sabaya

Sabaya is a small town in the Bolivian Oruro Department. In 2001 it had a population of 573 inhabitants in 2001. Sabaya is the administrative center of the Sabaya Province and the Sabaya Municipality alike. It is located 200 km south-west of Oruro, the capital of the department. It is situated at 3,698 m above sea level in the valley of the Sabaya River on the eastern slopes of Pumari (4,787 m). Salar de Coipasa lies 25 km south-east of Sabaya, and the stratovolcano Tata Sabaya (5,430 m) is situated 20 km south-west of Sabaya.

View More On Wikipedia.org
 1. R

  Paul Makonda lazima apelekwe mbele ya sheria

  Ili haki itendeke na ionekane imetendeka, Paul Makonda lazima apelekwe mbele ya sheria ajitetee kuhusu shutuma zinazomkabili toka kwa "wahanga" wa utawala wake . Ana tuhuma nyingi sana ambazo akitendewa kama Sabaya, watu watajitokeza kutoa ushahidi. ANA SHUTUMA NYINGI ZA UKATILI, UPORAJI ETC...
 2. I

  Sabaya kapprove kwamba takribani %50 ya wabunge wa CCM hawakushinda na wenyewe wanajua hilo. Walitangazwa kwa ubabe na hila

  Mi naamini wabunge wa chadema wote wa dar walishinda ispokuw temeke ambapo ni ngome ya ccm. Wakurugrnzi waliambiwa watangaze wanaccm hivyohivyo come what may. Mfano imedhihirika wazi mbowe alishinda ila kwa vile sabaya aliagizwa kwa kazi maalumu ya kuchinja, kuteka na kuua isingekuwa rahisi...
 3. kavulata

  Hukumi ya Sabaya viongozi wa kuteuliwa tumieni akili zenu.

  Utetezi wa Sabaya ulizihusisha mamlaka za uteuzi. Mazingira yanaonesha kuwa Kuna ukweli fulani kwenye madai yake hayo ya utetezi. Ushahidi wa madai yake kwamba alikuwa anatekeleza maagizo ya mamlaka ya uteuzi yanatiwa nguvu na uwepo wa wateuliwa wengine ambao walikuwa wakiwafanyia vitendo...
 4. GENTAMYCINE

  Je, na Yule aliyemrithisha Roho Mbaya Mfungwa mpya Ole Sabaya kutokea Mkoa wa Dar es Salaam nae atakamatwa ili afungwe miaka yake 670 lini?

  Nasikia kwa sasa Mr. Dar es Salaam Mitege hataki kabisa kutumia Mitandao ya Kijamii ( japo kuna muda ) huwa anaibuka na pia anasoma mara Ujerumani mara Afrika Kusini na hata akiwa Tanzania amekuwa ni Msiri na Mtu wa Kujificha na kuhamahama kama Digidigi na hata wale Malaya wake wa Beach Kidimbwi...
 5. Kasomi

  Nawaza tu: Huenda Sabaya hatomaliza kifungo cha miaka 30

  Asalam wakuu naomba mnukuu kwanza kwenye title ya uzi kuwa nawaza tu na neno huenda ndilo mpigie mstari. Ni kwamba sina uhakika Japo sipo sahihi kama sabaya atakaa miaka 30 jela. Kulingana na kauli ya sabaya leo kuwaambia hata wasihofu Mungu yupo huenda ina Maana Zaidi. Je, unazani hakuna watu...
 6. Stuxnet

  Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

  Wanahabari Mawakili wetu wasomi kwa pamoja na chama cha wanahabari wafungue kesi juu ya PAUL MAKONDA KWA KUVAMIA STUDIO ZA CLOUDS FM NA SILAHA ZA MOTO NA WENZAKE NA KUPORA VITENDEA KAZI vya wanabari hao shtaka lipo wazi mashahidi zikiwemo CCTV camera zipo hakuna kuwaweka kiporo mpaka wajue...
 7. S

  Ushauri: Sabaya ukiwa jela andika kitabu kitachosaidia wateule wenzako yasiwakute yaliyokukuta

  Kama sheria na taratibu zinaruhusu wafungwa kuandika kitabu, nakushauri utumie muda wako wa kuwa kifungoni uandike kitabu kitachoeleza kila kitu yakiwemo yale ambayo hukuyasema mahakamani (kama yapo) ili usaidie wenzako yasiwakute yaliyowakuta. Kwasababu umeshaenda jela(unless unataka kukata...
 8. LIKUD

