masaki

Masaki Satō (佐藤優樹, Satō Masaki) (born May 7, 1999 in Sapporo, Hokkaido) is a Japanese pop singer. She is a former tenth-generation member of the pop group Morning Musume.

View More On Wikipedia.org
  1. radhiya

    JamiiForums Tanzania Manhattan Court Apartments For Sale at Masaki

    Model homes now open. Experience a luxury Seaview living in our stylish and modern project located at Masaki, Chakechake rd. Make your ideal life a reality at Manhattan Court, nestled in the heart of Masaki, offering immersive comfort. Units available: 2&3bhk available only. 6-floor: 2bhk...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wageni wengi kutoka Marekani huamini maisha ya Masaki ndiyo ya Tanzania yote, pesa zikiisha wakihamia kwengine hawatoboi hata mwezi

    Sikuhizi kumekuwa na content nyingi za watu hasa wamarekani weusi kuhamasishana kuhamia nchi za Africa, wengi huwa wanaishi vizuri kwa vipesa wanavyofika navyo vya kuhamia mitaa mizuri kama Masaki, O bey, Mbweni , n.k. lakini pesa zikiisha wakihamia mitaa ya kawaida hawatoboi kabisa, hapo ndio...
  3. radhiya

    JamiiForums Tanzania Plots available for sale at Masaki, Mikocheni, Msasani

    Don't miss out this rare opportunity to secure prime real estate in Dar es Salaam. Plots available for sale; Location: Masaki, Msasani, Mikocheni. •Mikocheni Warioba: On main rd(Mwai kibaki), SQM 6725, USD 6.5M, Title Deed. •Masaki: Msirikale st, SQM 1559, USD 1.7M, Title Deed. •Mikocheni...
  4. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CCM na Serikali wameharibu kabisa makazi ya kikoloni ya Masaki na Oysterbay, leo wanalia makelele

    Viongozi wetu, tena wa CCM na Serikali, wameiharibu kabisa Masaki na Oysterbay, kutokana na kuharibu Mipango Miji. Taratibu, Masaki na Oysterbay zinageuka kuwa Upanga , kumbi za Disco, makunywaji na Mtaa wa Uhuru, badala ya makazi ya viongozo waandamizi wa serikali. Leo viongozi wenzao...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Kama huna hela usije Masaki

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amewavunja watu mbavu wakati akielezea kuhusu umuhimu wa mipango miji katika mkutano wake na watendaji wa mitaa, kata na wenyeviti wa serikali za mitaa uliofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Posta jijini Dar es...
  6. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania OysterBay na Masaki sasa rasmi ni "USWAHILINI."

    Serikali ya CCM kupitia BW Mkapa, mwaka 2004 iliuza Nyumba karibu zote zile za Daraja la Kwanza zilizokuwa za Serikali na Mashirika. Nyumba hizo katika mikoa tofauti lakini kwa ufupi , DAR ES SALAAM: Oysterbay, Masaki, Kawe, ADa Estate, Bahari Beach, Mbezi BEach, Upanga, Kurasini , Posta-...
  7. Kitomai

    JamiiForums Tanzania Experience Luxury Living in Masaki

    ✨ Modern fully furnished 3-bedroom apartment available for rent in the heart of Masaki 📍 Enjoy comfort, security, and premium amenities in a beautifully renovated home designed for modern living. ✅ 3 Bedrooms All En-suite ✅ Brand New Furniture ✅ Swimming Pool & Gym ✅ 24/7 Security ✅ Prime...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara inayounganisha Busoka na Masaki Wilayani Kahama hali yake ni mbaya

    Hii ni Barabara ipo Kahama na inaunganisha vijiji vya Busoka na Masaki hali yake ni mbaya, Barabara imekatika na maji mengi yanapita katikati, jambo linalofanya iwe vigumu au isiwezekane kabisa kwa magari na vyombo vingine vya usafiri kupita. Tunaomba viongozi ("Waheshimiwa") na wazee wa Kahama...
  9. radhiya

    JamiiForums Tanzania New built Apartment For Sale at Masaki

    Model homes now open. Experience a luxury Seaview living in our stylish and modern project located at Masaki, Chakechake rd. Make your ideal life a reality at Manhattan Court, nestled in the heart of Masaki, offering immersive comfort. Units available: 3 bedrooms available only. G-floor: 3bhk...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ukuswanywaji huu wa Taarifa Binafsi kwa wakazi wa Masaki si sawa. Sensa ilikuwa ya nini?

