Binti atoa penzi siku 3 bila ridhaa yake, na kesi kashindwa

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,047
20,411
Binti (Miaka 19) yupo kwa Basi, anatoka zake Dar kwenda Uyulo-Mbeya kumsalimu Shangazi yake, anawasiliana nae kwa Simu akiwa safari, lakini anafika Iringa Simu inakata Chaji.

Binti anamuomba Simu Jamaa aliyekaa pembeni yake aitwaye MAPINDUZI NGALLA, lakini anapiga Simu Shangazi hapatikani. Jamaa anamchombeza Binti kwani unaenda wapi?
Binti anajibu Uyole-Mbeya,
Jamaa anamwambia mmh! pale Uyole usiku kuna wauaji, twende ukalale kwangu Mbalali kisha kesho utamalizia safari yako, Binti anamuuliza kwako unakaa na Familia?
Jamaa anajibu ndio.
πŸ‘†πŸΏ
Basi Jamaa anamchukua Binti anaenda nae kwake kijiji cha URUNDA- Mbarali, , kumbe Jamaa anakaa peke yake, wanalala chumba tofauti, lakini usiku Jamaa anaenda chumbani kwa Binti, anadai penzi, Binti anakataa lakini Jamaa ana force kingi - anambaka Binti, kesho inafika Jamaa anamfungia Binti ndani, usiku anambaka tena, kesho yake Jamaa anasahau kufunga mlango Binti anafanikiwa kutoka ndani, baadae Jamaa anakamatwa kwa ubakaji.
πŸ‘†πŸΏ
Jamaa ameshinda kesi. Unajua kwanini? Kifungu -130(1)(2)(b)- ambacho alishtakiwa nacho kinaelezea ubakaji ambao Mwanamke anakubali kufanya mapenzi lakini kukubali kwake kunatokana na kutishiwa kuuliwa, kuumizwa... lakini hii kesi ushahidi wa Binti ulikuwa kwamba alilazimishwa kufanya mapenzi bila ridhaa (consent) yake, hii kitu inaangukia kifungu kingine tofauti -130(1)(2)(a) cha Kanuni ya Adhabu.
Mahakama ya Rufaa chini ya Jaji MASHAKA imemwachia jamaa aliyekuwa amefungwa miaka 30 na mahakama kuu.
Jaji :- Mashaka
Wakili wa Serikali 1 .Edgar Luoga.
2. Devise Msanga.

Nani alaumiwe?
  1. shangazi aliyepotea hewani.
  2. Mapinduzi[mbakaji]?
  3. Binti[Tunda]?
  4. Mawakili wa Serikali waliokosea vifungu vya sheria?
  5. Mungu aliyeshindwa kumfanya jama adindishe?
  6. Serikali inayosajili mawakili chini ya viwango?
 
Attachments

  • Consent as an Element of Rape, Improper Conduct of Preliminary Hearing, A Document Must Be Rea...pdf
    399.5 KB · Views: 2
Binti (Miaka 19) yupo kwa Busi, anatoka zake Dar kwenda Uyulo-Mbeya kumsalimu Shangazi yake, anawasiliana nae kwa Simu akiwa safari, lakini anafika Iringa Simu inakata Chaji,
Binti anamuomba Simu Jamaa aliyekaa pembeni yake, lakini anapiga Simu Shangazi hapatikani. Jamaa anamchombeza Binti kwani unaenda wapi?
Binti anajibu Uyole-Mbeya,
Jamaa anamwambia mmh! pale Uyole usiku kuna wauaji, twende ukalale kwangu Mbalali kisha kesho utamalizia safari yako, Binti anamuuliza kwako unakaa na Familia?
Jamaa anajibu ndio.
πŸ‘†πŸΏ
Basi Jamaa anamchukua Binti anaenda nae kwake, kumbe Jamaa anakaa peke yake, wanalala chumba tofauti, lakini usiku Jamaa anaenda chumbani kwa Binti, anadai penzi, Binti anakataa lakini Jamaa ana force kingi - anambaka Binti, kesho inafika Jamaa anamfungia Binti ndani, usiku anambaka tena, kesho yake Jamaa anasahau kufunga mlango Binti anafanikiwa kutoka ndani, baadae Jamaa anakamatwa kwa ubakaji.
πŸ‘†πŸΏ
Jamaa ameshinda kesi.
Unajua kwanini? Kifungu -130(1)(2)(b)- ambacho alishtakiwa nacho kinaelezea ubakaji ambao Mwanamke anakubali kufanya mapenzi lakini kukubali kwake kunatokana na kutishiwa kuuliwa, kuumizwa... lakini hii kesi ushahidi wa Binti ulikuwa kwamba alilazimishwa kufanya mapenzi bila ridhaa (consent) yake, hii kitu inaangukia kifungu kingine tofauti -130(1)(2)(a) cha Kanuni ya Adhabu.

