team

  1. N

    JamiiForums Tanzania Fursa adimu kwa vijana ya kujifunza AI, kukuza ujuzi wa kiteknolojia jiunge na team yetu leo.

    Tunatafuta vijana wenye bidii, ubunifu na shauku ya kujifunza na kufanya kazi katika teknolojia ili kujiunga na timu yetu ya AI na Social Media. Tunatafuta watu wenye uwezo katika: Marketing Social Media Specialist Content Management Moderation (Mods) Graphic Design Tunathamini mtu...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Bifu la kisiasa baina ya team Lema dhidi ya team Heche, nani hasa ni changamoto baina ya mafahali hawa wawili ndani ya CHADEMA?

    Kwa maoni na mtazamo wako, unadhani vita hivi baridi vya maneno kisiasa, baina ya mafahali hawa wawili wa kitaifa ndani ya chadema, Je, inakwenda kukigawanya na kukisambaratisha chama au inakwenda kukimarisha chama na kua imara na bora zaidi? Kivipi kwa mfano? Nani anaweza kua changamoto zaidi...
  3. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Huyu Chawa alikuwa ni Team Dr Emmanuel Nchimbi. Kapigwa na kitu kizito mpaka haamini!

    Ni Tlaatlaah Humwaambii kitu kuhusu Nchimbi. Tangu Dr Emmanuel Nchimbi aliwe kichwa na wenzake, Tlaatlaah kapoa kwelikweli, hofu na woga umemkamata. Hajui hatima yake. Na labda pengine hata yeye keshatekwa, hajulikani yuko kwenye "house arrest" ipi.. Wamebaki Chawa Team Samia wenye roho...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi , Mkuu wa Kanda ya Mauzo Vodacom Dodoma kanda ya Mvumi (Css) Anayofuraha kutangaza nafasi za kazi ya Team Leaders na Freelancers.

    Nafasi hizo ni kwaajili ya kukuza mauzo katika kanda ya Mvumi Territory ya Dodoma Vigezo 1. Ajuwe kusoma na kuandika 2. Awe na smartphone 3. Awe na akili timamu 4. Umri kuanzia miaka 18 na kuendelea 5. Upande wa Tl Awe na uwezo wa kusimamia timu Elimu zaidi ya kidato cha 4 ama sawa na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Benchi la ufundi la Simba sc hebu kaeni na wachezaji mzungumze nao kuhusu suala la nidhamu ya mchezo uwanjani. Hizi red cards zinaicost team sana

    Moja kwa moja huu uzi uwafikie viongozi na benchi la ufundi la Simba sc. Muwaeleze wachezaji kuwa uwepo wa Football video support (FVS) na madhara yanayoweza kuwakumba wao wachezaji na team kwa ujumla kutokana na uchezaji wao wa ovyo. Beki na viungo wa Simba wanafanya sana reckless tackles...
  6. baharia 1

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Uongozi/Tech Team: Rudisheni au Wekeni Hiari ya Kutumia App ya Zamani (Legacy API

    Habari zenu Wana Jukwaa na Uongozi wa JamiiForums, Tech Team Mimi ni mmoja wa wadau na watumiaji wa muda mrefu wa jukwaa hili. Lengo la kuleta uzi huu ni kutoa ombi rasmi na rejesho (feedback) kuhusu mabadiliko ya hivi karibuni kwenye mfumo wa App ya JamiiForums. Kwa siku chache zilizopita...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Selemani Mwalimu kwenda Yanga ni uhitaji wa mahitaji ya team au ni kumkomoa mtani?

    Nimeshanganzwa na Usajili wa Selemani Mwalimu unaonesha mambo makuu mawili: 1. Uongozi mzima wa Simba hawafanyi vitu kiprofessional, huwezi kutambulisha mchezaji kwenye tamasha lenu kumbe ujamalizana na club na mchezaji kwa asimilia zote hii maana yake Nini? Mnafanya mashabiki wenu wasiwaamini...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni nani ana majeraha mabaya zaidi mpaka sasa miongoni mwa team zinazopambana katika vita vya ufisadi ndani ya CHADEMA?

