mawakili wa serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hii kesi inawavua nguo mawakili wa serikali nani wa kuwavisha tena? Njia pekee ni kuwateua wawe majaji

    Huu ni ushauri wangu kwa serikali, Yanayoendelea mahakamani ni aibu aibu aibu aibu, Tundu Lissu anawavua chupi mawakili wa serikali mchana kweupe. Ni aibu mh rais wateule wawe majaji tusiwe tunawaona mara kwa mara ni aibu
  2. G Sam

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa serikali na waliofungua mashtaka ya jinai wakishinda kesi waliyoanzisha huwa wanapandishwa vyeo na kupewa tuzo

    Wala msijiulize kwanini kilaza Kingai anasema atafurahi endapo Lissu atakutwa na hatia. Niwaambieni kitu kimoja kuwa waliofungua mashtaka kwa niaba ya jamhuri na mawakili wa jamhuri wakishinda kesi waliyofungua huwa ni utaratibu wao kupandishwa vyeo na kupewa tuzo maalum kama motisha. Ndiyo...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Hilda Newton: Kuna connection gani Kati ya Mawakili wa Serikali na Mhe. Lema?

    Usiku wa leo ni mrefu sana kwa baadhi ya watu. ‼️TAFAKURI‼️ Leo kwenye Cross Examination kuna maswali binafsi Katuga kamuuliza Mhe.Heche ila kimsingi hayo maswali yanatakona na tuhuma za uwongo ambazo muanzilishi wake ni Mhe. Lema na amekuwa akimrushia Mhe. Heche tuhuma izo kwa nyakati tofauti...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa serikali wakijidai kuuliza vijiswali vya trekta za Heche ,na Heche nae aulize juu ya magari Yao ya mabilioni

    Kama Nia ni kutokana mchezoni nadhani Serikali haiwezi kua na uvumilivu. Ni kuanza kulinganisha naufisadi wao. CCM na Ufisadi ni kama uji na mgonjwa. Kwa mfano katuga na wenzake wakiuliza juu ya gari au trekta ya Heche Ina thamani Gani,Heche anaweza kujibu gari langu used la sh Milioni kumi...
  5. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Serikali Kutumia Nguvu Kubwa Kuhoji Michango ya TONETONE Kwenye Kesi ya Uhaini ni Kuonyesha Udhaifu wa Prosecution side

    Sasa kama michango ya Tone Tone imeliwa huo si utakuja kuwa ushahidi utakao kuja kuonekana katika ukaguzi wa kawaida wa CAG unahusikaje na ushahidi wa kesi ya Uhaini iliyo mahakamani inayo muhusu Lissu? Hakika Sasa hata kama kesi iliyo mahakamani haijadiliwi lakini sio katika utoto wa Aina hii...
  6. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu Imeweka Wazi Uwezo wa Mawakili wa Serikali Ulivyo. Ndio Sababu Kesi Zote za Mikataba Nje Tunashindwa kwa Aibu Sana

    Nimeyasikia mahojiano ya Wakili wa serikali Said Katuga kwa shahidi wa utetezi John Mnyika mpaka nimefunika uso kwa aibu. Aina ya maswali, mpangilio wake na nia yake haiendani na kesi ya msingi hata kidogo na hana weledi kiasi kuwa kama hawa ndio watetezi wa kesi zinazofunguliwa dhidi ya...
  7. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mawakili wa serikali wamepaniki baada ya rais Samia kutajwa kama shahidi kwenye kesi ya Lissu?

    Naomba watu wa sheria watoe maelezo kidogo juu ya sheria za mahakama juu ya ahadi na ushahidi. Naona mawakili wa serikali wamepigwa ganzi ghafla baada ya Lissu kutaja mashahidi wake.
  8. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Serikali wapinga Rais Samia na wenzake kuitwa mahakamani

    Mawakili wa Serikali wapinga Rais Samia na wenzake kuitwa mahakamani Wakili wa Serikali Mkuu, Nasoro Katuga, amesimama: Upande wa Jamhuri unajua ni haki ya mshitakiwa kujitetea na yeye kueleza kuwa atajitetea mwenyewe. Lakini kuna suala la mashahidi ambao mshitakiwa anataka wapewe summons...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Je, hatua hii ni sahihi kwa mawakili wa serikali kupinga mashahidi wa Lissu kufika mahakamani?

    Japo mimi sio nwanasheria, ila najiuliza kama ni sahihi kwa mawakili wa serikali kupinga mashahidi wa Lissu kufika mahakamani kutoa ushahidi kwani alishawataja katika hatua za awali na mawakili wa Serikali hawakupinga. Sasa swali: Kama hawakupinga mashahidi aliowataja Lissu katika mahakama ya...
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Serikali wanaficha nyuso zao kesi ya Lissu?

