cheti

  1. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Natatuaje hili tatizo la kuverify cheti cha CSE ajira portal

    Ni siku na masaa kadhaa sasa hii changamoto bado inaendea sana na nimejaribu kuwatumia email ila bado hakuna majibu kabisa.. Wenye uzoefu ukitaka kuverify cheti cha form four unatokaje hapa kama utakumbana na mkasa huu.. angalia pichani.
  2. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania OSHA wanatoa cheti gani kwa mtu anayetaka kufanya kazi sehemu hatarishi kama mgodini

    Kwa mtu anayehitaji kufanya kazi eneo kama mgodi anahitaji nini, vyeti au matibabu yapi kutokea taasisi ya OSHA na gharama zake zikoje. Natanguliza shukrani
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahitimu wa Diploma Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Mwaka 2023 tunazungushwa kupata cheti mpaka leo

    Naomba mnisaidie kupaza sauti kuhusu changamoto inayowakabili wahitimu wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE), hususan wanafunzi wa Diploma in Adult Education. Mimi ni mwalimu niliye kazini, nilihitimu mwaka 2023 Kampasi ya Bukoba. Hata hivyo, hadi sasa bado sijapatiwa cheti changu cha...
  4. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Kuna madhara gani nikiweka ''lamination'' kwenye cheti changu ?

    Moja kwa moja.. Siku za nyuma nilienda Veta kuchukua cheti changu , niliistaajabu baada ya kupewa yule Dada aliyenipa aliniambia nisiweke lamination bila kuniambia sababu. Naomba kujua wajuzi je , ipi inawezekana kuwa sababu ya kuniambia hivyo na je , Kuna madhara yeyote niliweka ? maana...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kigezo cha cheti cha Darasa la 7 ajira ya TAKUKURU kiangaliwe vizuri

    Mimi ni kijana ninayeomba ajira zilitolewa TAKUKURU lakini kuna sharti la Cheti cha Darasa la Saba, ukweli mtupu kuwa tuliohitimu Mwaka 2015 Darasa la Saba hatukupata vyeti hadi sasa havipo. Hii inatia ugumu kupata nafasi kwa kigezo hiki kwani miaka mingine wana vyeti, hii itatukosesha nafasi...
  6. Light Saber Imetosha Sasa

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa Malango ya Mafanikio (Gatekeepers): Kwa nini Cheti cha Shule kisikufanye ujione mnyonge

    Katika safari ya maisha, kuna vitu tunaita "Gatekeepers" au walinzi wa malango. Hawa ni pamoja na Cheti cha Kuzaliwa, NIDA, na Vyeti vya Elimu. Wengi wetu tukikosa hicho cha mwisho (Cheti cha Elimu), tunaanza kukata tamaa na kujiona hatuna thamani ("Self-esteem" inashuka). Lakini ukweli ni upi...
  7. R_Breazy

    JamiiForums Tanzania Nitumie short cut ipi nipate cheti cha A'LEVEL

    Wakuu habari za wakati huu Jobless Mimi Nina kipengele kimoja ili kukidhi matakwa ya hizi nafasi za ajira TAKUKURU. Advance nimesoma private mpaka namaliza nilikuwa nadaiwa 1m+ hivyo sikuchukua CHETI. Wakuu nafikiria namna ili niweze kupata CHETI niweze kuapply PESA YA KULIPA NACHODAIWA SINA...
  8. Selwa

    JamiiForums Tanzania Nimeacha na mwanamke wangu, sasa anasema kajifungua mtoto wangu ila cheti cha kuzaliwa hataki nikione

    Bangudu
  9. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi anayejua vizuri Auto electrical au aliyesomea hii kozi ngazi ya cheti au diploma

    Habari wakuu! Nina shida na fundi mzuri wa auto electrical mwenye cheti kwa ngazi ya diploma sio lazima awe vizuri kwa upande wa practical, uzoefu ataupata kazini!! Kama unamjua mtu wa namna hiyo au ni wewe mwenyewe unaweza Kuja dm au comment namba ya simu, nitakupigia
  10. Equation x

    JamiiForums Tanzania Elimu ni cheti au ni ujuzi?

    Hapa nilipo nina vyeti vingi kweli, vinakaribia kujaa begi, lakini sina uwezo wa kuvumbua chochote kile kwa kutumia elimu niliyoipata kutokea chekechea mpaka uprofeseri...
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Cheti cha ndoa kina msaada kugawana mali tukiachana??

