mawakili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kwa michezo ya hawa mawakili wa serikali, sio ajabu Tanzania inashindwa kesi za kimataifa mara kwa mara.

    Wako kisiasa zaidi huku wakicheza na mfumo bila ya kua professional. Kwa mtindo huu, wakienda kwenye chemba za kimataifa ambako watu wako serious na hawapendi kupoteza muda basi hawawezi kutoboa kamwe. Kama lengo lilikua ni kumpotezea lisu muda, ni bora wangetumia njia nyingine ila si hii...
  2. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na Mapambano ya Kikatiba: Tunapojifunza Sheria, si Kusikiliza Kejeli za Mawakili wa Serikali

    Leo hii, Tundu Antiphas Lissu, mwanasheria wa kiwango cha juu, anarejea katika chombo cha haki — mahakama — si kwa ajili ya maigizo ya kisiasa, bali kwa ajili ya kuitafuta na kuisimamia constitutional justice kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hususan Ibara ya 13(6)(a)...
  3. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Ikiwa kuna wanaChadema damu walihama chama; Unawezaje kujihakikishia kwamba wote wanaoitwa mawakili wa Lissu, kwamba wana nia nzuri naye?

    Nimeona askari magereza wakinangwa pasipo sababu, kwamba wanazuia Lissu asipeane mikono wala kubadilishana nyaraka na mawakili wake. Watu wanatakiwa kuelewa kwamba Lussu is a red line; ndo mwanasiasa mwenye mvuto kwa sasa ndani ya Afrika Mashariki. Maana yake huyu mtu anatakiwa kulindwa. Hao...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mawakili wajibu hoja kwamba wametumwa na Yanga!! Watangaza kuwashitaki TFF na BMT Mahakamani

    Wakili msomi mwandamizi Alloyce Komba ambaye ni momoja kati ya Mawakili Watano ambao waliungana kupeleka barua Baraza la Michezo Tanzania kuomba kusitishwa kwa mchakato wa uchaguzi wa TFF ameibuka na hoja nyingine ya kikanuni akidai kwamba Mgombea pekee wa urais aliyepitishwa amepitishwa nje ya...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mawakili mkasome katiba ya FIFA, Uchaguzi mkuu TFF

    Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi Mkuu wa TFF, Wakili Kiomoni Kibamba, ameshangazwa na baadhi ya mawakili wanaopinga uamuzi wa Kamati hiyo kuwaengua wagombea wanne wa urais wa TFF. Wakili Kibamba amewataka mawakili hao kupitia upya Ibara ya 14 ya Kanuni za FIFA (toleo la mwaka 2024), inayowataka...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mawakili wote wanaomshtaki Karia kuhusu endersoment ni wanachama na wapenzi wa Nyuma Mwiko, mnadhalilisha taaluma zenu

    Allyoce Komba, mmoja wa wanachama wa Yanga na wakili wa kujitegemea amefungua shauri kupinga uteuzi wa Karia kuwa mgombea urais wa TFF. Allyoce Komba ambaye amewahi kuwa mwandishi wa gazeti la Nipashe kila mtu anamjua tabia zake, kuwa ni Yanga lia lia. Hoja zote zilizowasilishwa na wenzake...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kama ndo wale ni mawakili wa serikali wanaosimamia kesi shitaka upande wa serikali ni aibu.

    Nahisi ni mahakama hipo upande wa fulani wakubwa ila kwa kama mahakama zingekuwa uhuru hii kesi hata kituo cha polisi ingemalizika hapo. Yani wale mawakili wa serikali nimejaribu kutafakali yani ndio serikali inategemea wanaweza kushinda kesi kubwa za kutikisa taifa kwa mtindo huu kila muda...
  8. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ni jambo jema Tundu Lissu kujitetea Mwenyewe. Huwezi jua pengine kati ya Mawakili wake kuna akina Yuda Eskarioti

    GT Maskini haaminiki hasa mtu mweusi kutoka Tanzania., mawakili.30 ni wengi sana lazima mamluki wapo tu wanaopeleka mipango upande wa pili kabla ya kesi. Nadhani leo tumejionea hali ilivyokuwa tofauti bada ya mwamba kusimama yeye kama yeye, hatua hii itapunguza kuvujishwa mbinu na vifungu vya...
  9. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Mhandisi Sanga akutana na kuwapongeza mawakili wa kujitegemea kwa kuongeza kasi katika kumaliza mashauri katika mabaraza ya ardhi na nyumba

    . Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhandisi Anthony Sanga amewapongeza Mawakili wa Kujitegemea kwa ushirikiano wao, hatua iliyosaidia kuongeza kasi ya kumaliza mlundikano wa mashauri katika Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Dodoma. Mhandisi Sanga ametoa pongezi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania KAMATI YA MAADILI YA MAWAKILI TLS INAKUTANA MARA NGAPI KWA MWAKA

    TLS ni chama cha wanasheria ambacho kazi yake kubwa ni kusimamia maadili ya wanasheria. Kwa sababu hiyo ndani yake kumeundwa kamati ya maadiliya mawskili ili ukiwa na lalamiko lolote dhidi ya mawakili wao watasikiliza na kutoa maamuzi. Kuna shauri la kimaadili nililipeleka Toka mwaka Jana...
  11. mbuyake

