Sakata (酒田市, Sakata-shi) is a city located in Yamagata Prefecture, Japan. As of 1 October 2015, the city has an estimated population of 106,244 in 39320 households, and a population density of 180 people per km². The total area of the city is 602.97 square kilometres (232.81 sq mi).
Jukwaa la JamiiForums limekuwa mhimili wa fikra huru, na leo nataka niwashirikishe mtazamo wangu wa kisheria kuhusu mmoja ya migogoro mikubwa ya kibiashara na kimamlaka nchini kwa sasa. Kesi iliyofunguliwa na mfanyabiashara Sandaland dhidi ya Waziri Paul Makonda si kesi ya jinai ya kawaida, bali...
Tunasoma sakata la Jezi ya timu ya Taifa kama drama vile.
Makonda kama Waziri wa Michezo ana lake
Hamis Mwinjuma , aka mwana FA, Naibu Waziri Michezo naye ana lake
Ndumbaro, aliyekuwa Waziri wa Habari na Michezo 2023, naye ana lake.
Cha kushangaza ni kwa nini sakata jhili liko mbele ya umma...
Chuo cha Meru Driving, Arusha, kinanirudisha kila ninapofuatilia suala hili.
Wanasema mimi ndiye mwenye makosa, wakati nilitakiwa kutumia cheti hicho muda wowote. Ninalazimishwa kutoa pesa kwa askari ili niweze kupewa leseni.
Naomba kuuliza, nilisoma, nikafanya mtihani na nikapewa cheti; kwa...
Anonymous
Thread
changamoto
chuo
driving
habari
kuhusu
leseni
meru
mfumo
mpya
police
sakata
usajili
wide
Wana-JamiiForums,
Hivi karibuni kumekuwa na mjadala mzito mtandaoni na kwenye ulingo wa kisiasa nchini unaomhusu Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema. Tuhuma za yeye "kulamba asali" zilizosambazwa mitandaoni baada ya yeye kuchapisha salamu za pole za Mwenyekiti Tundu Lissu kwenda kwa...
Kuna mambo yakitokea duniani basi moja kwa moja fahamu kuwa upo ndani ya bara la Afrika na kuna upuuzi ukitokea Afrika basi fahamu tu upo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nadhani mahakama za kwetu Tanzania ndio zinaongoza kwa kutoa maamuzi kichwa kichwa sana, vitivo vya sheria ndani ya chuo...
Maswali ambayo hayajaulizwa hadi sass
1. Je ramani ya mipango miji ya jiji la Dar inasemaje?
2. Je eneo la shekilango ni sahihi kuwa stand za mabus? Je matumizi yake ya asili ni yapi?
3. Je ni nani aliruhusu kuwa na ICD ndani ya jiji?
Bado idara inayohusika na mipango miji inastahili hizi...
Kwanza kabisa niwatake radhi kwa kuchelewa kuandika huu uzi ambao ndo pia utatumika kama msimamo wa JF kwenye hili sakata la stendi ya mabasi Dar Es Salaam. Huko PM kumefurika messages nyingi sana za wanaJF wakitaka nitoe neno kwenye hii ishu. Bila kujali itikadi members wengi wamenisihi. Kuna...
Kuna tafsiri ambayo wana Simba SC Tanzania wanayo kwa Mwenyekiti wa Klabu yao MURTAZA MANGUNGU na kuna tafsiri wana Simba wanayo kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi CRESENTIUS MAGORI.
Bahati mbaya sana nadiriki kusema wengi wanawatafsiri hawa watu TOFAUTI (Vice Versa) na ukweli ulivyo. Mmoja...
