
Huku Arusha kata ya Lemara mtaa wa Kikwakwaru B tuna shida ya maji yapata mwezi mmoja sasa hatuna maji kabisa!
Tukapata taarifa kwamba kuna bomba limeharibika na linafanyiwa kazi lakini mpaka leo hii hakuna maji au yanatoka kwa pressure ndogo sana tena usiku wa manane.
Cha ajabu ni kwamba...
Anonymous
Thread
arusha
hatuna
idara
idara ya maji
maji
maji arusha
mmoja
mtaa
mtaani
mwezimwezi mmoja
mzima
shida
shida ya maji
taarifa
tuna
yapata
Hizi AI mbili, zimekuja na majibu yanayofanana (almost):
Gemini (Google)
ChatGPT
Ingawa ChatGPT anashawishi ongezeko dogo, ila Gemini yeye anaamini itaongezeka tsh 500 kwa kila lita.
Vigezo vyao vimetoka kwenye:
-Bei mpya soko la dunia.
-Exchange rate ya dollar vs tsh.
-Benchmark ya nchi...
OFISA mmoja wa serikali anadaiwa kujipatia kiasi kinachokadiriwa kufikia shilingi bilioni 4, kwa njia ya rushwa. Anayepewa tuhuma hizo ni Ofisa Uvuvi Msaidizi Mkuu, anayesimamia Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara, Masanja Kadashi.
Tuhuma dhidi yake zinadaiwa kuanza muda mrefu ambapo Machi 31, mwaka...
Ifahamike siwezi kukataa mimba iwapo nilishiriki na mwanamke ngono zembe yaani bila puto.
Ikitokea nikaambiwa moja kwa moja kuwa nina mimba yako nitalea na nimewahi fanya hivyo pasina shida yoyote Ile. Kifupi ieleweke siwezi kukataa damu yangu.
Napinga kukubali kwa namna yoyote Ile kupewa...
Hellow habari za Majukumu...
Naomba mtusaidie kupaza Sauti sisi waajiliwa wapya wa kada ya AFYA katika halmashauri ya wilaya Butiama Hatujapewa Hela ya Kujikimu tangu tumepata Ajira mwaka Jana mwezi wa Nane 2025 Mpaka Sasa.
Tulifatilia kwa Katibu wa Halmashauri hii Yeye kila tukimtafuta...
Anonymous (b5ce)
Thread
afya
butiama
hela
jana
kujikimu
mwaka
mwaka jana
mwezi
Kumekuwa na chapisho linalosambazwa na watumiaji wa mtandao wa Facebook likidai kuwa Mohammad-Reza Naghdi, Kamanda Mwandamizi wa jeshi la Iran, amesema:
“Marekani haina cha kutupangia. Tunazalisha makombora kila siku, na yapo mengi bila kupumzika. Ikiwa vita itarejea safari hii, tutahakikisha...
Habari Tanzania !..
Naomba wananchi tuamue na tuanzishe utamaduni maalumu; kwa kila kiongozi wa Taifa wawe wanatembea kwa miguu kutoka mahali wanakoishi kwenda Ofisini na kurudi nyumbani kila wiki ya mwisho wa mwezi. Yaani Jumatatu mpaka Jumapili.
Faida
1. Hii itawawezesha kupata uzoefu wa...
Mwenyekiti wa Umoja wa Wasafirishaji Mwanza, Yusuph Lupilya akizungumza katika mkutano wa wadau wa usafirishaji uliondaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (Latra), amesema kuwa serikali ilipandisha bei ya mafuta ikiwa imetoka kutuambia kuwa kuna mafuta ya kutosha kwa miezi mitatu.
Wakazi wa Matosa - Goba DSM, hususan eneo la Shule ya Msingi More Light, tumekumbwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa maji kwa takribani mwezi mmoja sasa.
Kila tunapouliza, tunaelezwa kuwa bomba linaloleta maji kutoka Uzalamoni limeharibika, hata hivyo, inashangaza kuona kuwa bomba hilohilo...
Anonymous
Thread
dar
eneo
eneo la shule
goba
maji
mmoja
msingi
mwezimwezi mmoja
shule
shule ya msingi
Kwa mimi binafsi
Kwa March kuna
1.Stan bakora na mwenzake aisee content zao ziko so unique ni fupi haziboi halafu hazivunji sana maadili, no wonder why makonda amewahi kumsifia stan yuko vizuri kwa sasa kwenye upande huo..mwingine kwa comedy ni Azaboi mkali sana
2.rich msafi east africa...
Wakazi wa Mbezi Luis kuna shida ya maji unaenda mwezi huu sasa, ukipiga simu kwa Wateja wanakuuliza maswali wanachukua na account number wanasema wanafanyia kazi ila hakuna chochote kinachofanyika na mwisho wa mwezi wanatuma bili kama kawaida.
Watu wa nje wanaotaka kupata vibali vya kazi siku hizi wanapata changamoto kubwa.
Zaidi ya mwezi mmoja sasa mfumo wa vibali vya kazi (OWAIS) haufanyi kazi. Hii ina maana kwamba maelfu ya watu wa nje wanasubiri mpaka watakapoweza tena kuanza au kuendelea na kazi kihalali.
Hii ishu sio kero tu...
Anonymous (8b17)
Thread
kazi
mfumo
mmoja
mwezimwezi mmoja
shida
vibali
zaidi ya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.