damu

Damu is a god of vegetation and rebirth in Sumerian mythology.

View More On Wikipedia.org
  1. Gospel KTV

    JamiiForums Tanzania Mchumba wake ni Mngoni, lakini Mama Mkwe mtarajiwa ni Mchaga wa damu. Je, aingie mzima mzima au apige gia ya nyuma?

    Wakuu wa jukwaa hili, natumai mko salama. Kuna jambo zito la kiutamaduni na kifamilia limenileta mezani leo kutoka kwa rafiki myangu wa karibu sana wa kiume. Kijana yuko hatua za mwisho za kwenda kutoa mahari na kuoa, lakini amegundua mchanganyiko fulani kwenye familia ya binti unaomnyima...
  2. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Sijui kwanini ila mara nyingi mtoto wa tatu na wanne mara nyingi sio damu yako.

    Nachojiuliza ni namna gani wanawake wame master sanaa ya kuzaa na bwana akalea kama watoto wa kiuno chake.
  3. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania MJUE MWENZI WAKO:- Watu hawa wenye damu AB- ni ngumu sana kuwajua kwa kina, ni wabaridi sana, hawana ladha kabisa.

    Watu wenye kundi la damu la AB- ni miongoni mwa watu nadra sana duniani (chini ya 1% ya idadi ya watu wote). Katika mifumo ya saikolojia na utamaduni wa tabia za makundi ya damu (kama vile Ketsuekigata), watu hawa huchukuliwa kuwa na sifa za kipekee zaidi kutokana na nadra yao na mchanganyiko wa...
  4. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania MJUE MWENZI WAKO:-Tabia hizi ni za watu wenye kundi la damu AB

    Katika jamii, watu wenye aina ya damu ya AB+ mara nyingi huchukuliwa kuwa na tabia za kipekee sana. Hii ni kutokana na ukweli kwamba kibaolojia damu ya AB ni nadra (inapatikana kwa takriban 3% hadi 5% tu ya watu duniani), na pia inachanganya sifa za kundi A na kundi B. Ingawa mambo ya...
  5. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Sehemu sahihi na sio sahihi kwa wanadamu waliopo duniani ?.Je ni makusudi ya mungu.

    Ili jambo nimetafakari sana kuhusu wanadamu wanapojikuta sehemu sahihi au sio sahihi kwa kuzaliwa,kuhama,kubadilisha mazingira,jambo,kazi na n.k. Kuna mambo unaweza kulazimisha sehemu sio sahihi na wakati wewe ni sahihi mfano kama teknolojia zingekuwa zinatokea afrika basi hata haya tunayo...
  6. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya Magari Showroom (Kausha Damu): Serikali Iingilie Kati, Hii Siyo Fursa Ni Unyonyaji wa Wazi

    Amani kwenu wakuu, Ukiingia Mtandao wa Instagram hivi sasa, kurasa za wauzaji wa magari zimefurika matangazo ya mikopo yenye ushawishi mkubwa. Makampuni maarufu ya kuuza na kuagiza magari Dar es Salaam yote yanatangaza fursa za kutoa magari kwa mkopo. Kijuujuu inaonekana ni msaada kwa vijana...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho3,mtoto umri miaka 10 anakojoa mkojo umechanganyikana na damu

    Wakuu nimerudi kuwapa mrejesho Tena,baada ya kumaliza dawa za kichocho prazquantel 600mg vidonge vinne hali ya mtoto ikawa vile vile Bado anaendelea kukojoa damu Leo asubuh nimeamkia hospital hapa yawakatoliki hospital ya kati tu,mtoto akaandikiwa vipimo Tena vya damu,mkojo,ultrasound ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Anakojoa mkojo umechangayika na damu Wakuu na uliza presha ya mtoto umri miaka10 kg 37 anatakiwa awe na presha isiyozid ngap

    Wakuu yule mtoto wangu anakojoa mkojo umechanganyikana na damu nauliza presha ya mtoto inatakiwa iwe ngap,mtoto ana umri miaka10
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho no 2: Mtoto wa kiume umri miaka 10 anakojoa mkojo umechanganyikana na damu

    Habar wakuu,kama nilivyoleta kwenu ugongwa huo wa mtoto wangu nanikachukua hatua yakwenda hospital ya rufaa akapimwa mrejesho wa kwa kwanza kipimo katika mkojo usio na damu hakuonekana nitatizo,vipimo vya siku ya pili akapimwa mkojo uliokuwa umechanganyikana na damu majibu yakatoka ana kichocho...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho,mtoto wangu wakiume umri miaka 10 anakojoa mkojo uliochanganyikana na damu

    Habar wakuu nimerudi kuwapa mrejesho,asubuh ya Leo nilifika hospital yamkoa tukafanya taratibu zote za kumuoona daktar,nikaandikiwa nimuone daktar wamkojo bas tukaingia kwa daktar nikajielezea hali ya mtoto ilivyoanza mpaka mda huo,dokta akauliza kama mtoto alipigwa eneo husika lasiri akasema...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume anakojoa damu umri maiaka10

