Israel iko hoi kiuchumi baada ya kujiingiza Gaza. Ikiwa ni mwezi wa pili tu. Hamas wamelipandisha deni lake mpaka 8 bn Dollar

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,183
10,913
Vita kati ya taifa kubwa la Israel na wanamgambo wa Hamas vikiingia mwezi wa pili tayari serikali ya taifa hilo imeshaingia hasara kwa kuongezeka deni lake kwa dola bilioni 8.sawa na shekel bilioni 30.

Waziri wa fedha wa taifa hilo amesema deni hilo limetokana na serikali kugharamia shughuli za kiuchumi kwa wale waliohamishwa mipakani na pia kugharamia familia za waliotekwa sambamba na ghjarama za kulihudumia jeshi la IDR kuendelea na vita.

Kwa mujibu wa waziri huyo,hali hiyo ya kudorara kwa uchumi kumechangiwa pia na kushuka kwa kodi kutoka kwa wafanyabiashara tangu kuanza kwa vita hvyo mnamo Oktoba 7.

Hali hiyo imeikumba Israel ikiwa inapambana na wanamgambo wa Hamas pekee na kwa kiasi fulani wakisaidiwa na Hizbulah.

Wachambuzi wa masuala ya kiuchumi wamechora picha mbaya kwa nchi hiyo pindipo mataifa jirani yatakapoamua kutoa msaada kwa Hamas katika vita vyake hivo na Israel..Uwezekano wa kusambaratika kabisa kwa taifa hilo utakuwa ni mkubwa zaidi.

------

JERUSALEM (Reuters) - Israel has raised about 30 billion shekels ($7.8 billion) in debt since the start of the war with Hamas militants, the Finance Ministry said on Monday.

Slightly more than half of that - 16 billion shekels - was dollar-denominated debt raised in issuances in international markets, it said.

The ministry on Monday raised another 3.7 billion shekels in the local market in its weekly bond auction.

"The financing capabilities of the State of Israel allow the government to fully and optimally finance all its needs," the ministry's accountant-general division said.

The war that began on Oct. 7 when Hamas gunmen rampaged through Israeli towns has sharply boosted Israel's expenses to fund the military as well as to compensate businesses near the border and families of victims and hostages taken by Hamas. At the same time, tax income has slowed.

As a result, Israel recorded a budget deficit of 22.9 billion shekels in October, a leap from 4.6 billion in September and pushing up the deficit over the prior 12 months to 2.6%.

The ministry said it would continue to operate "in all channels in order to finance the government's activities, including all the needs arising from the ... war and the economic and civil aid to the home front."

Prime Minister Benjamin Netanyahu has vowed to "open the taps" to help those impacted by the war, which economists believe will sharply push up the deficit and debt to GDP ratio through 2024.

But Bank of Israel Governor Amir Yaron has said the government needs to balance "supporting the economy and maintaining a sound fiscal position."

Credit rating agencies have already warned they could cut Israel's ratings if debt metrics deteriorate.

The accountant general denied an Israeli media report that the state would apply for a loan from the Bank of Israel for the first time since 1986.
 
Israel isambaratike kwa Sababu inapigana na Hamas? Hakuna taifa lolote na Middle East linaloweza kuisaidia Hamas kwa Sasa kwa kuwapa risasi hata Moja tu hadharani mchana kweupe. Ila wanaweza kuisaidia Hamas kupitia kufadhili vikundi vidogo vidogo vya kigaidi kama Hezbollah etc.
 
Kwani ukiwa mkweli utapungukiwa nini?

Vita ni ya Israel na mataifa ya kiarabu na siyo HAMAS kama unavyodai.

Hata hivyo mtanyooka tu.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Mungu atawalisha Mana kama alivyowalisha jangwani
1000001100.png

Watu hawa ndio unawaombea dua? Viumbe waovu kabisa duniani, hawa hili taifa limelaaniwa.
 