Nani alaumiwe?
Alaumiwe binti kwa upumbavu wake... unakubalije kwenda kulala kwa usiyemjua? Watanzania tuna reasoning capacity ya chini sana sana hata tumbili anatuzidi!!
 
Evidence zilikuwaje? What if mdada anamzingizia mkaka? Je mdada alipiga kelele ?

Tusiingie mtego wa kuwapa sana kina dada ushindi kwenye kila kesi
Nyumba za vijijini zipo mbali mbali.
Jamaa alikwenda chumbani kwake usiku saa saba akaanza kuomba mchezo, kunyimwa akamvua chupi maana dada alikuwa maevaa kanga moja pekee.
Jamaa kiona tunda akapenya.
 
Binti (Miaka 19) yupo kwa Basi, anatoka zake Dar kwenda Uyulo-Mbeya kumsalimu Shangazi yake, anawasiliana nae kwa Simu akiwa safari, lakini anafika Iringa Simu inakata Chaji.

Binti anamuomba Simu Jamaa aliyekaa pembeni yake aitwaye MAPINDUZI NGALLA, lakini anapiga Simu Shangazi hapatikani. Jamaa anamchombeza Binti kwani unaenda wapi?
Binti anajibu Uyole-Mbeya,
Jamaa anamwambia mmh! pale Uyole usiku kuna wauaji, twende ukalale kwangu Mbalali kisha kesho utamalizia safari yako, Binti anamuuliza kwako unakaa na Familia?
Jamaa anajibu ndio.
πŸ‘†πŸΏ
Basi Jamaa anamchukua Binti anaenda nae kwake kijiji cha URUNDA- Mbarali, , kumbe Jamaa anakaa peke yake, wanalala chumba tofauti, lakini usiku Jamaa anaenda chumbani kwa Binti, anadai penzi, Binti anakataa lakini Jamaa ana force kingi - anambaka Binti, kesho inafika Jamaa anamfungia Binti ndani, usiku anambaka tena, kesho yake Jamaa anasahau kufunga mlango Binti anafanikiwa kutoka ndani, baadae Jamaa anakamatwa kwa ubakaji.
πŸ‘†πŸΏ
Jamaa ameshinda kesi. Unajua kwanini? Kifungu -130(1)(2)(b)- ambacho alishtakiwa nacho kinaelezea ubakaji ambao Mwanamke anakubali kufanya mapenzi lakini kukubali kwake kunatokana na kutishiwa kuuliwa, kuumizwa... lakini hii kesi ushahidi wa Binti ulikuwa kwamba alilazimishwa kufanya mapenzi bila ridhaa (consent) yake, hii kitu inaangukia kifungu kingine tofauti -130(1)(2)(a) cha Kanuni ya Adhabu.
Mahakama ya Rufaa chini ya Jaji MASHAKA imemuachia jamaa aliyekuwa amefungwa miaka 30 na mahakama kuu.
Jaji :- Mashaka
Wakili wa Serikali 1 .Edgar Luoga.
2. Devise Msanga.

Nani alaumiwe?
  1. shangazi aliyepotea hewani.
  2. Mapinduzi[mbakaji]?
  3. Binti[Tunda]?
  4. Mawakili wa Serikali waliokosea vifungu vya sheria?
  5. Mungu aliyeshindwa kumfanya jama adindishe?
  6. Serikali inayosajili mawakili chini ya viwango?

Panapokuwa na pesa, hawa mahakimu wanapinda, huna hata haja ya kuleta vifungu ku justify uharamia.
 
Yeye ni mgeni, amemaliza kozi ya ushonaji huko charambe Dar na ndio mara ya kwanza anafika Mbeya, hajui lolote.
Mara ya kwanza kufika Mbeya nilikuwa nina miaka 17, nilifika 7 usiku. Sikuwa na mwenyeji nililala Lodge.
Nilikuwa naenda kidato cha tano.

Bure ni gharama. Yeye hakuwa na pesa za Guest si angelala Stendi kama abiria wengine?
M
 
Binti anafahamiana na kijana

Hakufika kwa shangazi moja kwa moja alifika kwa kijana

Walikuwa na ugomvi au ulijitokeza kipindi binti akiwa kwa kijana

Binti akamsingizia

Hata kama walifahamiana kwenye basi, itakuwa binti alidanganywa kwa kuahidiwa malipo, asingekubali kwa namna yeyote nyingine.

Ugomvi wa malipo ukapelekea binti kushtaki
 
Katoka mjini kaenda kubakwa kijijini, enewei wa kulaumiwa ni Mungu kashindwa kufanya jamaa asidindishe
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Back
Top Bottom