Matokeo ya CBE Dodoma Mwaka 2018/19 na 2019/20 hayajawekwa kwenye Mfumo wa NACTVET, mtu aliyemaliza miaka hiyo akirudi chuoni kuendelea na masomo, anaambiwa matokeo yake bado hayapo NACTVET.
Miaka yote hiyo walikuwa wanafanya nini? Sasa mtu hawezi kuendelea na Degree mpaka matokeo yawepo...
Mnamo mwishoni mwa mwezi Februari 2026, uongozi wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Southern Highlands kilichopo Iyela-Mbeya uilitangaza kuwa wanahitaji Madaktari wa upasuaji wa Kinywa na Meno kwa ajili ya kufundisha wanafunzi wa Stashahada ya Utabibu wa Kinywa na Meno (Diploma in Clinical...
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linapenda kuufahamisha umma kuwa, tatizo la kimtandao lililosababisha kukosekana kwa huduma zetu za mtandaoni limetatuliwa na kwa sasa huduma zote zimerejea kama kawaida.Baraza linaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza...
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linapenda kuufahamisha umma, wadau, wanafunzi, vyuo na taasisi zote zinazohudumiwa na Baraza kuwa, kwa sasa linakabiliwa na changamoto ya kimtandao inayosababisha kutopatikana kwa huduma zinazotolewa kwa njia ya mtandao...
Kuna kozi ya Higher Diploma in Mental Health Nursing iliyoanzishwa mwaka 2025, lakini hadi sasa haijafahamika wazi kama iko chini ya usimamizi wa NACTE au Wizara husika.
Tumejaribu kupata ufafanuzi kutoka kwa wahadhiri wa kozi hiyo, lakini nao hawajatoa majibu ya uhakika kuhusu hatma na...
Anonymous
Thread
course
diploma
health
hii
jamii forum.com
jana
mental
mental health
mwaka
mwaka jana
nacte
nactvet
nursing
wizara
wizara ya afya
Kumekuwa na changamoto katika usimamizi na uchakataji wa taarifa za wanafunzi, kuanzia hatua ya usajili hadi utoaji wa namba za AVN. Ucheleweshaji huu umekuwa ukivunja matumaini ya wanafunzi wanaohitaji kuendelea na masomo ya elimu ya juu.
Hadi sasa, vyuo mbalimbali, ikiwemo DIT, Tengeru, IAA...
Anonymous
Thread
bachelor
elimu
nactvet
udahili
wizara
wizara ya elimu
Kutoka Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), kuna changamoto ya kupata Award Verification Number (AVN) Kwa Wanafunzi waliohitimu Diploma
AVN ni Number inayotolewa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kwa wanafunzi waliohitimu Diploma, inayowasaidia kuomba mkopo...
Anonymous
Thread
arusha
avn
changamoto
chuo
diploma
iaa
kukosa
kutoka
nactvet
tuna
uhasibu
wahitimu
wahitimu wa diploma
Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza Diploma (Level 6) mwaka huu katika Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD), Tengeru, Arusha.
Matokeo ya mitihani yetu yalitolewa tangu tarehe 12 Agosti 2026, lakini hadi sasa chuo hakijayawasilisha NACTVET ili tuweze kupata AVN Number. Namba hiyo ni muhimu kwa...
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) limetoa taarifa kuwa limefanya maboresho ya mawasiliano yake kwa njia ya simu ili kuongeza ufanisi katika kuwahudumia wadau wake.
NACTVET imeeleza kuwa mbali na namba za simu za Makao Makuu, maboresho hayo yamejumuisha...
Hello,
I hope mko poa.
Mie ni mwalimu wa masomo ya Sayansi nafundisha shule moja ya Secondary hapa mkoani.
Nimeajiliwa na serikali, 2 years ago. Sasa katika kutafuta changamoto mpya, nimekuwa nikiona matangazo ya kazi uko ajira portal, lakini nkitaka kuomba mfumo unakataa Kwa sababu Nina...
Mdau, kuna madai mazito yanayohusu Murgwanza Institute, chuo cha elimu ya kati kinachomilikiwa na Kanisa la Anglikana, Dayosisi ya Kagera, kilichopo Wilaya ya Ngara.
Inadaiwa kuwa wakati wa mitihani ya Supplementary End Semester II ya mwezi Desemba 2025, iliyofanyika katika Taasisi ya Rubya...
Mimi ni mhitim wa kozi ya clinical assistant KUTOKA kwenye chuo flani hapa DAR nimefatilia transcript KUTOKA NACTVET na kufanikiwa kuipata hivyo napenda kujuzwa INA umuhim kwenye kuomba nafasi za kazi maana sehem nying wanahitaj vyeti na leseni.
Kero yangu kubwa kuhusu NACTVET ukiwapigia simu hawapokei na inapotokea wamepokea hawaelekezi vizuri, wanafanya kazi kama vile wamelazimishwa.
Yaani kila ukipiga simu ni kama vile hawataki kuhudumia mtu, muda mwingine unapiga simu wanakuambia "Fanyafasta tunakazi nyingine za kufanya".
Soma...
Baadhi ya Maafisa wa NACTVET wanafelisha vyuo vya kati, kuchelewesha kua-prove maombi yao ili wasipate AVN Number kwa wakati washindwe kwenda vyuo vikuu, lakini wanafanya hivyo ili kupewa rushwa ndiyo waweze ku-approve maombi yao, funaomba mtusaidie.
Kiulizeni Chuo cha St Joseph College, tawi...
Anonymous
Thread
binafsi
kati
maafisa
maslahi
michezo
nactvet
vyuo
vyuo vya kati
Katibu mtendaji hafanyi hatimizi wajibu wake kimegeuka kijiwe cha kupiga soga na kuombana rushwa bila kutekeleza majukumu yake.
Hii Nactvet makao makuu ya Dodoma mnashindwaje kumaliza shida za wanaohusika, kazi ni kuombana posho mnashindwa kumsaidia raisi katika kuwatumikia wananchi.
Kazi...
Mara baada ya Mwananchi kuwasilisha malalamiko kwa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kuhusu changamoto ya kukosekana kwa Namba ya Utambuzi wa Tuzo (AVN) kwa Watu waliohitimu ngazi ya Diploma na hivyo kukwama kufanya maombi ya kujiunga na vyuo mbalimbali...
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) ninaomba wajitathmini wanachotufanyia sio sawa.
Habari naomba niwasilishe changamoto mbili zinazonikabili mpaka muda huu na nimeshindwa kupata msaada wowote kutoka kwa watu wa nactevet nje kuonjesha juhudi za Hali na mali...
Wakuu, husika na kichwa hapo nimelimdanyia maombi ya chuo ndugu yangu kwa ngazi ya diploma lakini kila siku nikijaribu kuingia kwenye website ya nactvet CAS mfumo unagoma.
Nashindwa kujua hii shida ni kwangu tu au ja wengine mmekutana na hii changamoto?
Habari Wana JamiiForums, The home of great thinkers.
Moja kwa moja niende kwenye mada. Kuna dogo yeye anasoma chuo fulani Cha diploma kozi ya diagnostic radiography cha private. Sasa kutokana na kile chuo kutokuwa na facilities za kutosha anahitaji kuhama kwenda vyuo vingine vya serikali maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.