kufunguliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Tundu Lisu aachiwe huru kwa mujibu wa sheria, akamatwe tena na kufunguliwa mashtaka upya yenye ushahidi mpya uliothibishwa.

    Aachiwe huru mara moja na kisha akamatwe tena hapo hapo baada ya kesi kufunguliwa upya, ili hatimae ushahidi mpya utumike katika kumtia hatiani na apewa haki anayostahili kama watuhumiwa wa uhaini wengine duniani. Hii itasaidia sana kutokuingilia uhuru na maamuzi ya mahakama za Tanzania, lakini...
  2. salisalum

    JamiiForums Tanzania Kupatikana tena kwa jukwaa la JamiiForums nchini Tanzania - shukrani kwa uongozi wa JF

    Tunawashukuru sana uongozi wa JamiiAfrica kwa kupigania hili jukwaa la kitanzania kwa ajili ya watanzania. Kufungia jukwaa ilikuwa sawa na kutuziba pumzi. Tunaiomba serikali iache utaratibu huu. Kama kuna shida iwe inatatuliwa kwa mazungumzo bila kuathiri upatikanaji wake. Wanasiasa walioko...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ina maana mpaka zile pingu ni za kisasa zikaenda kufunguliwa polisi.Na kwa nini walipigiwa simu na polisi

    Polisi wanataka kujichunguza wakati ndio wenye nyenzo. Mi navyo mjua kamanda muriro na wengine Ma RPC wanavyopenda sifa za kuita vyombo vya habari kutoa ripoti za matukio mbona kama wapo kimya. Kwa jinsi jeshi la polisi linavyojipeleka mda sio mchache sijui kama 2030 inafika kuna watu naona...
  4. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda CDF Muhoozi atangaza Mitandao ya kijamii yote kufunguliwa rasmi leo baada ya uchaguzi

    Mkuu wa jeshi ya Ulinzi ya Uganda (CDF), Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametangaza kuondolewa kwa vikwazo vya matumizi ya mitandao ya kijamii kufuatia kukamilika kwa mchakato wa uchaguzi nchini humo. Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mtandao wa kijamii wa X (zamani Twitter) leo Januari 26...
  5. majumba 6

    JamiiForums Tanzania Baada ya mtandao kufunguliwa maneno ya REST IN PEACE yametapakaa kwenye mtandao yote ya kijamii

    Pumzikeni Kwa Amani vijana wote mliotangulia mbele ya haki. Hakika vita mmeipiga na mwendo mmeumaliza..R.I.P ALL
  6. tpaul

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kanisa la Gwajima kufunguliwa hivi karibuni

    Kufuatia Askofu Dr Josephat Gwajima kutoa ultimatum ya siku 10 kwa kanisa lake kufunguliwa, taarifa za chinichini zinasema kwamba serikali, kupitia msajili wa vyama vya kijamii, iko mbioni kuandaa press conference kwa ajili ya kujiokoa na zahma ya bomu atakalolipua Gwajima ikiwa siku zitaisha...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Viongozi 32 wa Vyama vya Msingi Wakumbwa na Kesi ya Uhujumu Uchumi Igunga

    Mkuu wa mkoa wa Tabora Mhe Paul Chacha ameagiza viongozi wa vyama vya msingi vipatavyo 32 vya wakulima wa Pamba wilayani Igunga wakamatwe mara moja na kufunguliwa mashitaka ya uhujumu uchumi baada ya kubainika wamechezea mizani ya kieletroniki maarufu kama mizani janja ya kupimia uzito wa Pamba...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ukimya balonzi za nje zilizopo hapa nchini na kutokulaani tukio la kukamatwa Tundu Lissu na kufunguliwa kesi ya uhaini.

    Tumezoea kuona hizi balozi za nje mfano Marekani, EU n.k zilizopo hapa nchini zikitoa matamko ya kulaani pale zinapoona kuna uminyaji wa demokrasia nchini, lakini hawamu hii tangia kukamatwa mwenyeketi wa CHADEMA taifa Tundu Lissu na kuwekwa kolokoloni ni kimya kimetawala hamna ubalozi uliotoa...
  9. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania JasusiTV: Kukamatwa kwa Tundu Lissu, kufunguliwa shitata la uhaini kwampaisha. Vyombo 200+ vya habari duniani vyaripoti CNN, BBC, REUTERS, ALJAZIRA et

    https://youtu.be/ifBfgCwGG70?si=5olE9Kvs15AlxqIb ➡Ni ndani ya masaa 48 tu baada ya kukamatwa kwake kisha kufunguliwa mashitaka ya uhaini.. ➡Zaidi ya vyombo vya habari 200+ duniani kote ikiwemo CCN, SKYNEWS, AlJazira, BBC, Bloomberg, Lebanon News, vimeripoti tukio hili si ktk mtazamo wa kuwa ana...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 THRDC: Tumesikitishwa na kukamatwa kwa Lissu na kufunguliwa kesi ya uhaini, DPP aondoe shtaka hilo Mahakamani

