Taarifa iliyotolewa na BOT mwishoni mwa mwaka jana inaonesha kanda ya kaskazini yenye mikoa 4 ndio ya pili kwa makusanyo ya mapato nchini baada ya Dar.
Mapato ya Dsm hayashangazi kwasababu kadhaa, kwanza uwingi wa watu, Dsm ndio TZ utamkuta hata mhadzabe. Ila kanda ya wenye sifa yenye mikoa...
Novemba 22, 2023 katika Mahakama hiyo mbele ya Mhe. W. YONA SRM, imeamriwa kesi ya CC. 40/2022 Jamhuri dhidi ya THEONEST RWELAMIRA CLEMENCE ambaye ni Mtendaji wa Kijiji cha Kasambya- Wilaya ya Misenyi.
Imemtia hatiani kwa kosa la kutotii wajibu wa kisheria k/f 123 Penal Code kwa kushindwa...
Kero yangu kubwa ambayo naomba jamii itambue ni kuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ni kwamba Soko la Karume tunachanga michango mingi kama pesa ya usafi na ulinzi lakini hutujawahi ona mapato na matumizi ya pesa zetu zinaendaje.
Naomba kufikisha ujumbe huu kwa Serikali Kuu kupitia...
Daraja la Kigamboni ambalo linaunganisha mji wa Kigamboni limekusanya bilioni 83 kama tozo za kuvuka daraja kwa miaka saba iliyopita.Daraja la Kigamboni lilijengwa kwa gharama ya $ 135 bilioni(337.5 bilioni)na kuwa la aina yake Afrika Mashariki.
Daraja la Nyerere ni mradi wa pamoja kati ya...
Kabla ya yote turudi darasani kidogo, maana sitaki tuanze kuulizana maswali obvious , mara sijui source ni ipi, nk. haya twende kazi.
Unit moja ya umeme hapa Tanganyika inauzwa kwa wastani wa shs. 600/=. Unit moja ya umeme ni kitu wanaita Kilowatthour (KWh). Kilowatthour ni nini hasa? Kilo...
NATAMANI KIKOSI KAZI KILICHOUNDWA NA WAZIRI MKUU,TRA na SERIKALI WANGEWEZA KUTATUA TATIZO LA PENATI KWA KUTO KUFANYA FILING ZA P.A.YE,SDL,VAT, MAKADIRIO, NA RITANI ZA MWAKA KWA KAMPUNI/BIASHARA ZENYE MTAJI CHINI YA BILIONI MOJA
Awali ya yote, mimi ni mdau na mfanyabiashara ndogondogo wa sector...
Serikali ya Tanzania inatarajia kupunguza kukopa mikopo ya madeni ya nje kwa asilimia 30.8. Kwa Mwaka 2023/24 Serikali inatarajia kupunguza kukopa mikopo ya madeni ya ndani kwa asilimia 23.5
Serikali inafanya hivyo kutokana na kuongezeka kwa makusanyo ya mapato ya ndani kwa asilimia...
Nawasalimu kwa jina la JMT..
Nitoe pongezi zangu za dhati kwa Mh.Samia SS na Serikali yake kupitia TRA kwa kuweza kukusanya mapato kwa Asilimia 99%..
Kiwango hiki kimeiwezesha Serikali kutekeleza ajeti yake ya mwaka 2021/2022 kwa zaidi ya asilimia 95%..
Bila shaka Rais Samia anazidi kuonesha...
Makusanyo haya hayataathiri mwanachi bali ni kumnufaisha kwa kuchagua njia anayotaka kutumia na kuongeza kasi kwenye miradi ya maendeleo.
Sehemu ambazo barabara ya mwendo kasi inapatikana
Kivukoni,Kimara,Mbezi,Kibaha,Kariakoo(Gerezani) ambapo ndio kituo kikuu na Mbagala japo iko mbioni...
Bila kupoteza muda,
Halmashauri ya Jiji la Tanga imeongoza kwa Kukusanya mapato kwa Asilimia 113% na kuyapiku majiji ya Dsm,Dodoma na Mwanza.
Mambo yanazidi kwenda kwa Kasi sana 👇
---
WAZIRI wa TAMISEMI Innocent Bashungwa ametoa taarifa ya mapato kwa mikoa ya Tanzania Bara katika mwaka wa...
Nawasalimu kwa jina la JMT, natumai Kazi zinaendelea.
Mkoa wa Mbeya umevunja rekodi ya Makusanyo yake ya mapato ya ndani Kwa Halmashauri zake 7 Kwa kukusanya bil.45 sawa na zaidi ya asilimia 105.6% ya malengo.
Hayo yameelezwa na Mkuu wa Mkoa was Mbeya Juma Homela kwa Waandishi wa Habari na...
WAZIRI ENG. MASAUNI
Naomba nikurudishe nyuma kidogo, miaka miwili nyuma ukiwa naibu waziri wa mambo ya ndani, ukiwa kama mwenyeketi wa usalama barabarani uliagiza kila mkoa ukusanye fedha za WIKI YA NENDA KWA USALAMA ambazo hutozwa kuanzia tsh 3,000 hadi 5,000
kwa kulingana na ukubwa wa gari...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya TZS trilioni 2.51 Desemba 2021, kikiwa ni kiwango cha juu zaidi kuwahi kufikiwa tangu kuanzishwa mamlaka hiyo mwaka 1996.
Aidha, Julai - Desemba 2021, TRA imekusanya TZS trilioni 11.11, sawa 98% ya lengo la TZS trilioni 11.302.
Wale wanaosema tusikope, waje mezani na hesabu, nchi inakusanya Kila mwezi trilioni 1.2. Mishahara inakula bilioni 600, inabaki bilioni 600, hii ilipie umeme, maji, karatasi, mafuta ya magari,posho na mengineyo, inabaki ngapi?
Haya, kama SGR inaweza kula trilioni karibu 20, maana yake serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.