Nikurejeshe mwaka 2010 ilikua balaza la Maulid kijana mmoja anafahamika kwa jina La Ibrahim aliweza kumfikia Raisi wa wakati huo na kumpiga kofi , sababu ilikua ni nini? Fuatilia video hapa chini .
https://www.facebook.com/reel/1724090805496548/?mibextid=9drbnH&s=yWDuG2&fs=e
KBARUA YA WAZI KWA MUFTI MKUU WA TANZANIA: WITO WA UWAZI KUHUSU SAKATA LA KUONDOSHWA SHEIKH WALID
Kwa: Mufti Mkuu wa Tanzania
Yah: Ombi la kuweka wazi sababu za kuondoshwa Sheikh Walid ili haki na ukweli ujulikane
Assalaamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh,
Kwa heshima na taadhima...
Sakata la watu wawili linachukua sura mpya kila uchao..... Na kila anajitokeza kuliongelea ama anazidi kuharibu ama anazidi kukoleza moto.. Na lisipodhibitiwa sasa linaweza kuja kuleta mgawanyiko mkubwa ndani ya imani moja ama madhara makubwa
Sasa kwenye hili.. Inayoumizwa ni imani. Kwakuwa...
Haya sasa, Mbunge Msukuma kawatolea uvivu wale walio ingiza maneno fiksi juu ya ajira na mambo ya Afya inapokuja waTanganyika huko Zanzibar.
Msukuma kajieleza vizuri alipoongea na waandishi wa habari.
Kimsingi Msukuma anasema Wazanzibari ni wavivu kiasili.
Mnasemaji wajameni
Kwa heshima kubwa, tunaiomba Serikali kupitia Jeshi la Polisi Tanzania na hasa Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) kuchukua hatua za haraka kuhusu malalamiko yanayoendelea kujitokeza juu ya ujenzi wa Kituo cha Polisi Itumbi, Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya.
Wananchi wa Itumbi pamoja na...
Tarehe 25-05-2026 Viongozi waandamizi(wakuu) wa chama cha walimu Tanzania yaan kuanzia Raisi wa chama,katibu mkuu pamoja na muweka hazina Taifa ikiwa ni sambamba na viongozi waliopita (Rais na katibu mkuu wake) walifikishwa mahakaman na kusomewa mashtaka ya uhujumu uchumu na matumizi mabaya ya...
Ubinafsi ulioonyeshwa na wabunge wetu wakibanwa imewafanya watie aibu katika jamii.
Sakata la vikwazo vya Marekani liko mbele yetu kama nchi.
Wahusika binafsi ni wale waliofanya mambo mabaya dhidi ya umma wa Kitanzania.
Watu hao ni watekati, waliovuruga utaratibu wa uchaguzi, walioua...
Marekani imechukua hatua kali dhidi ya mkuu mmoja wa polisi nchini Tanzania baada ya kumwekea sanctions kutokana na madai ya ukiukaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi mkuu uliopita.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na serikali ya United States, Kamishna Msaidizi Mkuu wa Polisi, Faustine...
Sakata ndani ya soka la Kenya imechukua turn kali baada ya Rais wa FKF, Hussein Mohammed, kusimamishwa kazi kufuatia allegations za financial misconduct zinazohusiana na CHAN 2025. Hii issue sasa imevuka mipaka baada ya FIFA kuingia kati kufuatilia kama due process ilifuatwa.
Kwa mujibu wa...
Vita vya Iran vyachangia kupanda kwa bei ya kondomu
Kampuni ya Carix, mojawapo ya kampuni kubwa ambazo hutengeneza mipira ya kondomu, imetangaza kuwa itaongeza bei ya bidhaa hizo kwa 30% au zaidi iwapo vita vitaendelea nchini Iran.
Kampuni hiyo iliopo nchini Malaysia, imesema vita...
Habari za muda huu Wana Bodi na Great Thinkers wote,
Natumai mko salama na mnaendelea na majukumu ya ujenzi wa Taifa. Leo nimekuja na jambo ambalo linaendelea "chini ya kapeti" lakini lina athari kubwa sana kwa uchumi wetu, usalama wetu, na sera zetu za kuwezesha wazawa.
Kuna mabadiliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.