kumtetea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Kuna muda kumtetea Ommy Dimpoz ni ngumu sana

    Kuna muda kumtetea Ommy Dimpoz ni ngumu sana imagine Hii chuma inaitwa Mercedes Maybach G-Class ya 2023 na bei yake ni Tsh. 2.3B na Bongo inamilikiwa na DIMPOZ tu na jana ilikua Masaki inazurula ndiyo chuma ya BEI inayomilikiwa na Msanii EAC ni bei kuliko Rolls-Royce ya DIAMOND
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kwani DCI Kingai na wenzie waliiitwa kumtetea Mh.Lissu , au kuja kuthibitisha uhaini wake?

    Hawa watu kupewa vyeo vikubwa inaamunika wana akili kubwa sana. Wao ndio viongozi wa vyombo. Kupitia Kingai wametoa kauli kuwa hawako tayari kumtetea Mh. Lissu. Sasa najiuliza kwani waliitwa pale mahakamani kumtetea Lissu? Ama kueleza wanachojua kuhusiana na maswala ambayo Lissu atataka...
  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nikikumbuka kashfa yake ya 2005 naona ni ngumu sana kumtetea Lema, hakuna namna afukuzwe tu CHADEMA

    Kwa mliokuwepo Arusha mwaka 2010 mtakumbuka siku ya kutangaza matokeo ya uchaguzi wa ubunge hali ilivyokuwa pale nje ya manispaa. Kulikuwa na umati mkubwa wa watu ukishinikiza Lema atangazwe kama mshindi wa kiti cha ubunge haraka sana wakihofia Lema kupokea mlungula toka kwa wapinzani wake. Nje...
  4. Rico redi

    JamiiForums Tanzania Kumtetea Dumbya ni kazi wazee

    Toka amekuja tuliamini ni international striker ambaye atatoa quality ambayo huwezi kuipata Kwa local players matokeo yake imekua ni tofauti Kapewa muda,katiwa moyo na mashabiki alipelekewa mpaka kuku + mabango ya kwamba tuko pamoja lakini wapi goli ambalo katengenezewa leo kakosa ambalo...
  5. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Huu ndio Uamuzi wa mahakama wa aidha Rais Samia, Philip Mpango (VP mstaafu) na Kassimu Majaliwa (PM mstaafu) waitwe kumtetea Lissu au la..

    HUU👇👇 NDIO UAMUZI ULIOSOMWA NA KIONGOZI WA JOPO LA MAJAJI WATATU WANAOSIKILIZA SHAURI HILI, MH. DANSTUN NDUNGURU ".....Mtakumbuka kuwa tarehe 21/08/2025 baada ya Mahakama kutoa uamuzi kuwa mshtakiwa ana kesi ya kujibu, mshtakiwa aliwataja mashahidi 11 na shahidi wa kwanza ni Samia Suluhu...
  6. Lavit

    JamiiForums Tanzania Kumtetea Mungu ni kazi sana!

    Katika pita pita yangu nimeona watu wakiusisha mafuriko ya Nepal na hasira ya anayeitwa Mungu, Kwamba kule Nepal watu walichoma misikiti ndo chanzo cha lile janga! Sasa kama ni hivyo hukumu ya mwisho (kiama) ni ya kazi gani kama tunaweza kuhukumiana hapa hapa duniani? Inakuwaje Mungu anakuwa na...
  7. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: John Mnyika aendelea kumtetea Tundu Lissu Mahakamani. Maswali ya Dodoso kutoka Jamhuri - 2, Septemba 2026

    Mahakamani leo tena kesi inaendelea kwa Upande wa Mawakili wa Serikali kumuuliza Mswali ya Dodoso Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika Pia soma: Kesi ya Uhaini: John Mnyika Kuendelea kumtetea Tundu Lissu Mahakamani. Maswali ya Dodoso kutoka Jamhuri kuendelea leo 1, Septemba 2026 Leo September...
  8. captai

    JamiiForums Tanzania Kumtetea tundu lisuu ni 50 kwa 50 yaani kama inakuja inakataa....niko njia panda

  9. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Lipo MUHIMU? Lissu anyongwe au Samia afike mahakamani kumtetea?

    Rais ni amiri jeshi mkuu anae WAJIBIKA raia wake wanaidhi vyema na hawafai kijinga jinga. Leo hii Lissu anakesi ya kujibu, Rais wake anatakiwa aje adhibitidhe km ni kweli au la, mawakili wa UMMA mnaweka vikwazo Je LIPI MUHIMU? Lissu kunyongwa au Samia kuja mahamakani?
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Inashangaza wanaoshambulia single mothers kumtetea Sheikh Walid kwa wivu mkubwa

    Binti anayedai sheikh ni mzazi mwenzake hataki kuwa single mother, anataka mtoto wake kulelewa na baba yake, kosa lake liko wapi hadi ashambuliwe?! Mnaomshambulia huyu binti leteni ushahidi kwamba amepangwa ndipo mueleweke kumtetea Sheikh wenu kipenzi.
  11. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mawakili 40 waungana kumtetea Besigye baada ya Martha Karua kuzuiliwa kuingia Uganda

    Mawakili 40 kutoka Taasisi 12 za uwakili nchini Uganda wameungana kumtetea kiongozi wa upinzani, Dkt. Kizza Besigye na Hajj Obeid Lutale ambao wamewekwa kizuizini kwa muda sasa. Wamewasilisha maombi mapya Mahakama Kuu kupinga hatua za serikali wanazodai kuwa zinakiuka haki ya kikatiba ya...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wale waliotisha press kumtetea Rais hivi unajua wote wana asili ya Kigoma!

