Mwanamuziki wa Bongofleva, T.I.D (Khalid Mohamed), kupitia ofisi ya mawakili wake wanaomsimamia masuala yake yote ya kisheria, ametoa notisi ya siku saba (7) akiidai Bar ya Kitambaa Cheupe, kupitia Mkurugenzi wake Jessica Kikumbi, kulipa fidia ya Sh500 milioni.
Katika notisi hiyo, T.I.D pia...
Akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alisema:
“Tutasaidiwa kuiharibu nchi yetu, lakini hatutasaidiwa kuijenga tena. Tanzania ni yetu sote na tunapaswa kuilinda.”
chama
chama cha mawakili
jamhuri
jamhuri ya muungano
mawakilimawakili wa serikali
mkutano
mkutano mkuu
mkuu
muungano
mwaka
rais
rais wa jamhuri
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
serikali
suluhu
tanzania
Sikiliza shule ya haki with regard to our Judges.
Huwezi kutenda haki kama uliteuliwa na Rais kuwa Jaji.
Majaij duniani kote wanaomba kazi ya Ujaji kwa kupitia well regulated strict interview.
Msikilize Peter Madeleka, Wakili
Lowasaa alisema Elimu Elimu Elimu!
Waziri mmoja amesema ana mamlaka kikatiba, akaulizwa tutajie kifungu , akakimbia kusema watakutana mahakamani.
Ifahamike, Watu waliosoma Sheria kwa hapa Tanzani mpaka sasa ni zaidi ya Laki tano 500,000 lakini mawakili ni 14,000 tu Tangu waanze kusajiliwa...
Mawakili 40 kutoka Taasisi 12 za uwakili nchini Uganda wameungana kumtetea kiongozi wa upinzani, Dkt. Kizza Besigye na Hajj Obeid Lutale ambao wamewekwa kizuizini kwa muda sasa.
Wamewasilisha maombi mapya Mahakama Kuu kupinga hatua za serikali wanazodai kuwa zinakiuka haki ya kikatiba ya...
Mawakili wa Tanzania wamekuwa hawana maana tena , wanahujumiana wao kwa wao, wamekuwa hawaheshimika hata na mamlaka nyingine na wakionekna bora hata wauza pipi kuliko mawakili!
SWALI NI KIPI KIMEWASIBU?- Hapa ilianza chuki , pale mwaka 2014 chaguzi za TLS walipojitokeza machawa waliopandikizwa...
Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayo tarehe 30 Aprili 2026 wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha.
Nina wasiwasi na baadhi ya maneno uliyoandika mtandaoni kuhusu kauli ya Lissu baada ya wewe kutoka mahabusu. Msimamo wa Mkti Lissu mara zote kuhusu uhuru wake umekuwa wazi, kwamba kesi inayomkabili ni ya uongo na anapaswa kuachiwa huru bila masharti yoyote.
Hajawahi, wakati wowote, kuweka...
Mahakama ina kanuni, taratibu na miongozo katika kuendesha kesi. Na katika taratibu hizo, mawakili wote huhesabika kama ni maafisa wa mahakama wanaotakiwa kuwa mfano katika kuzingatia na kuheshimu taratibu zote za mahakama.
Leo mawakili wa Serikali kwenye kesi bandia dhidi ya Lisu, wakili wa...
Ni muda mrefu sasa (yapata miezi 3) tangu kifungo cha JF kifike tamati lakini bado wahusika hawajaiachia 💯 %. Tukumbuke kuwa JF ilipigwa ban ya miezi 3 tangu September 2025 na hiyo ban ilipaswa kuwa lifted by December 2025.
Ndugu wanaJF, an attack to JF is an attack to all JF members...
Nawashauri tu, mnafanya dhidi ya Lissu iwe kweli. Sio kukaa vikao vya siri mkajadiliana dhidi ya kumkwamisha Lissu na kufarihisha wengine.
Helo hapa duniani mnaweza mkajiona wajanja lkn siku ukifumba jicho utaona madhara yake.
Mtendeni haki Lissu bila kumuonea huruma lkn bila vikao vya siri...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Wegesa Heche amesema chama hicho kwa kitatoa mawakili kwa wote walioshtakiwa kesi za uhaini nchi nzima
Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo Novemba 12, 2025 baada ya...
Kundi la mawakili zaidi ya 13 wakiongozwa na Wakili Mwandamizi Constantine Mutalemwa, wamemwakilisha Wakili Godfrey Mjuni Martin Basasingohe katika kesi ya kikatiba dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) na Mkurugenzi wa Mashitaka ya Umma (DPP), wakipinga uhalali wa sheria ya ulinzi wa...
Rais wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Bavoo Junus, amewaonya wananchi kuepuka kujadili masuala ya kisheria bila kuwa na uelewa wa kutosha, akisema kitendo hicho kinasababisha upotoshaji unaoweza kudhoofisha imani ya jamii kwa taasisi za sheria.
Akizungumza leo Ijumaa, Septemba...
Mimi ni mdau wa JamiiForums.com nina kero ambayo naomba ujumbe ufike kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya pamoja na ofisini yake kwa jumla.
Sisi Watumishi katika ngazi Elimu Msingi hatujalipwa fedha yetu ya likizo tangu Desemba 2024, licha ya kuwa tulijaza fomu ya malipo...
Anonymous (7e77)
Thread
elimu
elimu msingi
likizo
malipo
mawakili
rorya
watumishi
Watanzania walitegemea kuona Hawa Wahuni wakijitutumua kujibu Hoja za Dkt Malissa .
Hoja ni Nzito na zamoto , Katika Utawala wa Sheria ulio huru , TUKIO LA SAMIA kujipitisha lingefutiliwa mbali na kuamuriwa Mchakato kuanza Upya.
SAmia na CCM yake WAMEONA waje na Mbinu ya Pingamizi dhidi ya...
According to the Affidavit sworn by ACP AMIN MAHAMBA, during the investigation, he received information from the intended prosecution witnesses that the Respondent's associates are planning to obstruct the proceedings of PINo. 202504102000008607 by causing bodily harm to them, to force them to...
Umoja wa mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu wameeleza hali anayopitia gerezani huku Mahakama ikishindwa kufanya maamuzi
Mawakili hao wameeleza kitendo kilichotokea wakati wa kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili Lissu Julai 30,2025 katika Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu ambapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.