Israel isambaratike kwa Sababu inapigana na Hamas!!!!!!?????. Hakuna taifa lolote na Middle East linaloweza kuisaidia Hamas kwa Sasa kwa kuwapa risasi hata Moja tu hadharani mchana kweupe. Ila wanaweza kuisaidia Hamas kupitia kufadhili vikundi vidogo vidogo vya kigaidi kama Hezbollah etc.
Basi kama ni hivyo Hamas watapigana wenyewe na watapata msaada usioonekana na binadamu mpaka watashinda.
 
Bro Israel ni binamu wa USA, Kaka mkubwa USA, ye ye ndio anahaki ya kufystua dollar, atampa ma dollar Mengi tu, na uchumi, utarudi kama mwanzo,
Mabepar huwa hawapean tu isipokuwa wanakopeshana km una vigezo vya kukopeshwa
 
Vita kati ya taifa kubwa la Israel na wanamgambo wa Hamas vikiingia mwezi wa pili tayari serikali ya taifa hilo imeshaingia hasara kwa kuongezeka deni lake kwa dola bilioni 8.sawa na shekel bilioni 30.

Waziri wa fedha wa taifa hilo amesema deni hilo limetokana na serikali kugharamia shughuli za kiuchumi kwa wale waliohamishwa mipakani na pia kugharamia familia za waliotekwa sambamba na ghjarama za kulihudumia jeshi la IDR kuendelea na vita.

Kwa mujibu wa waziri huyo,hali hiyo ya kudorara kwa uchumi kumechangiwa pia na kushuka kwa kodi kutoka kwa wafanyabiashara tangu kuanza kwa vita hvyo mnamo Oktoba 7.

Hali hiyo imeikumba Israel ikiwa inapambana na wanamgambo wa Hamas pekee na kwa kiasi fulani wakisaidiwa na Hizbulah.

Wachambuzi wa masuala ya kiuchumi wamechora picha mbaya kwa nchi hiyo pindipo mataifa jirani yatakapoamua kutoa msaada kwa Hamas katika vita vyake hivo na Israel..Uwezekano wa kusambaratika kabisa kwa taifa hilo utakuwa ni mkubwa zaidi.
---
JERUSALEM (Reuters) - Israel has raised about 30 billion shekels ($7.8 billion) in debt since the start of the war with Hamas militants, the Finance Ministry said on Monday.

Slightly more than half of that - 16 billion shekels - was dollar-denominated debt raised in issuances in international markets, it said.

The ministry on Monday raised another 3.7 billion shekels in the local market in its weekly bond auction.

"The financing capabilities of the State of Israel allow the government to fully and optimally finance all its needs," the ministry's accountant-general division said.

The war that began on Oct. 7 when Hamas gunmen rampaged through Israeli towns has sharply boosted Israel's expenses to fund the military as well as to compensate businesses near the border and families of victims and hostages taken by Hamas. At the same time, tax income has slowed.

As a result, Israel recorded a budget deficit of 22.9 billion shekels in October, a leap from 4.6 billion in September and pushing up the deficit over the prior 12 months to 2.6%.

The ministry said it would continue to operate "in all channels in order to finance the government's activities, including all the needs arising from the ... war and the economic and civil aid to the home front."

Prime Minister Benjamin Netanyahu has vowed to "open the taps" to help those impacted by the war, which economists believe will sharply push up the deficit and debt to GDP ratio through 2024.

But Bank of Israel Governor Amir Yaron has said the government needs to balance "supporting the economy and maintaining a sound fiscal position."

Credit rating agencies have already warned they could cut Israel's ratings if debt metrics deteriorate.

The accountant general denied an Israeli media report that the state would apply for a loan from the Bank of Israel for the first time since 1986.
Hongera sana mzee kwa mapambano.Kama iko hoi kiuchumi sijui Palestina itakuwaje.Anyway Takbiiiiiiir
 
Back
Top Bottom