    Ni kama vile ingewezekana mawakili wa Serikali nao wangeomba kuendesha kesi dhidi ya Tundu Lissu kwa kificho. Kwenye video hii Kuna kila shaka kwamba mawakili wa serikali hawapendi sura zao kuonekana kideoni. 👇
  11. K

    JamiiForums Tanzania Jamani kitendo cha mawakili wa serikali kushindwa kumalizia mashahidi wao 30 kwenye kesi ya Lissu inamaanisha nini?

    Jamani kitendo cha mawakili wa serikali kushindwa kumalizia mashahidi wao 30 kwenye kesi ya Lissu inamaanisha nini?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu, mawakili wa serikali wabadili gia angani, wafunga ushahidi tofauti na ahadi yao ya kuileta mashahidi waliokuwa wamebaki

    Ushahidi wa upande wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, umefungwa rasmi leo Agosti 17, 2026, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo Dar es Salaam. Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga, ameiambia mahakama kuwa baada ya kupitia ushahidi...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Je kudondoshwa Kwa mawakili wa Serikali takribani 10 na Lissu akiwa peke yake pale court of Appeal ina maana gani?

    Je, kudondoshwa Kwa mawakili wa Serikali takribani 10 na Lissu akiwa peke yake pale court of Appeal ina maana gani? Wadau swali langu ni hilo
  14. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Serikali wanalipiwa Suti, Viatu, Tai, Ada za TLS na Chama chao, Usafiri, Posho nyingine , Vipi Vijana wa FIRM binafsi?

    12-7-2026 Mawakili wa Serikali wameilikia Wizara na Waajiri wawape Posho za Suti, Bib, Tai na Mikoba na nyumba , viatu ambazo huwa wanapewa tangu 2024 isipokuwa baadhi ya waajiri wachache hawatoi. Hii ni tofauti na Mawakili binafsi ambao wao , unakuta wamepauka, suti nyeusi si nyeusi; Wanalipwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Rais Samia Suluhu

    Akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alisema: “Tutasaidiwa kuiharibu nchi yetu, lakini hatutasaidiwa kuijenga tena. Tanzania ni yetu sote na tunapaswa kuilinda.”
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akifungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali AICC Arusha Julai 13, 2026

    Rais Samia akifungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC), Julai 13, 2026. https://www.youtube.com/live/BZ2VYmBPQI4?si=FdG1FMslilQhYK-B
  17. R

    JamiiForums Tanzania Adv. Madeleka: Hakuna Jaji anayeweza kuwa huru kama alikuwa msaidizi wa Rais. ~ 50% ya majaji walikuwa mawakili wa serikali. Hawawezi tenda haki

    Sikiliza shule ya haki with regard to our Judges. Huwezi kutenda haki kama uliteuliwa na Rais kuwa Jaji. Majaij duniani kote wanaomba kazi ya Ujaji kwa kupitia well regulated strict interview. Msikilize Peter Madeleka, Wakili
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Mawakili wa Jamhuri hawajarudi kwenye chumba cha Mahakamani kuendelea na Kesi

    Wakuu Inadaiwa mawakili wa Jamhuri hawajaonekana na hawajarudi Mahakamani mpaka muda huu. Karani amesimama na kuseeleza kuwa kuna jambo limejitokeza anaenda kutafuta ufafanuzi kwa msajili wa mahakama na atarudi kuleta mrejesho. Mwenendo wa Kesi > Kesi ya Lissu: Mahakama yatupilia mbali ombi...
  19. Pulchra Animo

    JamiiForums Tanzania TZS 10 million Challenge Kwa Mawakili wa Serikali

    Nimesikitishwa na press release ya Chama Cha Mawakili wa Serikali (TPBA) ya 12 November 2025. Katika hiyo press release, TPBA inadai (pamoja na mambo mengine) kwamba maandamano ya 29 October 2025 hayakuwa halali, kwani yalikiuka zuio la polisi. Hiki ni kisingizio cha kisaliti na kipumbavu sana...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Serikali tunzeni heshima ndogo iliyopo kwenye tasnia ya Sheria. Nyakati hazipo upande wa Udhalimu! Ole wenu

    Tunajua Chama cha Mawakili wa Serikali kilianzishwa na Magufuli kama propaganda machinery ya Serikali ili kujaribu kuua nguvu iliyopo TLS. Pamoja na kujua hilo tunawatahadharisha Mawakili wa Serikali kuwa, nyakati hazipo upande wa madhalimu na udhalimu. Tunajua mnaishi kwa mishahara na posho...
Back
Top Bottom