Kutana na Mh. Amou Haji, anayejulikana kama "mtu mchafu zaidi duniani," aliishi maisha ya kujitenga katika kibanda kidogo kando makazi ya watu, baada ya kukosa kuoga kwa zaidi ya miongo sita.
Kulingana na wakazi wa kijiji chake, mwili wake ulikuwa umefunikwa na masizi mara kwa mara kutokana na...