( Uzalendo)Nimekataa mshahara wa milioni 50 kwa mwezi ili nirudi nyumbani Tanzania

Nesi mkunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2022
701
1,842
Hapa majuzi nilipata email kutoka shirika moja la Afya hapa Marekani jina kapuni kutokana na usiri( privacy) ya kimkataba na sheria ya hilo shirika na pia naweza kushitakiwa na then ninaweza kukosa madili mengi mengi ya hapa ya hapo ukimani kwenu

Kutokana na uzalendo wangu nimeamua kurudi Tanzania au hapo ukimani kwenu kuja kuwatumikia nyie kwenye shirika moja ambalo lipo chini kwa watu wa Marekani ila mshahara ni kiduvhu tu eti milioni 2 kwa mwezi aisee ila.kutoka na uzalendo wangu nimeona sio kesi ngja nije tu kuwatumia hapo kwenu ukimani

Kusema za ukweli nimetoka Tanzania kitambo kidogo naomba nipate mwenyeji wa kuniekekeza hapo kwwnu ukimani

Bye bye Chicago,.hodi Dar eSsalaam au ukimani
 
Kwanza rekebisha uandishi wako mkuu, coz namna unavyoandika najiuliza umewezaje kupata kazi kwenye shirika la afya la marekani tena inayolipa milioni 50 kisha ukaikataa?

ila mshahara ni kiduvhu tu eti milioni 2 kwa mwezi aisee
Hapa unazidi kutuonyesha kuwa hauna uzalendo huo unaosema.

Piga kazi mkuu, acha janja janja!
 
Mimi baada ya kumaliza degree yangu ya Masoko pale Manhattan University nilikataa mshahara wa Million 800 kwa mwaka ili nitimize ndoto yangu ya kumiliki biashara yangu na kwa sasa niko Kariakoo nauza juisi ya miwa ila nina furaha 100%... Ukimani ni burudani sana nimefanikiwa pia kupata mashine ya kuzalishia bisi. Ajira ni utumwa ndugu zanguni
 

Hongera
Jumatatu ulihama mkoa × nadhani ulihamia Chicago na ukapata kazi na unarudi dar hongera mkuu
 
Back
Top Bottom