Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,047
20,411
Wakati Tunakaribia uchaguzi mkuu 2025, Dream team imeanza kupangwa, Captain amepewa captain msaidizi {kapten kapunguziwa madaraka kijanja} huku mabeki wakipewa wanasheria.

Kapten kashtuka, ameamua kukaa kimya, naye anajipanga anataka namba 2025, wacha inyeshe tujua pavujapo.

Kanda ya Ziwa ambapo mikutano ya CAHDEMA imebamba sana, sasa team "JPM" imerudishwa ili wananchi wajione wanawakilishwa, Mabula ambaye amefeli sana kwenye Wizara ya Ardhi na pia kuhusishwa na kashfa kadha ameachwa.

1. Jerry Slaa, Waziri Ardhi-Mwanasheria
2. Anthony Mavunde, Waziri Madini-Mwanasheria
3. Pindi Chana, Waziri Katiba na Sheria-Mwanasheria
4. Dr. Damas Ndumbaro, Waziri Sanaa na Michezo-Mwanasheria
5. Omary Mchengerwa, Waziri Tamisemi-Mwanasheria
6. Ummy Mwalimu, Waziri afya-Mwanasheria
7. George Simbachawene, Waziri Utumishi-Mwanasheria
9. Angela Kairuki, Waziri Maliasili-Mwanasheria
10. Ridhiwan Kikwete, Naibu Waziri Utumishi-Mwanasheria
11. Byabato, Naibu Waziri mambo ya Nje-Mwanasheria
12. Judith Kapinga, Naibu Waziri Nishati-Mwanasheria.
13. Geofrey Pinda, Naibu Waziri Ardhi-Mwanasheria
14. Tulia Ackson [pHD ya Sheria]-Spika wa Bunge

Tupo salama kwa sasa baraza karibu lote ni learned brothers hatutegemei uchafu.
a😎🇹🇿
 
Shida inakuja wanapoanza kutekeleza Ilani ya CCM, huko huwa hawahitaji wenye akili
They've never practiced at all .Kuna tofauti ya daktari aliyewahi kuingia wodini na ambaye hajawahi kuingia wodini kabisa.
Inasemekana hawajui kufanya research na hata hiyo theory waliyosoma walishasau bali wamebaki na majungu ya kisiasa tu, mimi kama jaji sijui>
 
Kusoma sheria hakukupi hadhi ya kuitwa wakili.

Wengi hapo wamesoma sheria, lakini sio mawakili/wanasheria.

Taaluma ambazo zinazohitaji kufanya proffesional exams and practice duration to gain experience in order to qualify; bila ya kufanya hivyo uwezi kuitwa proffesional, umesomea tu hayo mambo.

Hakuna law firm itakuajiri bila ya malengo ya kukutengenezea njia ya kupata proffesional qualification; na muda huo watakutumia kama research assistant tu uwezi kupewa kesi yoyote kama kampuni ya maana.
 
Tuombe radhi watu wa kanda ya ziwa,, hakuna kitu tumemaind kama kumpiga chini Dada yetu kipenzi Angelina Mabula ardhi na kumuweka huyo dogo,, tumemaind sana na mtajua tu soon kwa nini hatukupendezwa na hilo jambo
 
Wakati Tunakaribia uchaguzi mkuu 2025, Dream team imeanza kupangwa, Captain amepewa captain msaidizi {kapten kapunguziwa madaraka kijanja} huku mabeki wakipewa wanasheria.

Kanda ya Ziwa ambapo mikutano ya CAHDEMA imebamba sana, sasa team "JPM" imerudishwa ili wananchi wajione wanawakilishwa, Mabula ambaye amefeli sana kwenye Wizara ya Ardhi na pia kuhusishwa na kashfa kadha ameachwa.

1. Jerry Slaa, Waziri Ardhi-Mwanasheria
2. Anthony Mavunde, Waziri Madini-Mwanasheria
3. Pindi Chana, Waziri Katiba na Sheria-Mwanasheria
4. Dr. Damas Ndumbaro, Waziri Sanaa na Michezo-Mwanasheria
5. Omary Mchengerwa, Waziri Tamisemi-Mwanasheria
6. Ummy Mwalimu, Waziri afya-Mwanasheria
7. George Simbachawene, Waziri Utumishi-Mwanasheria
9. Angela Kairuki, Waziri Maliasili-Mwanasheria
10. Ridhiwan Kikwete, Naibu Waziri Utumishi-Mwanasheria
11. Byabato, Naibu Waziri mambo ya Nje-Mwanasheria
12. Judith Kapinga, Naibu Waziri Nishati-Mwanasheria.
13. Geofrey Pinda, Naibu Waziri Ardhi-Mwanasheria

Tupo salama kwa sasa baraza karibu lote ni learned brothers hatutegemei uchafu.
a😎🇹🇿
Ndio wanatuangusha siku zote
 
Back
Top Bottom