usingizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Clark cian

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi suala linaloninyima usingizi

    Kwa sasa naona kabisa mapenzi yameshanishinda ila napata shida Sana kuwaambia hawa mabinti kuwa siwahitaji Kwa sasa napata shida Sana kuwaambia ukweli. Naombeni ushauri wenu aisee nataka niachane na wanawake wote Kwa sasa nianze kujitafuta na huu udaktari wangu wa mifugo Hadi nijipate .
  2. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Nakosa usingizi

    Weekend yaendaje waungwana? Mimi ni mtu ninayependa majira ya usiku (night owl). Mda huo nakuwa more active dunia imetulia Hii kitu Imenifanya vibaya sana professional wise ila siiachi.. Napenda sana usiku, hasa majira ya kuanzia saa 7. Nikichelewa kulala usiku huwa nalala mchana, ila kwa...
  3. Funny boe

    JamiiForums Tanzania Kati ya "Kupiga soga" na "Kusinzia mezani": Ni mbinu gani unaitumia sasa hivi kukabiliana na usingizi wa mchana ofisini/kazini?

    Habari za mchana huu wa kazi wakuu, Poleni na majukumu ya kujenga taifa. Sote tunajua lile bishano kubwa la ndani ya moyo linalotokea kila ifikapo saa saba hadi saa tisa mchana—pale mwili unapotamani kulala lakini majukumu yanakuambia "amka!" Hebu tuchangamke kidogo hapa kwa upendo na ucheshi...
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Feisal Salum analala usingizi kweli?

    Hiki Okello anamfanyia jamaa ni nini?
  5. fyddell

    JamiiForums Tanzania Kuna mahusiano kati ya kuacha pombe na kukosa usingizi(Insomnia)?

    Kwanza nawasalimia wakubwa kwa wadogo. Sasa ni almost two weeks nimeacha pombe, hapo mwanzo nakili kuwa nilikuwa mnywaji mzuri tu (moderately drunken) yaani ni ile hali ya kunywa hata siku tatu mpaka nne mfululizo in a week kwa hali ya kawaida. Na hii iliwezekana kwasababu kazi ninayofanya...
  6. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania Usingizi ni afya

    Habari za wakati huu, Usingizi sio anasa — ni tiba ya mwili na akili. Watu wengi wanapuuza kulala vizuri wakidhani ni kupoteza muda. Ukweli ni huu: ukikosa usingizi wa kutosha, unajinyima nguvu, afya, na hata mafanikio yako. Faida za kulala kiafya: Huimarisha kinga ya mwili Hurekebisha seli na...
  7. Foffana

    JamiiForums Tanzania Hajapata usingizi zaidi ya miaka 60!! Inawezekanaje?

    Duniani kuna mambo yanashangaza sana Kuna mzee mkulima mwenye umri wa miaka 81 anayejulikana kwa jina la THAI NGOC hajafanikiwa kupata usingizi ndani ya miaka 60 Yaani yeye anashinda anapiga zake game na kuvuta sigara halali kabisa yaani.Hata familia yake na majirani wamekiri kuwa hawajawahi...
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mfahamu Ilhan Omar mwanaharakati anayepambana dhidi ya ubaguzi wa Trump kwa wasomali Marekani

    Huyu bi dada ni mmoja wa wanaompa msongo wa mawazo Rais Trump ------------ Ilhan Omar ni mwanasiasa mashuhuri wa Marekani, mbunge wa chama cha Democratic-Farmer-Labor (DFL), akiwakilisha Jimbo la 5 la Minnesota katika Bunge la Marekani. Alifanya historia kama mmoja wa wanawake wawili wa kwanza...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kakakuona agoma kutabiri, achapa usingizi mzito

    Hadi Kakakuona amegoma kutiki🤣🤣🤣 kasema "No Reforms?... bora nilale😂😂" ================ Mnyama adimu kuonekana, Kakakuona ameonekana akiwa na mtoto wake katika Kijiji cha Lilondo Halmashauri ya Wilaya ya Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma, huku akitarajiwa kutabiri mambo mbalimbali ikiwemo...
  10. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi msiokunywa pombe usingizi huwa mnaupataje?

    Ni siku ya pili sijagusa tungi kabisa. Sasa changamoto ninayoipitia ni kukosa usingizi kabisa,yani nachelewa kulala na pia nawahi kuamka. Sasa nawaza nyie msiokunywa tungi kabisa,huwa mnatumia mbinu gani kupata usingizi?
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tukio la ajabu Kwa Mtogole linaninyima usingizi

    Nilitoka Posta kwenye mishe zangu nikawa naelekea Sinza.. Na njia ambayo ingenifikisha kwa urahisi ni kupitia pale Magomeni Morroco then Tandale Basi nikachukua njia hiyo, Ukiingia hiyo njia kwa mbele kuna shule ya msingi upande wa kushoto na mbele kulia kwenye kona kuna makaburi Pembezoni mwa...
  12. haszu

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wanaume: mwanaume mwenzio akipitiwa na usingizi kwenye usafiri akakuegemea begani, utamuacha?

