jkci

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania JKCI yajibu hoja kuhusu utendaji wa uongozi wa taasisi hiyo, yasema Sheria, Kanuni na Taratibu vinazingatiwa

    Kusoma hoja ya Mdau, bofya hapa ~ Mamlaka zichunguze utendaji wa uongozi wa JKCI, kuna matumizi mabaya ya madaraka TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA ILIYOTOLEWA NA MTANDAO WA JAMII FORUMS INAYOHUSU UONGOZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mamlaka zichunguze utendaji wa uongozi wa JKCI, kuna matumizi mabaya ya madaraka

    Mimi ni mtumishi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete [JKCI], taasisi hii inatupa wakati mgumu watumishi wake kupitia bosi wetu, Lakini kabla ya kufika kwa bosi kubwa, kuna watu hapo chini yake awanatumia nafasi vibaya kwa kuingiza wao wao kwenye mifumo ya ajira kinyume cha utaratibu, huku...
  3. V

    JamiiForums Tanzania KERO JKCI na ADA ya kumwona DAKTARI

    Hivi inakuaje pale JKCI unatozwa viwango tofauti vya kumwona daktar kutokana na kifurushi cha bima, mfano ukiwa na kifurushi cha bima cha juu wanakutoza 100,000/= ukiwa na bima kifurushi cha chini wanakutoza 60,000/= je hii sio kuumiza wananchi au ikoje!? Makato ni ya juu halafu unaingia kwa...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu Wafanyakazi Wa JKCI – DAR GROUP ambao walisitishiwa Mkataba wa Kazi kutolipwa Mafao ya Kiinua Mgongo

    TAARIFA KWA UMMA Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) inapenda kutoa ufafanuzi kwa Umma kuhusu taarifa iliyochapishwa katika ukurasa wa Jamii Forums tarehe 12/5/2026 yenye kichwa cha habari: “Tumefanya Kazi JKCI–Dar Group Zaidi ya Miaka 30, Tunaondolewa Bila Kulipwa Kiinua Mgongo, Inauma Sana”...
  5. T

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kardinali Pengo afariki Dunia akiwa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)

    Pumzika kwa amani mwadhama Kardinali Pengo. Tuonane mbinguni asubuhi iliyo njema. ===== YAH: TANGAZO LA KIFO Ninayo masikitiko makubwa kuwatangazieni kwamba leo tarehe 19/02/2026 saa 04:00 usiku huu mpendwa baba yetu Mwadhama Polycarp Cardinal Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es...
  6. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Kuna Watu wengi wanaishi na Magonjwa ya Moyo muda mrefu pasipo wao wenyewe kufahamu

    Septemba 29 kila mwaka huwa ni Siku iliyotengwa maalum kujadili kuhusu Magonjwa ya Moyo ambayo takwimu zinaonesha kuwa kumekuwa na ongezeko la vifo vinavyotokana na magonjwa ya Moyo, pia namba ya waathirika inaongezeka. Picha: world-heart-federation.org Magonjwa hayo pia yamekuwa yakichangia...
  7. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpoki apongeza ushirikiano wa utoaji huduma kati ya MOI, JKCI na AICC.

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), Mhe. Balozi Dkt. Mpoki Ulisubisya, amepongeza ushirikiano mzuri wa utoaji huduma za afya kati ya MOI, Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na Hospitali ya AICC, katika kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa...
  8. I

    JamiiForums Tanzania JKCI na Madaktari wa Moyo wa Misri kushirikiana kulinda afya za wanamichezo

    Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imetia saini makubaliano ya ushirikiano na Chama cha Madaktari wa Moyo nchini Misri kwa lengo la kuanzisha huduma za upimaji na matibabu ya magonjwa ya shambulio la moyo kwa wanamichezo, ili kupunguza vifo vya ghafla vinavyotokea michezoni. Akizungumza...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Exim Bank Tanzania, JKCI Zashirikiana Kuimarisha Afya ya Wafanyakazi

    Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Exim Tanzania, Stanley Kafu (kushoto), Afisa Masoko Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Irene Mbonde, na Mkurugenzi wa hospitali ya JKCI-Dar Group, Dk. Tulizo Shem wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa zoezi la kufanya vipimo vya moyo na...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yaanza mchakato wa upandikizaji wa moyo nchini

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeanza rasmi maandalizi ya kuanzisha huduma ya upandikizaji wa moyo, hatua hiyo imeelezwa kuwa inatarajiwa kuendelea kuiweka Tanzania kwenye ramani ya huduma za juu za moyo katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati. Akizungumza Julai 30, 2025 kuelekea...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kazi nzuri ya Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete

    Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, moja kati ya uwekezaji wa maana na wakimkakati. Pamoja na uwingi wa wagonjwa, hawa jamaa wanafanya kazi kwa weredi, unyenyekevu na kujituma sana. DR. Tatizo Waane, ni moja kati binadamu wa mfano, licha ya changamoto chache, lakini hii haiondoi ukweli kwamba...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi JKCI: Zaidi ya Watu elfu 18 wamehudumiwa kupitia 'tiba mkoba' inayotoa huduma za magonjwa ya moyo

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge amesema kuwa Watu zaidi ya elfu 18 kitika kipindi cha mwaka mmoja wamenufaika na huduma mbalimbali za kibingwa kwa magonjwa ya moyo ikiwemo kufanyiwa vipimo bure kupitia utaratibu wa tiba Mkoba kwa jina la Mhe. Dkt. Samia...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania JKCI yatoa ufafanuzi madai ya baadhi ya Watumishi wao kutoa huduma kwa kujuana

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mwanachama wa JamiiForums aliyetoa malalamiko yake kuhusu baadhi ya huduma za Watumishi wa hapo. Kusoma zaidi alichoeleza Mdau bofya hapa ~ Tumepata huduma mbovu JKCI upande wa VIP, baadhi ya Watumishi wanahudumia Watu kwa...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Tumepata huduma mbovu JKCI upande wa VIP, baadhi ya Watumishi wanahudumia Watu kwa kujuana

    Moja kati ya jambo ambalo limekuwa likipigiwa kelele ni kuhusu ubora wa huduma za Watoa huduma katika taasisi na Mamlaka mbalimbali za Serikali, inaonekana ni kama sehemu ambayo Watu wengi hawajali sana kuhusu ‘customer care’. Nilifika katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya...
  15. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Moyo ya Kikwete (JKCI) kuwatibu bure wasanii nchini. Huu ni uamuzi wa ovyo

    Huu ni uchonganishi wa wazi kabisa kati ya serikali ya CCM na wapigakura wake. Kama mmeona kuna umuhimu wa watu kupata vipimo basi fanyeni kwa wananchi wote. Ina maana mtu kama Giggy Money ana umuhimu kuliko wakulima wa korosho? Huu ujinga ndo unafanya wapinzani wapate kura za huruma. Hao...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imetangaza kutoa matibabu bure ya moyo kwa Wasanii wa Tanzania

    Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imetangaza huduma ya kuwapima moyo na kuwapa matibabu bure Wasanii wa Tanzania ili kuwasaidia kuokoa maisha yao. Akiongea leo December 13,2024 Mkurugenzi wa JKCI, Dkt. Peter Kisenge amesema wametoa huduma hiyo kwa...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Dr. Peter Richard Kisenge Mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya moyo ya jakaya kikwete JKCI

    Wadau hamjamboni nyote? Nimeweka CV ya mhusika Mchana mwema • M.D -Dr. Peter Richard Kisenge -SUPER SPECIALIST • Registration No: 350 QUALIFICATION(S): • MD(2002) - Tumaini University Kcm College • M.MED - Internal Medicine)(2007) - •Tumaini University Kcm College • MSc - Cardiology (2011)...
  18. I

    JamiiForums Tanzania JKCI kushirikiana na Hospitali ya Medanta kuwanoa wataalamu wa magonjwa ya moyo na kutoa huduma za kibingwa

    Katika jitihada za kukuza mashirikiano yenye tija, Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete(JKCI) imeanza kushirikiana na Hospitali ya Medanta iliyopo nchini India katika kubadilishana ujuzi wa fani mbalimbali za kutoa huduma za matibabu ya moyo. Ushirikiano huo meanza rasmi kwa mara ya kwanza...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya, Mhagama atembelea JKCI, asisitiza Ubora wa Huduma uendane na lugha za staha kwa wagonjwa

    Serikali kupitia Wizara ya Afya itaendelea kuhakikisha tija na ustawi wa wauguzi, madaktari na watumishi wote wa Sekta ya Afya kupata stahiki zao pamoja na kuwasimamia na kufuatilia wajibu wao katika kutekeleza majukumu yao ikiwemo kuwa na lugha zenye staha kwa wagonjwa (customer care). WAZIRI...
  20. Pyaar

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete

    Huduma za afya kwa hospitali za Umma mara nyingi zimekuwa zikilalamikiwa na jamii kuanzia matibabu mpaka lugha kwa wagonjwa, lakini utofauti mkubwa umeonekana Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete. Pongezi nyingi kwa Mkurugenzi na Madaktari wote bila kusahau dawati la huduma kwa wateja (Customer...
Back
Top Bottom