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umesikitishwa na kukamatwa na kufunguliwa kesi ya uhaini, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu, ambapo wametoa wito kwa mwendesha mashtaka kuondoa kesi hiyo au kubadili hati ya mashtaka ili kumuwezesha kuachiliwa kwa dhamana...
  11. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Aliyeruhusu uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kufunguliwa anapaswa kuchunguzwa. Uwanja bado haufai

    Nimeshangaa sana kuona Mamlaka zinazosimamia viwanja kuruhusu uwanja huu kutumika kwa michezo ya Ligi namba 6 kwa ubora barani Afrika. Baada ya kutazama mchezo wa Tabora utd inashangaza kuona uwanja huu ukitumika kwa michezo rasmi. Uwanja hiu ulifungiwa wiki kadhaa zilizopita, Swali la kujiuliza...
  12. milele amina

    JamiiForums Tanzania Soko Jipya la Mbuyuni, Moshi Manispaa, lenye thamani ya Tsh 200 milioni kufunguliwa kesho tar 30.1.2025

    Karibuni wananchi wote!
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Sekondari Mpya ya Kijijini Butata Yakaribia Kufunguliwa

    SEKONDARI MPYA YA KIJIJINI BUTATA YAKARIBIA KUFUNGULIWA Serikali yetu inajenga sekondari mpya tatu (3) ndani ya Jimbo letu la Musoma Vijijini, na kila ujenzi/mradi umepewa Tsh milioni 584 (Tsh 584m) Sekondari hizo mpya zinajengwa: (i) Kijijini Butata, Kata ya Bukima (sekondari ya pili ya kata...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kwa nini shule zinafungwa na kufunguliwa siku moja kwa nchi nzima?

    Shule zetu zinafungwa na kufunguliwa siku moja nchi nzima. Inawezekana wazo hili lina nia njema na manufaa. Hata hivyo, naona utaratibu huu una changamoto ambazo zina athari kubwa mno kwa wanafunzi na wazazi. Baadhi yake ni changamoto ya usafiri, malazi na chakula safarini. Vyombo vya usafiri...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Sekondari Inayojengwa kwa Nguvu za Wanakijiji Kufunguliwa Mwezi Huu, Januari 2025

    SEKONDARI INAYOJENGWA KWA NGUVU ZA WANAKIJIJI KUFUNGULIWA MWEZI HUU (Januari 2025) Kijiji cha Muhoji kimeamua kujenga sekondari yake ili kutatua tatizo la umbali mrefu wanaotembea watoto wa kijiji hicho kwenda masomoni kwenye Sekondari ya Kata iliyoko Kijijini Masinono - umbali wa zaidi ya...
  16. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Diamond kufunguliwa kesi ya fidia ya mabilioni na Wakenya kwa kushindwa ku-perform

    Wakenya wajanja sana. Wametafuta njia ya kuyachota mahela ya msanii Diamond, njia pekee waliyoona ni kumwalika kwenye show na kutengeneza mazingira ya yeye kuvunja mkataba. Paap akaingia kwenye mfumo kwa kuvunja mkataba na sasa anaelekea kudaiwa mabilioni kama fidia.
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Zahanati Mpya Kufunguliwa Leo Kijijini Nyabaengere, Kata ya Musanja

    ZAHANATI MPYA KUFUNGULIWA LEO KIJIJINI NYABAENGERE, KATA YA MUSANJA Utoaji wa Huduma za Afya waendelea kuboreshwa ndani ya vijiji vya Jimbo la Musoma Vijijini. Kata ya Musanja yenye vijiji vitatu (Mabuimerafuru, Musanja na Nyabaengere) haikuwa na zahanati hata moja - wanatembea umbali mrefu...
  18. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kituo cha Kupigia Kura cha Lugalo, Kawe chakutwa na Maboksi ya Kura zilizopigwa kabla ya muda wa kupiga kura

    Kupata taarifa zote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kila mkoa ingia hapa: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Katika hali isiyokuwa ya kawaida inadaiwa kuwa masanduku matatu (3) ya kura...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Maduka jirani na ghorofa lililoporomoka yazuiwa kufunguliwa

    Wakati shughuli za uokozi wa jengo la ghorofa kuporomoka zikiingia siku ya tatu leo Jumatatu, Novemba 18, 2024, maduka yaliyo eneo la Msimbazi na yale ya Mchikichini, Kariakoo jirani na jengo hilo yamezuiwa kuendelea na biashara. Mbali na maduka, usafiri wa umma yakiwamo mabasi ya mwendokasi...
  20. Magical power

    JamiiForums Tanzania Maombi ya asubuhi ya Baraka Njema

    Tunakushukru Eee Mungu Baba kwa pendo lako kuu umetulinda na hatari zote za mwili na roho tumeamka salama tunazo changamoto ndani mwetu kwasababu sisi ni wahitaji Bwana Tunaomba ututendee wema wako sisi wahitaji katika maeneo yetu ya uhitaji wetu Eee Bwana Tutakapoyakabili majukumu basi...
Back
Top Bottom