    Hivi kwanini kulifanyika Sensa miaka 4 iliyopita? Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (na Kanuni zake) haijafuatwa na itashangaza kama Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi itakaa kimya huku Sheria ikionekana wazi kuelekea kuvunjwa. Wenye mamlaka wamezoea kufanya vitu kwa mazoea, nyakati kama hizi...
  11. Joh MANGI Kim

    JamiiForums Tanzania House4Sale House for sale, Nyumba inauzwa 10m bagamoyo zinga mtaa wa masaki

    NYUMBA INAUZWA 10M – BAGAMOYO ZINGA, MTAA WA KISHUA BAGAMOYO ROAD UPANDE WA BAHARINI Nyumba 2 bedrooms, (no doors, windows, flooring), plot 21×19 (≈400 sqm) Bagamoyo – Zinga. Karibu na barabara umbali wa kutembea mtaa una MAJI, UMEME NA NEIGHBORHOOD NZURI, plot 21×19, hati tayari Bei: 10M cash...
  12. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kaka yake Polepole: Tukitoka tunaanzia Masaki kumalizia Mikocheni." Jicho la kijasusi kupitia kauli hiyo

    Je, nini hatima ya kauli iyo kijasusi, kasema yupo Tanzania na watanzania wasiogope wapinge tena kwa vitendo" kamalizia kwa kusema wanaanzia sehemu fulani kumaliza sehemu fulani Uchambuzi wa kiintelijensia nikaja na nadharia zifuatazo. 1- Watanzania wasiogope ANa watia moyo watanzania na pia...
  13. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Uelekeo ni Ikulu, Masaki na Mbweni

    Sasa tunaenda kwenye makazi yao. Ni kuwakamata na kuchoma mali zao na makazi yao. Leo ni siku ya Ukombozi Tanzania Mungu ibariki Tanzania
  14. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Moto ulivyozua hataruki kwa abiria daladala ya Gongolamboto Masaki

    Abiria ambao walikuwa kwenye usafiri wa daladala Eicher T 798 EDZ walijikuta katika taharuki baada ya gari hilo ambayo walikuwa wanasafiria kutoka Masaki kwenda Gongolamboto kuwaka moto kwa chini. Moto huyo uligundulika na Wananchi ambao wapo nje ya gari hiyo na kusaidia gari hiyo kusimama na...
  15. The Mongolian Savage

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Masaki na Mbweni ya Nepal zikiungua

  16. radhiya

    JamiiForums Tanzania Manhattan Court apartments available for Sale at Masaki

    MANHATTAN COURT Model homes now open. Experience a luxury Seaview living in our stylish and modern project located at Masaki, Chakechake rd. Make your ideal life a reality at Manhattan Court, nestled in the heart of Masaki, offering immersive comfort. Prices starting from: 3 bedrooms: USD...
  17. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Polepole: Wanatakatisha pesa kwa kununua magari ya kifahari na kujenga nyumba Masaki

  18. kavulata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini jezi za Simba zizinduliwe Superdome Masaki, 'sisi' wa Msimbazi sio muhimu?

    Wenye fedha ndio muhimu msimu huu hapa Simba. Uzinduzi wa jezi za Simba umewalenga wao tu sisi wa Tandale tusubiri masazo baada ya vibopa kuzivaa kwanza. Hii imetudhalilisha vibaya sana sisi tunaopaka rangi nyekundu usoni viwanjani wakati wa mechi. Naomba matajiri waende kuishangilia timu...
  19. radhiya

    JamiiForums Tanzania Looking for JV Plot in Masaki or Oysterbay

    We are looking for Joint Venture plots. Plots location: Masaki or Oysterbay, Dar es Salaam. Plots Size: SQM 800 - SQM 4000+. Plot should have Title Deed. For further details, Kindly contact us. Contacts: 0784 829565 or 0767 833345 @prathlimited
  20. radhiya

    JamiiForums Tanzania Looking for JV Plot in Masaki or Oysterbay

    Attention Property/Plot Owners! On behalf of our client, we are looking for a JV Plot in Masaki or Oysterbay, Dar es Salaam. Client requirements: -Plot size should be 2000sqm-4000sqm maximum. -Terms 30%/70%. -Owner should be ready for Villa development. -Plot should have Clean title deed. -JV...
Back
Top Bottom