    JamiiForums Tanzania Mawakili wasomi mchango wenu hapa

    Ni hivi kuna binti wa kaka wamekuwa na tofauti na mme wake kwa muda.hii imepelekea wakaenda kwa balozi kwa usuluhishi ila bado mme hakuridhia ,mme akatupigia simu sisi wazazi nikawaita kuwashauri ,kwa kumwambia hizi tabia ndogondogo ni sababu ya mimba hivyo vumilia na binti tukamkanya basi...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Mawakili wamshauri MKITI Lisu kuepuka faulu na mitego isiyo ya lazima unawapa washitaki point za bure

    Mazoea sio kanuni Wala Sheria Lisu amewapa mawikili wake wakati mgumu Sana huku akiwapa washitaki wake point NYINGI Yawezekana walishajua mazoea yake ya kuongea kabla ya mahakama kuanza . Refer ametenda haki mazoea sio Sheria au kanuni
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Upande wa Jamhuri unafurahia Lissu kuwa na mawakili 100,wakiongea wote siku imeisha, na hakuna kilichoendelea, ni kuibua la ubishi kadogo tu

    Upande wa Jamhuri kazi yao ni kuibua vipengele tu, halafu utetezi watavijibu kwa masaa 5 au 6, hapo kama kesi imeanza saa 3 maana yale saa 9 tayari, mtuhumiwa arudi rumande. Nadhani lead counsel wasizidi watatu. Anyway, nawapongeza mawakili wa Lissu kwa kukwepa utando wa kisheria (legal cobweb)...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mawakili wa Tundu Lissu wawasilisha malalamiko umoja wa mataifa, kushinikiza hatua za kimataifa

    Mawakili wa mwanasiasa kigogo wa upinzani nchini Tanzania ambaye yuko gerezani TUNDU LISSU wamewasilisha malalamiko mbele ya Jopo la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia vitendo vya Ukamataji Watu Kiholela. Wakili wa Lissu, Robert Amsterdam amesema malalamiko hayo ni sehemu ya kampeni pana ya...
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hongereni Mawakili wa Tundu Lissu, Hii iwe hatua ya mwanzo, zingine kali zaidi zifuate

    Leo shirika la Habari la Kimataifa Reutres limeripoti hatua ya Mawakili wa Tundu Lissu kuwasilisha rasmi kwa Umoja wa Mataifa suala la kushikiliwa kwake ili lichukuliwe na kutangazwa kama Kushikiliwa Kinguvu (Arbitral Detention) Suala hili ni hatua muhimu sana hasa wakati huu ambapo Taifa letu...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Suala la Wanaharakati na Manasheria wa Kenya, Je, Tumekosa Wenye Hekima?

    Sote tunajua hali ambayo nchi yetu inapitia: 1. Udhulumaji mkubwa wa haki za binadamu kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa. 2. Uonevu wa ajabu kwa wananchi, kama vile tulivyoshuhudia watu wakipigwa na kuvunjwa mikono na miguu, tena na watu waliotakiwa kuwalinda. Bahati mbaya sana, mambo...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Tanzania mlikosea sana kumuweka Mwanasiasa kuongoza chama chenu Cha Wanasheria

    TLS haikuchagua Rais mwanasheria kwa maslahi ya wanasheria na kada ya Sheria, Bali walimchagua Mwanasiasa kwenda kupigania maslahi ya siasa kupitia TLS Leo hii tunapoongea mawakili wengi nchini wana shida kibao. Wapo mawakili wengi tu haswa wanaoanza wanaohitaji kusaidiwa zaidi kusimama kikazi...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Wanasheria na mawakili, do these qualify to be Preliminary Objections (P.O) ?

    This ruling seeks to address the preliminary objections raised by the 1st, 2ndand 3rd defendants herein inviting this Court to strike out plaintiff’s suitrelying on two grounds going thus:1. 1. That, the suit is incompetent before the Court as it has been filed contrary to Rule 3 and part (a)...
  19. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Hivi Mawakili wa serikali huwa wanasoma vyuo tofauti na hawa wa utetezi?

    Husika na somo tajwa, Kama ni mfuatiliaji wa mashauri mbali mbali utagundua kuwa wakati mawakili wana toa hoja zao au kupinga hoja upande wa jamuhuri unakuwa umelemewa huwa najiuliza kuwa kwa nini jamuhuri isiwaajiri hawa wakujitegemea ambao wanaonekana kuwa mahiri…au na wao wakienda upande wa...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala: Watakaofika Mahakamani (Mei 19, 2025) wawe watulivu, wasituangushe Mawakili

    Wakili Peter Kibatala ambaye ni mmoja wa Mawakili wanaomtetea Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ametoa wito kwa Wananchi watakaohudhuria wakati wa kesi inayomkabili mteja wao katika Mahakama ya Kisutu kuwa na utulivu ili wasije kufanya tukio ambalo linaweza kutumika kuwa kisingizio cha...
Back
Top Bottom