penzi

 1. Jay Cruel

  Anaomba nimsaidie pesa, sitampa maana kipindi cha mahusiano yetu hakuwahi kunipa penzi

  Kuna mwanamke kwenye mwaka 2011 nilikuwa namtaka na nilimpenda sana, viela vyangu vidogo dogo alikula sana, wacha mahitaji mengine, kipindi hiko yeye ana umri wa 21yrs, nilimpenda aswaaaa, kala sana viela vyangu kipindi hiko. Ila pamoja na kumjali kote hakuwai kunipa penzi kipindi hiko...
 2. N

  Mwanamke anaamini njia ya kurudisha fadhila kwa mwanaume aliyemsaidia ni kumpa penzi

  Habari zenu wa JF moja kwa moja kwenye mada. Nafanya kazi kwenye kampuni moja ya mawasiliano ni miaka mi4 sasa kuna staff mwenzangu mmoja miaka kadhaa nyuma alikuwa kwenye matatizo makubwa sana. Mimi nilijitolea kumsaidia kwa kiasi kikubwa sana huyu binti si kama binadamu mwenzangu na kiukweli...
 3. mohamed ismail

  Penzi la zamani

  Dunia inaenda kasi na maisha yanaenda kasi. Zamani upendo ulikuwa una thamani zaidi hata gharama iliyotumika ilikuwa ni ya thamani zaidi. Mahusiano yalighubikwa na maneno mazuri yenye kuvutia yakiwa yamejazwa na vionjo vyenye kusisimua nafsi. Acha masikhara yale ndio yalikuwa mapenzi. Hakukua...
 4. N

  Nimezama kwenye penzi la mjeda, sioni sisikii

  Habari wanajamvi, Acha niongee maana penzi limenikaba koo sifurukuti. Natamani kuhadithia raha nazopata jamani, sikuwahi dhani kuna mapenzi matamu hivi hasa kutokana na kutendwa huko nyuma jamani. Kwa kweli shikamoo mjeda laaaaa, ananipa kile mwanamke anatakiwa kupewa!! Ananijali ananitunza...
 5. Slowly

  Paula wa Kajala athibitisha yupo kwenye penzi zito na Rayvanny mtu mbaya

  Kupitia ukurasa wake wa Instagram mtoto mzuri , mwenye umbo matata na mwenye asili ya kimamtoni Paula wa Kajala amethibitisha kuwa sasa yupo kwenye penzi zito na nyota wa bongo fleva ambaye pia ni mmiliki wa label ya Next level music anayetamba na kibao chake cha KELEBE alicho mshirikisha...
 6. Redpanther

  Kwa wale mlio kwenye mahusiano ya muda mrefu mnafanya nini kuhuisha penzi pale linapokuwa limepoa?

  Habari za wakati huu wanajamvi pendwa la MMU. Ni siku ya tarehe 05/05/2021 kwa wale ambao siku ya jana 04/05/2021 ilikuwa siku ndefu poleni na wale ilikuwa kinyume chake hongera kwenu. Acha niende kwenye hoja moja kwa moja. Nimekuwa kwenye mahusiano na binti wa mtu kwa mwaka na kitu sasa...
 7. dawa yenu

  Ifike hatua niachwe tu!

  Basi bwana nikajua nimepata, kumbe nimepatikana kinoma kinoma aisee! Huyu binti nilikuwaga namuona tu hapa kitaa na mikato yake ya akina Kim Kardashian utafikiri ameshuka toka state last night! Wa moto hatari anaongea kiswahili flani cha Kimamtoni huwezi amini! Ana life lake hilo standard za...
 8. A

  Miaka 82 ya penzi la Malkia Elizabeth II na Mwanamfalme Philip

  MWAKA 1939, Elizabeth alikuwa binti mwenye umri wa miaka 13. Urembo wake haukuwa na kificho. Mwaka huo, Philip alikuwa kijana barubaru, umri wake tayari ulishatimia miaka 18. Ndipo wakakutana. Binti wa miaka 13 akaangukia kwenye penzi la kijana mwenye miaka 18. Elizabeth na Philip wakawa...
 9. L

  Kuna Raha yake kwa mwanaume kula mwanamke aliyekuzidi hadhi

  Kwanza nguvu huwa zinaongezeka,Raha zaidi,utamu zaidi na starehe sana kwa mwanaume unapokula penzi la mwanamke yoyote aliekuzidi au mwenye hadhi ya juu zaidi. Kwa mfano: Kula penzi la mwanamke ambae Ni:- bosi wako, Mtoto wa bosi wako, Tajiri, Mtoto wa kiongozi, Mwenye akili Sana, Mwenye cheo...
 10. sinza pazuri

  Penzi la Rayvanny na Paula laanza upya

  Baada ya yule kauzibe kupigwa kibuti cha nguvu na Kajala. Penzi limerudi upya na sasa limekolea nazi. ---
 11. Krav Maga

  Diwani wa Mbagala Kuu, Shabani Othman Abubakari(CCM) afariki dunia akiwa 'guest' na mwanamke

  Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Temeke, Abdallah Mtimika na kuwa mazishi yake yatafanyika leo katika makaburi ya Tanita yaliyopo eneo la Kibonde Maji. Mmoja wa wahudumu nyumba hiyo ya kulala wageni (jina lake linahifadhiwa) amesema diwani huyo alifika akiwa...
 12. Meshacky Allyson

  Je, kwa kufanya haya utanogesha penzi lako?

  Habari wana Jf, Nimekuwa nikifuatilia nukuu mbalimbali kwenye vitabu nk. Je kuna ukweli wowote juu ya hili, kwamba Wanawake ni vyema kuwaonyesha wanaume zenu kuwa mnawapenda sirini na sio hadharani. Yaan in public kwamba huyo ndio mwanaume wako kila mtu ajue. Hii inasemekana wanaume wengi...
 13. M

  Umeshawahi kulipigania penzi lisivunjike lakini mwisho wa siku ukakubali kushidwa

  Nakumbuka miaka 6 nyuma kuna binti niliwahi kumpenda sana sasa katika mahusiano tulifikia kile kipindi kile mahusiano yapo too toxic kila nikijitahidi kuliokoa penzi kuliokoa tusiachane lakini wapi. Mwisho wa siku nilikubali matokeo niliumia sana lakini mwisho wa siku ilibidi nikubali kumwacha...
 14. Infantry Soldier

  UTAFITI WANGU: Utakachomsimulia mpenzi wako mwanzoni penzi lenu linapokuwa jipya ndio maneno atakayokurushia siku mtakapokwaruzana

  Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu Jamiiforums. Ndugu zangu watanzania, hivi mnajua ya kwamba; Utakachokuwa unamsimulia sweetheart wako siku za mwanzoni penzi lenu linapokuwa jipya na moto moto ndio maneno hayo hayo atakayokurushia kama silaha siku ya kwanza mtakapogombana...
Top Bottom