Habari za muda mrefu wana jukwaa Jana nilileta uzi wa jirani mlevi ambaye akilewa anatukana usiku, nashangaa leo nimerudi sisikii kelele zako, enewei tuachane na hayo. Siyo lengo la uzi.
Iko hivi, mimi nahisi nimerithi tabia ya uvivu, naweza nikalala usiku nikajisemea moyoni kabisa kuwa kesho...