    Habar wakuu nakijana wangu umri miaka 10, Leo jioni alivotoka shule kanipa taarifa akiwa shule alienda kukojoa zikawa zinatoka damu akawa kajifunga kitambaa kwa muda wote akiwa shule leo,bahat mbaya hakumwambia hata mwalimu wake wa darasa,karudi nyumbani jioni akanambia hali aliokua nayo Bas...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mungu anahitaji sadaka ya damu??

    https://youtu.be/mqajdPo5EPE?si=0zqavtkoCwjmKbsn
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kiti Cha Urais Ndicho Kinacholindwa Kwa Jasho Na Damu Maana Ndio Nchi Yenyewe. Ukileta Ujuaji, Usaliti, Hujuma na undumila Kuwili Utajutaa Kuzaliwa

    Ndugu zangu Watanzania, Hata Hayati Baba Wa Taifa Amewahi kusema na kuandika katika kitabu chake cha Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania cha Mwaka 1994 ya kuwa Ukimtikisa Rais Wa Nchi unakuwa Umeitikisa Nchi yaani Huwezi kumtikisa Rais wa Nchi na Nchi ikabakia Salama. Unaweza kumtikisa...
  14. Etwege

    JamiiForums Tanzania Nimejiridhisha laana ya damu ya Humphrey Polepole na Mdude Nyagali ni kali

    Kwa yanayoukuta utawala wa awamu ya pili wa Rais Samia ni balaa . 1. Rais Samia alijigamba kuifungua nchi lakini amekuja kuifunga kuliko Rais yoyote tangu uhuru. 2. Serikali ya Samia imetengwa kutoka ndani ya nchi hadi nje ya nchi, Rais Samia amepigwa marufuku ziara za Ulaya na America 3...
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania MADARAKA YA KULEVYA: Umwagaji Damu, Utekaji, na Siku za Mwisho za Udikteta

    Ndugu Wananchi wenzangu wanaoumia, Nimesimama mbele yenu kusema ukweli mchungu unaofichwa kwa nguvu nyuma ya propaganda za kisiasa. Taifa letu haliongozwi tena kwa misingi ya sheria wala Katiba; linaendeshwa kwa hofu, vitisho, na ukatili unaotokana na ugonjwa hatari unaoitwa "Madaraka ya...
  16. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya watumishi ni kausha damu

    Mikopo ya watumishi wa umma kausha damu. Unakopa benki milioni 15, kinachoingia milioni 13 makato, milioni 32 haijalishi utalipa kwa muda gani, lakini hii ni kausha damu.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Damu ni nzito kuliko maji: Baba wa kambo hata uwajali watoto, wakikua wataanza kutafuta asili za baba zao, hata kama mama zao waliwasingizia mabaya

    N:B: Uzi huu kwa namna yoyote ile haushinikizi kukataa watoto wa nje wala kuoa wanawake wenye watoto, bali unaeleza nature ya mwanadamu kwenye kutaka kuwa karibu na asili yake kadri anavyokua. Nimewahi kuona familia kadhaa ambazo ndani yake kuna watoto waliozaliwa nje ya ndoa, na baadaye...
  18. Nicolas J Clinton Gabone

    JamiiForums Tanzania Siasa za maigizo hazifuti damu, heshima hainunuliwi kwa vikao vya ikulu

    SIASA ZA MAIGIZO HAZIFUTI DAMU, HESHIMA HAINUNULIWI KWA VIKAO VYA IKULU Nianze na nukuu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere "Mtu mwenye akili akikuambia jambo la kipumbavu, na wewe ukijua ni la kipumbavu ukamkubalia, anakudharau." Kauli hii ya Mwalimu Nyerere siyo ya kutafakari kwa...
  19. pandex bawasiri

    JamiiForums Tanzania Bawasiri ni kutanuka au kuvimba kwa mishipa ya damu (dilated or enlarged veins) iliyopo sehemu ya chini ya rectum au sehemu ya haja kubwa (anus).

    VISABABISHI/MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA BAWASIRI 1.🖇️ Uzito kupita kiasi(Overweight) 2.🖇️ Ujauzito 3.🖇️ Unywaji pombe 4.🖇️ Kukaa sana sehemu ngumu 5.🖇️ Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa. 6.🖇️Kujisaidia Choo Kigumu.Sababu za kujisaidia choo Kigumu ni: -Vidonda vya TUMBO -Ngiri/Hernia...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwa nini bill gates anaitwa neno la kashfa mnywa damu za watoto, ili neno ni kwamba ..

    Tunaposema matajiri wana siri nyingi na yeye ni mmoja wapo. Kupewa neno la mnywa damu za watoto sio kwamba anakunywa damu za watoto. Ila kutokana na tabia yake alivyoweza kuzima ndoto za watoto wengi na matarajio ya vijana wengi ambao kipindi chake kama ilivyo tanzania na sanaa na watu...
Back
Top Bottom