kausha damu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bhizabhityo BB

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya "Kausha Damu": Suluhisho la muda mfupi lenye madhara ya muda mrefu

    Mkopo wa Sh. 100,000 — Hesabu Halisi Pasaka hii nilikuwa napiga story na baba mdogo wangu huku kigamboni kuhusu mikopo “kausha damu”. Alipata mkopo wa Sh. 100,000 kwa muda wa siku 30, na malipo ya Sh. 4,000 kwa siku. Kwa njia hiyo, malipo ya jumla yanafika Sh. 120,000 Ukiangalia kwa haraka...
  2. JimCarrey

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje niache kubeti?

    Guys naombeni ushauri unaofaa nimekua mraibu wa kubeti mpaka Sina Tena marafiki, Nina madeni mpaka kausha damu, mkewangu anataka aondoke aniache, Nina watoto wanne na wanasoma, mwaka jana tu kidogo watimuliwe shule kwa kukosa ada. Nikakomaa miezi mitatu bila kubeti ila imeshindikana nimeanza...
  3. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Vikampuni vya mikopo online ni vikundi vya kausha damu, hivi Benki kuu imevisajili kweli? Mbona Zuri pesa wanatukana hivi?

    Aise, kwema wadauh? Leo nimecheka sana mwanangu mmoja alikopa elfu 40,000 wakampa 24,000/= badala ya 40,000 aise nilishangaa jamaa akala kiapo cha kutokulipa deni hilo, sasa hizo simu kutoka kwa zuri pesa ni balaa. Jamaa akaamua kuwatandika block la maana weee! UJUMBE uliofatia hapo ni balaa...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu: Nikipewa nchi, napiga marufuku kampuni zote zinazoleta kausha damu kwa wananchi

    Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema iwapo atachaguliwa kuingia madarakani atapiga marufuku kampuni zote zinazowaingiza wananchi kwenye mikopo ya kinyonyaji maarufu kama kausha damu. Mwalimu amesema haiwezekani taifa kuendelea kuendesha uchumi wake...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Utapeli wa mikopo ya kausha damu kwa watumishi wapya kutoka Platinum Credit limited, na kutofanya kazi mfumo wa ESS kipengele cha kuuza mkopo

    Wasalamu Napenda kutoa kero yangu iliyonisibu na kuharibu maisha yangu kwa kiasi fulani. Na Ilichangizwa kwa namna moja na uelewa wangu mdogo kwenye masula ya mikopo kipindi hicho, Ila pia inachangizwa na watumishi wasio wazalendo kwa makusudi ( utafiti wangu) sekta ya fedha ( B.O.T) Na...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mtia nia Ubunge Arusha: Mikopo ya kausha damu tutaifuta, najua mahali nitapata pesa zisizokuwa na riba

    Wakuu Mtia nia wa ubunge kupitia CCM Hussein Gonge akiomba kura kwa wajumbe ameahidi kuifuta mikopo ya kausha damu huku akieleza kuwa anfahamu mahali atakapotoa fedha zisizokuwa na riba.
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mikopo ya Mitandaoni (kausha damu) bado ipo!!

    Habarini wadau, Licha ya serikali kupitia bank kuu kufutia baadhi ya taasisi zinazotoa mikopo inayoumiza katika hali ya kusikitisha kampuni hizi bado zipo wadau!! Tarehe 13/06/2025 nilikopo mkopo mtandaoni kwenye App inayoitwa 'popo pesa'. Mkopo huo nilipaswa nirejeshe tarehe 19/06/2025, ajabu...
  8. kalooo 25594

    JamiiForums Tanzania Cheti chatumika kupata mkopo wa kausha damu?, Kalooism inauliza,na ni lini Afrika tutakamata pindo kama Rose Mhando?

    Wanajamvi! Muh! Tutalalaje hapajakucha?,Mambo ni vice-versa,Mjini bado ya vimbweka! Ni bora niendelee b'se I'm a fighter,it's better, no retreat, no surrender! Je wadau ni Lini sasa niijue wazi hiyo secret Agenda(6634) kwa mashahidi zaidi ya watatu wakirio kwa chapa ya nyakati mpya ya siku ya...
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Aziz Ki, baada ya Haji Manara kumalizwa na kausha damu, na wewe jipange, huna muda

    Ni dhahiri kwamba kwa sasa Haji Manara fedha imekata. Keller zoote,lakini msingi wake hela hakuna. Ally Kamwe na yeye amekaba balaa, aisee wapare wana unga wa miti na makopera. Tutamaliza makafara ya mbuzi na kondoo za Dar kwa ajili ya huyu dogo. Ni mkavu kama mwili wake. Dogo hachimbwi dawa...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Kukosekana kwa taarifa sahihi za mikopo ya riba nafuu kunawapeleka Wanawake kwenye 'kausha damu'

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima amesema kwamba kukosekana kwa taarifa sahihi za kutosha kuhusu namna Wanawake wanavyoweza kupata fursa za mikopo nafuu kwenye taasisi za kibenki kwa riba ndogo uenda ikawa sababu inayowapelekea wengi kudondokea...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania RC Shinyanga aonya Wanawake Mikopo ya kausha damu

    Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha amewaonya wanawake wa Wilaya ya Msalala kukopa mikopo ya kausha damu badala yake ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri kwa wanawake, vijana na watu wenye walemavu. Macha ameyasema hayo katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania DAS Kahama: Wanawake acheni mikopo ya kausha damu chukueni mikopo ya Samia

    Wanawake wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga wametakiwa kuchangamkia fursa mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na halmashauri bila riba na kuachana na mikopo umiza. Rai hiyo nimetolewa na Katibu tawala wa Wilaya hiyo Glory Absalum ambaye alikuwa mgeni rasmi kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya hiyo Mboni...
  13. chrispny

    JamiiForums Tanzania Walifungiwa app za mikopo walichokifanya ni kubadilisha majina ya hizo app na bado wanaendelea kufanya utapeli

    Habari wana JF. Kuna suala linaloendelea juu ya app za kukoposhe ONLINE. Hii mikopo imekaa kiunyonyaji sana. Mtu anakopa pesa online anapewa lakini mwisho wa siku usumbufu unakuja kwa watu ambao hawahusiki na huo mkopo. Nimekuwa nikipokea message kutoka kwa hawa jamaa wakidai nimewekwa kama...
  14. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Vicoba na michezo ya kupeana hela vinaweza kusababisha changamoto ya afya ya akili kwa wanawake

    Mhadhara - 48: Nakiri kwamba Vicoba na michezo ya kutoana/kupeana hela vinawasaidia wanawake kujikimu mahitaji yao madogo madogo ya nyumbani. Hata hivyo kumeibuka wimbi la wanawake wengi kujiunga kwenye vicoba vingi na idadi kubwa ya vikundi vya kutoana/kupeana hela kuzidi uwezo wao wa kifedha...
  15. Copro mtego

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Bodi ya Mikopo ya elimu ya juu (HESLB) wanataka kukiuka mkataba wa kimalipo kwa wanufaika

    Bodi ya mikopo (HESLB) kwa hili mnataka kuvuka mipaka kwa kutaka kukata pesa za posho kwa intern (watarajali) doctors, nurses etc. Kwanza intern sio muajiriwa anakuwa katika mafunzo kwa njia ya vitendo na halipwi mshahara anapewa posho ya kujikim ndio maana TRA hawawakati kodi. Pili mkataba...
  16. Right Marker

    JamiiForums Tanzania ''Kausha damu" waliupisha upepo kisha wamerudi tena kwa kishindo

    Mhadhara - 43: Siku hizi kumekuwa na vibanda vingi sana mitaani almaarufu "Kausha Damu" ambavyo vinakopesha pesa kwa watu wa hali ya chini kwa riba kubwa, mikataba migumu, na masharti ya kusaga meno. Na pindi wakopaji wanapochelewesha marejesho wanaporwa mali zao bila utaratibu mzuri, kama vile...
  17. Mgaa gaa upwa

    JamiiForums Tanzania KERO Kausha damu Banc ABC wamekataa kutoa makato yao baada ya kuwalipa

    Wasalaam. Ni mwezi Sasa umepita tangu nilipoleta uzi hapa jukwaani unaosema Banc ABC wamekataa kulipwa, msaada wenu unahitajika. Nilipewa ushauri mzuri Sana na Wana JF home of great great thinkers, niliwasiliana na BOT kweli baada ya weekend balance ya mkopo ikatoka ikiwa na limit ya wiki moja...
  18. monotheist

    JamiiForums Tanzania Hii Mikopo ya Bajaji sasa imekua kama kausha damu, tuwe makini

    Pitapita zangu maeneo ya town nikaona bango kubwa linalohusu mkopo wa bajaji na pikipiki nikaamua isiwe shida ngoja nijisogeze yaliyojiri ni kama yafuatayo; Aina ya bajaji ni RE Kianzio cha mkopo ni 700,000 na marejesho kwa siku ni 28,000 kwa miaka miwili inamaana hapa ndani ya miaka miwili...
  19. upupu255

    JamiiForums Tanzania Kausha damu zote zifungiwе, benki zibaki kuwa taasisi pekee za kutoa mikopo

    Wadau za wikiendi! Wakati napita facebook huko nikakutana na post ya huyu jamaa akanikumbusha maumivu ya hii mikopo maarufu kausha damu namna ambavyo ilidhoofisha afya ya dada yangu, akihangaika kulipa mikopo ya aina hii. Stori gani unaikumbuka ukisikia kausha damu?
  20. Mgaa gaa upwa

    JamiiForums Tanzania Banc ABC wamekataa kulipwa, msaada wenu unahitajika

    Ni baada ya kuhangaika huku na huko bila kupata mkopo wa kuendeleza biashara yangu hatimae nikakutana na hii Banc ABC wakanipatia mkopo wa miaka miwili Ila kwa makubaliano kuwa nikipata pesa yao kabla ya huo muda naweza kulipa pesa yao tukaachana. Kweli nilipambana kwa namna yangu na Hali yangu...
Back
Top Bottom