  Kiroho Zaidi: Hili ndio kosa la Sabaya katika ulimwengu wa roho

  Kosa la Sabaya lipo hapa ( Yeremia 17:5) Hapo ndio msingi wa matatizo yote ya Sabaya.. Kama moyoni mwake angejua kuwa mtu Yule si Mungu basi asingeweza kufanya Yale yote aliyo yafanya. Angejua kuwa Kuna Kesho Na keshokutwa anything can happen
 9. S

  Lema atahadharisha kuwa hukumu ya Sabaya inaweza kuwa ni daraja katika kesi ya Mbowe

  Ameonya hivyo kupitia mtandao wa twitter:
 10. Meneja Wa Makampuni

  Sijapenda hicho wanachomfanyia Sabaya

  loading....................
 11. Ngongo

  Muonekano wa Lengai Ole Sabaya baada ya kumaliza kifungo.

 12. Baraka21

  Muonekano wa Ole Sabaya 2051 baada ya kutoka jela utakuwa hivi.

 13. L

  Madhara ya kesi ya Mbowe na tofauti na kesi ya Sabaya.

  Ukweli kesi ya Mbowe Kila anaeifuatilia anajua kabisa kuwa kesi hii ni ya kutunga,na ukweli pia kesi ya Sabaya kila anaeifuatilia anajua kabisa kuwa kesi yake ni ya ukweli. CCM wote wanajua kabisa kesi ya Mbowe ni ya kumkomoa,na CCM wote wanajua kabisa Kesi ya Sabaya ni kweli alfanya makosa...
 14. MGOGOHALISI

  Baada ya Sabaya kuhukumiwa una lipi la kusema kuhusu serikali iliyomteua na kutochukua hatua kwa matendo yote hayo?

  Mimi nasema Tanzania haitakiwi kuwa na viongozi wa tabia za JPM. Wewe je?
 15. Mindi

  Mamlaka iliyomteua Sabaya na kutomtumbua, inahusika pia na hukumu hii

  Sabaya amehukumiwa kifungo cha miaka 30 kwa ujambazi wa kutumia silaha. Katika kujitetea, mara nyingi amesema kwamba alikuwa anatekeleza maagizo ya mamlaka iliyomteua. Kwa maoni yangu, hata bila utetezi wake huo, kitendo cha mamlaka ya uteuzi kunyamazia vitendo vyake vya ujambazi, ni kuhusika...
 16. S

  Baada ya Sabaya, waliompiga risasi Lissu wajue na wao iko siku wataenda jela

  Moja ya funzo kubwa tunalopata kutokana na hukumu ya Sabaya ni kuwa, hata ukitumika na wakubwa ,ipo siku hawatakuwapo na hata wakiwepo, wanaweza wasiwe na msaada kwako hivyo yatakukuta tu kama yalivyomkuta Sabaya leo hii. Mliomshambulia Lissu kwa risasi mkoani Dodoma,, mjue siku yenu ipo na...
 17. ibra2013

  PICHA: mwanadada ambae SABAYA alimchumbia

  This is weekend Thanks Cc bia tamu
 18. Ngengemkeni ngoswe

  Je hukumu ya sabaya ina mtazamo Gani juu ya kesi ya mbowe?

  Wakuu kuhusu kilichotokea huko kwa kwa sabaya ni kama mlivosikia,swali ni je hukumu hiyo imetolewa kama kuwafumba macho watanzania ili itakapo tolewa (mvua) hukumu kwa mbowe ionekane kwamba imetenda haki?? Kwa hukumu hyo ya sabaya inaleta taswira gan kwa hukumu ijayo ya mbowe?
 19. B

  Sabaya na Manabii wa Mola tusio Wakubali

  Haya si maneno yangu: "Nabii hakubaliki kwao." Nini kulikuwa kigeni kwake aliyekuwa Mh. Sabaya? Je hakuonywa? Au alitegemea manabii waje na mbawa zao kama malaika straight toka kwa Mola? Ikumbukwe mheshimiwa Lema aliwahi toa maonyo si kwa ndugu huyu pekee, na kweli yakatokea. Ama kweli...
 20. Baraka21

  Mchumba wa Ole Sabaya afunguka

  Kikubwa alichosema anamshukuru Mungu kwa kila jambo. Na mambo yote hupangwa na Mungu.
Top Bottom