    Na ni nani anakwenda kuibuka kidedea na mshindi wa vita hiyo ya ufisadi ndani ya chadema kati ya team Lema & Sugu wanaopinga ufisadi ndani ya chadema, dhidi ya team Heche & Mnyika wanaotetea ufisadi ndani ya chadema? Kwasababu sote ni mashuhuda wa vita hivyo vinavyoendelea na kuibua maswali...
  9. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania Uhispania ni moja ya Timu ninayoipenda na kuishabikia+Argentina na Morocco

    1-Uhispania ni moja ya timu ninayoipenda na kuishabikia, na ligi yao vile vile nimetokea kuipenda sana, pia ni shabiki wa Barcelona.... 2-Argentina ni first team kuipenda na kuishabikia, tena kitambo haswaa.. 3-Morocco the second team kuipenda na kuishabikia, haijalishi wametolewa...
  10. Red black

    JamiiForums Tanzania Jf team hizi project lini zitamilika?

    Hizi project hapa mbona mmeikalia kimya.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Video fupi: Yesu atoa ushauri kwa team kataa ndoa

    Katika video hii fupi, Yesu anatoa ushauri kwa team kataa ndoa kwa kuwaambia, "Kataeni dhambi, si lazima mkatae ndoa" Angalizo: Sura zinazoonekana katika video ni matokeo ya Sanaa na siyo uwakilishi halisi wa wahusika. https://m.youtube.com/watch?v=MfpPNr5Vujw&pp=ygUMWWVzdSBBbmFqaWJ1
  12. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Team Yuda mpoo?

    Hatutaki siasa sisi!!!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Yuda ni beef za Team Lowassa

    Kauli za Mbunge Simai Mohammed Said zinaonekana kuwa zaidi ya shambulio la kawaida la kisiasa; zinaashiria mvutano unaoweza kuwa unaendelea ndani ya CCM kuhusu siasa za urithi wa uongozi na maandalizi ya uchaguzi wa mwaka 2030. Kwanza, ni muhimu kuelewa historia ya “Team Lowassa” ndani ya CCM...
  14. Eronda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Kampala KCCA Gets New Executive Team, Mayor Demands Service

    In a bid to steer Uganda’s capital through a maze of chronic urban challenges, Kampala Lord Mayor Ronald Nsubuga Balimwezo has unveiled a fresh executive team for the Kampala Capital City Authority (KCCA) council, calling an end to political bickering and demanding a fierce focus on service...
  15. Vien

    JamiiForums Tanzania Portugal national Team special thread

    🇵🇹 PORTUGAL NATIONAL TEAM Portugal ni moja ya mataifa yaliyobadilika sana kwenye historia ya soka duniani. Kutoka taifa lililokuwa halipewi nafasi kubwa, mpaka kuwa moja ya nguvu kubwa Ulaya na duniani 🇵🇹🔥 Leo Portugal imejaa historia ya: •Vipaji vikubwa •Magoli ya ajabu •Vilabu maarufu...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Chadema unda team ya Kufanya SWOAT analysis ya Ripoti ya Chande

    Tafuteni wataalamu ndani na nje wafanye SWOAT ANALYSIS ya ripoti ya mchongo ya Chande et al. Msiache ikapita bila kuonesha STRENGTHS( kama zipo anyway),BUT za kuwasaidia ku impeach serikali zipo; WEAKNESS ( hapa ndipo pa kuichimbia), OPPORTUNITY seize this opportunity to expose the brutality of...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Yanga tuwashtaki na Aziz Ki na Shadrack Boka kwa kuichafua team yetu kuhusu matches zetu

  18. Da Dona

    JamiiForums Tanzania CAF yakanusha madai ya kutofanyika AFCON ya mwaka 2027

    --- Kujiamini na matarajio vinaendelea kuongezeka kuelekea Kombe la Mataifa ya Afrika 2027 (AFCON), huku Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) likijaribu kuzima tetesi zinazoongezeka kuhusu utayari wa mashindano hayo. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Rais wa CAF, Patrice...
  19. Troll JF

    JamiiForums Tanzania If the Hon. Mr AG nominates me, I will form a team to represent our lovely madam President in any Court of justice

    If the AG nominates me, I will form a team to defend our lovely madam President. In any court of justice should she face any charges I solemnly affirm and states as follows I’m well acquainted with the matters/current events happening in the United Republic of Tanzania.” 🇹🇿 That I exhibit...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wakristo, na hasa Wakatoliki kaeni chonjo. Anawamaliza wote!

    Makamu wa Rais hajulikani yupo wapi na yupo kwenye hali gani. Siku chache zilizopita Masheikh waliotumwa walimsema wazi mbele ya Camera na kumuhusisha na TEC. Haikuwa bahati mbaya Waziri Mstaafu Godfrey Mwambe yupo kizuizini kuhusishwa na Ukatoliki wake na ukaribu wake na Nchimbi. Leo Jenista...
Back
Top Bottom