Nalipwa 500,000/=(laki tano) kwa mwezi, unanishauri niwekeze wapi?

MOSHI UFUNDI

JF-Expert Member
Nov 25, 2022
501
1,147
Asalaam wakuu.

KUfupisha uzi.

Kwasasa kuna mahali nafanya kazi nalipwa laki 5, ila kazi inanichukulia muda mwingi sana. Ingawa nakula bure , na nalala bure(vyote nimepewa na ofisi yangu).

Umri wangu 20's.

Naomba ushauri niwekeze pesa yangu wapi ili niongeze kipato changu.

Mwanzo niliwaza nijichange ninunue pikipiki ya boda nimpe mtu aniletee hesabu , sijui kwenu imekaaje hii?

Naombeni ushauri wenye manufaa wakuu.
 
Uwe unasuka mikeka,
Ukipata odds zako 2 tayari una 1Mil
 
Asalaam wakuu.

KUfupisha uzi.

Kwasasa kuna mahali nafanya kazi nalipwa laki 5, ila kazi inanichukulia muda mwingi sana. Ingawa nakula bure , na nalala bure(vyote nimepewa na ofisi yangu).

Umri wangu 20's.

Naomba ushauri niwekeze pesa yangu wapi ili niongeze kipato changu.

Mwanzo niliwaza nijichange ninunue pikipiki ya boda nimpe mtu aniletee hesabu , sijui kwenu imekaaje hii?

Naombeni ushauri wenye manufaa wakuu.
laki 5 nenda UTTAMIS tu, kawekeze kwenye hio mifuko ya kijamii, ukisema uweke kwenye biashara utapoteza sababu huna muda wa kusimamia hio biashara
 
Back
Top Bottom