    Sijasema hapa udini nasemea walipotokea maana tuangalie walipotokea hata kama wamezaliwa mikoa mingine ila asili zao. Hakuna mkoa hatari kama Kigoma wenye watu wengi wenye roho za chuki na kwanini. Sio wote ila ule mkoa kiukweli kama kila mikoa ina sifa yake kwa mkoa ule naelewa vizuri maana...
  13. ngara23

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kumtetea Dube

    Kwanza niombe radhi Kwa mashabiki na Wanachama wenzangu wa Yanga, ambao tumekuwa tukivutana kuhusu kiwango cha Dube Me ni shabiki mvumilivu mno Dube havumiliki Ni mchezaji wa kawaida mno Dube hawezi kutusaidia mechi ya Ahly, FAR Rabat n. K Kwa striker huyu tumekwisha wakuu
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tony Kapola; Najua ulifanya vile kumtetea mkeo. Siku nyingine usirudie. Huko ni kutojiamini. Wanaume waliooa waliofunzwa hawatetei Wake zao mitandaoni

    Ijumaa Kareem! Mkeo alishaongea alichoongea. Kiwe ni kweli au sio kweli hiyo sio ishu. Waliombeza walishambeza. Hukuwa na sababu ya kutoka juu kwa juu na kuanza kushambulia watu hovyohovyo kama mwanaume asiyejielewa, mwanaume usiyejua nini cha kufanya. Ulichofanya ni utoto, uvulana au mara...
  15. Pascal_TZA

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi Zanzibar inadaiwa Makamu Mwenyekiti atoa rushwa kumtetea Mwanae

    Makamu Mwenyekiti wa UWT adaiwa kutoa maelekezo wasimamizi wa Uchaguzi kuhusu Mtoto wake Wardat Nassir Ali anayegombea Uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar ili aweze kupata ushindi. Pia ameonekana akigawa rushwa hadharani kwa wajumbe wa mkutano huo nje ya ukumbi wa mkutano, na wajumbe...
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mungu hatetewi mnanishangaza mnaosema Mungu ni muweza wa yote alafu bado mnasimama kumtetea

    Mungu hatetewi mnanishangaza mnaosema mungu ni muweza wa yote alafu bado mnasimama kumtetea. Kuna hawa sijui wanatetea uislam, sijui wanamtetea allah, kuna hawa sijui wanatetea ukristo sijui wanamtetea yesu. alafu hapo hapo wanakwambia mungu wetu sisi ni muweza wa yote. Mungu hayupo hivyo...
  17. sanalii

    JamiiForums Tanzania Trump yupo tayari ku "discredit" Vyombo vyake vya usalama kumtetea Netanyahu

    Ni kama vile serikali ya Marekani inamilikiwa na Israel. Inawezekana vipi akasema Tulsi ( mkuu wa intelligence) haujui kitu basda ya kuulizwa kua report ya march 2025 inaonesha Iran hana nuclear weapon? Inamana anaamini Netanyahu yuko sahihi lakini vyombo vya usalama vya Marekani haviko...
  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tanganyika inadhalilika: Viko wapi vile vikundi lukuki vilivyoapa kumtetea mama?

    Tunadhalilika duniani Tunadhalilika mitandaoni Tunadhalilika Afrika Tunadhalilika ndani ya jumuiya ya Afrika mashariki mashariki Hakuna haja ya kurudia chanzo cha haya yote.. Haisaidii tena.. Maana maji yameshamwagika.. Tukitaka kuzoa tutazoa tope Kazi hiyo ya udhalilishaji inafanywa na...
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kuna Nguvu Kubwa sana inayo/ itakayotumika Kumtetea Paul Makonda. Yeyote anayejaribu kuonyesha mapungufu yake, anashambuliwa Kila Kona!

    Angalieni, Kama ni Wizi kufanyika, Report ya CAG imejiweka wazi yenyeweee!!. Ila hatujawahi sikia Serikali imechukua Hatua yoyote Kwa Wahusika. Sasa angalia Maajabu, Majuzi hapa, Mbunge Mrisho Gambo, Kwa "Takwimu na shahidi" aliwekwa wazi namna gan Ujenzi wa jengo la utawala Arusha ,Kuna...
  20. Pendaelli

    JamiiForums Tanzania Familia ya hayati magufuli iliamua kukaa kimya wakati magufuli anatukanwa ila umma wa watanzania ulisimama kumtetea

    Mwaka wa nne leo tunapo kumbuka siku ile tunaarifiwa kufariki kwake. Tunashukuru tupo salama kama taifa japo mambo madogo madogo yasio sawa yanatupa usumbufu lakini hatuna budi kushukuri kwani ilikua ni kipindi kigumu sana ambacho kwa wengine wahawakuvuka salama. Miaka hii minne yaliibuka...
Back
Top Bottom