Wakuu, habari za majukumu. Hakuna anayeweza kubisha kuwa jukwaa hili la JamiiForums limekuwa kimbilio letu kubwa la kupata habari mbadala ambazo mara nyingi hazipati nafasi kwenye vyombo vikuu vya habari (mainstream media). Hata hivyo, hali ya uhuru wa kutoa maoni na usalama wa wale wanaotafuta...
YAH: MALALAMIKO KUHUSU KITENDO CHA WATUMISHI WA MANISPAA YA ILALA CHA KUNINYANYASA, KUTUMIA NGUVU NA KUMCHUKUA MFANYAKAZI WANGU
Mimi mmiliki/mwajibikaji wa ofisi iliyopo Ilala, nawasilisha malalamiko rasmi kuhusu tukio lililotokea katika ofisi yangu, ambapo kundi la watu takribani kumi waliodai...
Habari,
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la wanafunzi kuacha vyuo, jambo ambalo mara nyingi limekuwa likihusishwa na uzembe wa wanafunzi au kushindwa kumudu majukumu mbalimbali. Ingawa sababu hizo zinaweza kuwa sehemu ya changamoto, kuna mambo mengine muhimu ambayo mara nyingi...
Naomba kuwasilisha malalamiko kuhusu mwenendo unaodaiwa kufanywa na Mkurugenzi wa Ugavi na Ununuzi (DPS) wa Wizara ya Afya katika ugawaji wa kazi za manunuzi.
Inaelezwa kuwa, licha ya maafisa kugawiwa idara mbalimbali za kushughulikia masuala ya manunuzi, baadhi ya zabuni zinazohusu idara hizo...
Anonymous
Thread
afya
kazi
kugawa
mkubwa
mkurugenzi
sana
ugavi
ununuzi
unyanyasaji
wake
watumishi
wizara
wizara ya afya
zake
serikali ingeweka mikakati ya kuzifuatilia taasisi binafsi hasa za afya ambazo zinafanya unyanyasaji kwa kutokuwalipa wafanyakazi mishahara yao kwa wakati, kuwalipa nusu nusu na wakati mwingine kutokulipwa kabisa. Nawakati mwingine ukifuatilia sana haki yako unaweza kutishiwa kufukuzwa...
Ijumaa ya tarehe 28 Agosti, nilichapisha hapa jukwaani habari ya walimu wa shule ya sekondari IGANZO iliyopo mkoa wa Mbeya kujaribu kusitisha masomo ya mdogo wetu bila kufuata utaratibu rasmi.
UZI: MAMA ALAZIMISHWA KUSAINI BARUA YA MTOTO WAKE KUACHA SHULE
Jumatatu tulifanikiwa kuwapigia simu...
Makampuni hayatoi mikataba siku hizi,mtu unafanya kazi kama kibarua yaani unalipwa kwa siku.
Hakuna benefits zozote kama bima ya afya wala mifuko ya hifadhi.
Kwa makampuni yanayotoa mikataba ni kwamba wanatafuta kampuni nyingine ndio inakua kama imekuajiri.
Yaani unafanya kazi kampuni A...
Tatizo huwa ni lipi licha ya baadhi ya waarabu kuwa na mioyo safi ila imekuwa kawaida sana kupata malalamiko ya wafanyakazi wengi wakinyanyaswa nchi za waaabu ?
WanaJF salamu,
Ninaleta mada hii mbele yenu nikiwa na majonzi na masikitiko makubwa kutokana na hali halisi inayojiri katika Chuo cha Maji (Water Institute) kwenye Muhula huu wa Pili (Semester II). Kumekuwa na mfumo wa uendeshaji unaoonekana kulenga faida au biashara zaidi badala ya kutoa huduma...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu gazeti la mwananchi la leo
https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/kwa-nini-tunahitaji-kuulinda-uhuru-wa-vyombo-vya-habari-5417540
Hili ni Swali: Media tukiendelea kuunyamazia unyanyasaji huu wa uhuru wa habari na uhuru wa maoni kwa mujibu wa Ibara ya 18 ya Katiba...
Mimi ni mwakilishi wa Watumishi kadhaa ambao naweza kusema ni wengi katika Hospitali ya Bugando (BMC), kuna malalamiko dhidi ya uongozi ambao tunaweza kusema kuna "unyonyaji na ukandamizaji" unaofanywa na baadhi ya viongozi wa taasisi yetu.
1. Mazingira ya Kazi na Ukandamizaji wa Muda
Moja ya...
Anonymous (a103)
Thread
bugando
changamoto
haki
haki za wafanyakazi
kilio
ukiukwaji
ukiukwaji wa haki
unyanyasaji
wafanyakazi
watumishi
Mimi ni Mkazi wa Zanzibar katika Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Mjini.
Kero yangu ni kwa Shirika la umeme Zanzibar (ZECO).
Wamekuwa na muendelezo wa kukata umeme mara kwa mara maeneo ya Kwahani, ikizingatiwa sehemu hiyo kuna Kituo cha Afya, Ziwani Police Health Center kinachotoa Huduma za...
Anonymous (9bb1)
Thread
dhuluma
kampuni
kazi
kero
kero ya umeme
sheria
shirika
shirika la umeme
stahiki
umeme
umeme zanzibar
unyanyasaji
zanzibar
Wahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa
Babu Trump hana hata mwezi ameonya juu ya matukio ya ukandamizaji, unyanyasaji na mauaji ya wakristo.
Marekani ni watu wana intelenjinsia Kali duniani, Kuna mambo wanawajua hata kabla ya sisi kujua.
Ukiona Marekani amesema jambo ujue intelenjinsia...
Brenda Biya, binti wa Rais Paul Biya, amejitokeza kwenye mitandao ya kijamii akieleza kuchoshwa na kile anachokiita unyanyasaji na ufuatiliaji unaoendelea dhidi yake tangu kumalizika kwa uchaguzi wa urais.
Kupitia video inayosambaa mtandaoni, Brenda alisema:
“Imetangazwa kwamba Tchiroma ndiye...
Mungu atalipiza kwa mauaji na unyanyasaji 2025-2026. Litakuja jinamizi na kuanza kumalizana wenyewe kabla Mungu hajaweka watu wake kuongoza nchi. Mungu alianza kuanzia 2021 lakini naona watu wanafikiri yametokea tu sasa bahati mbaya waliochukuwa madaraka hawakuelewa wakafikiri wenyewe ndiyo...
Wilaya ya Chemba imegeuka kitovu cha malalamiko makubwa baada ya walimu na watumishi wa Idara ya Elimu Msingi wilayani humo kuibuka na tuhuma nzito dhidi ya Mkuu wa Idara ya Elimu Msingi, Bw. Josephat Ambilikile.
Wakiwa wamechoshwa na kile wanachoita utendaji mbovu, matumizi mabaya ya madaraka...
Anonymous
Thread
atuhumiwa
elimu
elimu msingi
kumlinda
mkuu
msingi
mtandao
ubadhirifu
unyanyasaji
Mheshimiwa Waziri wa Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu,
Kwa heshima na taadhima, napenda kuwasilisha malalamiko na ushauri kuhusu hali halisi ya wafanyakazi wengi hususan katika sekta binafsi hapa nchini.
Wapo Watanzania wengi wanaofanya kazi mashuleni, viwandani, hotelini, mashirika ya kimataifa...
Ni kwamba mambo wanayo yafanya huko watokapo yapo normlized kwa kiasi kikubwa kwamba wakifika kule wanataka wayaendeleze au basi tu wanakuwa tempted na kujiachia kwa wazungu maana wanawake wao wamejifunika siku nzima?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.