    Najua wanaume wengi hutulia hata kufurahia wakiegemewa na mwanamke kwenye usafiri wa umma, ila je ikiwa ni mwanaume mwenzio, utamuacha?
  13. laii

    JamiiForums Tanzania Unakosa Usingizi pitia hapa

    💤 Njia Asilia za Kupata Usingizi Haraka: 1. Ratiba ya Kulala Lala na kuamka saa ile ile kila siku, hata siku za mapumziko. Hii huisaidia saa ya ndani ya mwili (biological clock) kuzoea. 2. Epuka Simu/TV Kabla ya Kulala Mwanga wa skrini (blue light) huzuia kutengenezwa kwa melatonin, homoni...
  14. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Sababu gani zinakufanya uchelewe kulala? na nini kinakusaidia kupata usingizi?

    Zamani nilikua na uwezo wa kulala masaa 8 mpaka 10. Ila kwa miezi ya karibuni sipati usingizi kwa haraka nikiwahi sana kulala basi ni saa 7 au 8 usiku. Kitu pekee kinachonilaza fasta ni kuliwa mbususu vizuri nikarusha :uwotWater: na hapo nitalala masaa kadhaa halafu nitaamka usiku wa manane...
  15. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania BUNGENI: Wageni watia usingizi wa pono, mijadala haina mvuto

    Gazeti la leo Daily News pg2, kuna picha inaelezea kinaga ubaga hali ya mijadala Bungeni-HALINA MVUTO! Wageni nimehesabu katika picha, wengine wamelala, mmoja kaja na shuka kabisa toka nyumbani. Mwingine yuko busy na simu. Wawili wanasogoa. Heko Bunge letu takatifu.
  16. Uchumi 360

    JamiiForums Tanzania Uchumi 360: Safari ya Kumwamsha Mtanzania Kutoka katika Usingizi wa Kiuchumi

    Makala ya utangulizi katika safu mpya ya JamiiForums Na: Mwandishi wa Uchumi 360 Je, tunaishi au tunapumulia tu? Hili ni swali gumu, lakini linastahili kuulizwa. Tunaamka kila asubuhi, tunatembea mitaani, tunanunua sukari yenye bei inayopanda kila wiki, tunalalamika kuhusu “maisha kuwa...
  17. LUTULWITU

    JamiiForums Tanzania Bado hawa watu wako kwa usingizi mzito!

    "Mimi kama Mbunge wa Nyatike, tunapakana na Tanzania na Uganda. Nyatike ipo kwa kona ya Kenya kabisa, mahali ukivuka unaingia Tanzania na ukienda kidogo unaingia Uganda. Kitu ambacho hawa watu wetu walikuwa hawajaelewa vizuri, hii mambo ya freedom of speech kwa East Afrika nzima, ipo Kenya peke...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Japo Kelele za Mlango, Hazimkoseshi Mwenye Nyumba Usingizi, Zikizidi Zinakera!. Kelele za Minimum Reforms, Sio Kero?, Mwenye Nyumba Anapata Usingizi?

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu ya gazeti la Mwananchi. Leo, naendelea na zile makala za Ijue Katiba ya JMT, nikijikita kwenye kitu kinachoitwa Sovereignty, huu ni uhuru wan chi, kutoingiliwa kwenye mambo yake ya ndani. Nimeileta mada hii baadab ya kusikia malalamiko ya baadhi ya Watanzania kuwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Sidano ya usingizi kwa mtoto wa miaka9 ili afanyiwe MRI

    Habar wakuu nauliza mtoto wangu Umri maiak9,tumeingia kwenye kipimo Cha MRI kwa ajili ya tatizo lake la mgongo Sasa mtoto anasumbua kweli hatulii kwenye mashine nikulia tu mwanzo mwisho, Je kuna madhara yoyote akichomwa sindano ya usingizi kwa ajili ya kufanyiwa hiyo mri
  20. Lighton

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kupata usingizi kwasababu ya makelele ya baa jirani

    Hivi Sasa ni saa 2:30am sijalala kwasababu ya hizi kelele. Ni kweli tunatamani nyumba zilizo karibu na barabara kwasababu ya huduma ndogo ndogo za kijamii, lakini Sasa hivi biashara nyingi ni baa, yaani kila baada ya nyumba nne ni baa. Nilipohama ilikuwa ni kelele kuanzia mda ninaorudi...
Back
Top Bottom