Mawakili tumieni taaluma yenu kuzuia unyanyasaji huu wa Serikali ya CCM dhidi yenu. Enough is enough!

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,415
Naona sasa ishakuwa tabia kwa kila wakili anayejaribu kuikosoa serikali ya CCM anakutqna na rungu la kuvuliwa uwakili.

Fatma Karume alivuliwa uwakili kimizengwe, Mawakili Jebra Kambore na Edson Kilato walishitakiwa na kamati maadili baada ya kuonekana ni wakosoaji wakubwa wa Serikali na sasa Boniface Kajumele Mwabukusi anapitishwa kwenye tanuru la unyanyasaji huo huo.

Shime Mawakili msikubali kuwa punching bags za ccm ktk ukandamizaji wa sheria na haki hapa nchini. Simameni imara, huku mkiitumia taaluma yenu vema kuibagazq na kuiabbisha CCM na serikali yake.

Screenshot_20231121-112425.png
 
Back
Top Bottom