    Tutagawana mali maana nina cheti cha ndoa. Pambana umbane mfunge ndoa ili hata akikuacha mgawane mali. Umewahi kuzisikia hizi kauli bila shaka. Hizi ni kauli na mawazo ambayo wanawake na wazazi wengi wako nayo kichwani na vinywani mwao. Leo wacha niwaambie ukweli mchungu. Cheti cha ndoa pekee...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO eRITA portal ina matatizo. Yatatuliwe haraka

    Tafadhari taarifa ziwafikie Hawa RITA Nini maana ya kuweka huduma ya kuomba cheti kwa njia ya mtandao kama mtu nimefanya maombii ya cheti cha kuzaliwa mwezi wa 12 mpaka sasa hakuna mibu ya aina yoyote tunapata tabu sana ukienda Ofisini shida tupu. Hakuna haja ya kuwa na eRITA portal
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ukipoteza au ukitaka kurekebisha cheti chako cha Chuo cha Stella Maris (Tawi la SAUT - Mtwara) ni ngumu kufanikiwa

    Huku kwetu Mtwara, kuna changamoto inayowakuta Wanafunzi wa Chuo cha St. Augustine University of Tanzania (SAUT) Tawi la Mtwara linalojulikana kwa jina la Stella Maris Mtwara University College (STEMMUCO) kutopewa vyeti vyao tena kama vilipotea au inapotokea vina marekebisho. Baadhi ya wahitimu...
  14. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Wahitimu Wasiohudhuria Mahafali Wanatozwa hela ya joho mda wa kufuta cheti .je hii ni sawa

    Sio jambo geni wala la kushangaza kwa baadhi ya wahitimu wa vyuo vikuu nchini Tanzania kukutana na changamoto mbalimbali baada ya kumaliza masomo yao. Kwa kawaida, kumaliza shahada au stashahada ni hatua ya furaha na fahari kwa mhitimu na familia yake. Hata hivyo, baadhi ya vyuo vikuu nchini...
  15. funaku

    JamiiForums Tanzania Larry Madowo na CNN wana cheti cha ithibati cha kufanya forensic investigations?

    Kwa wajuzi wa mambo ningependa kupata ufafanuzi je CNN inayo mamlaka ya kufanya uchunguzi na kudeclare eti ni uchunguzi wenye hadhi ya forensic investigation? Hii fani ya forensic investigation imeingiliwa? Kama wametumia chombo chenye hadhi hiyo je ni chombo gani? Sisi wanasayansi huwa...
  16. Mlume Ndago

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kubadilisha cheti changu kuzaliwa pamoja na baadhi ya herufi za majina yangu na mama yangu

    Habari wakuu, Poleni na msiba wa kitaifa tunaoendelea kuuomboleza. Moja kwa moja nijikite kwenye mada husika kwa kuwaomba msaada wa mawazo na ushauri kwa ujumla. Mimi nina cheti cha kuzaliwa lakini cheti changu ni cha zamani sana kimetoka tangu mwaka 1988. Katika cheti changu jina langu...
  17. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 VIDEO: Samia aibuka, akabithiwa cheti cha ushindi. Huyu mtu anatudharau sana Watanganyika

    Baada ya kuwa mafichoni, hatimae karejea kwa kificho ili akabithiwe cheti cha ushindi aliopora kwa mtutu wa bunduki. Habari mbalimbali zinatabaruku kuwa ataapishwa haraka haraka then arudi mafichoni mpaka hali ya sintofahamu itakapotulia. Je, Watanganyika tumekubaliana na huu uhaini...
  18. Think2

    JamiiForums Tanzania Sehemu ya kuupload cheti cha kuzaliwa kwenye uhakiki wa cheti haionekani

    Mdogo wananisumbua sana wameomba kufanya uhakiki wa cheti cha kuzaliwa lakini option ya kuupload cheti haipo, msaada wakuu
  19. anxiety

    JamiiForums Tanzania Nataka nibadilishe jina la kwenye cheti cha kuzaliwa cha mtoto wangu. Nawezaje kufanya hivyo?

    Wakuu Kuna mwanamke kipindi Cha ujana tulifanikiwa kupata mtoto. Baada ya hapo nikawa nimetoka sehemu hiyo Sasa mwanamke majina yangu hakua anaya fahamu, Ikabidi mtoto apewe majina tofauti na yangu. Changamoto imekuja nataka nimfungulie bima. Nataka kufahamu nitumie njia gani ya kubadilisha...
  20. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Je, utaratibu wa leseni sasa hivi mpaka upeleke cheti kipitishwe hasa class D?

    Maana kuna mdau amesema yeye kapeleka cheti sehemu usika ajabainisha ni polisi au tra lakini sasa iyo ipoje naona kama ni hivyo utakua utaratibu mpya ama wajuzi tujuzane kunitoa kwenye sinto fahamu
Back
Top Bottom