Musoma is a city in the east shore of lake Victoria of Tanzania. It is the capital of Mara Region, one of the administrative Regions of Tanzania. It also serves as the administrative centre of Musoma Rural District and Musoma Urban District.
Jeshi la Polisi mkoa wa Mara linamshikilia Dickson Juma umri miaka 32,mzanaki na mkazi wa Kiabakari wilayani Butiama kwa tuhuma za kuingia bila kibali na kufanya fujo katika kituo cha afya cha Nyasho kilichopo Manispaa ya Musoma mkoani Mara.
Tukio hilo limetokea Septemba 09,2026 majira ya saa...
Sheikh Nurdin Kishki, kutoka Taasisi ya Al-Hikma, amefungua kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania dhidi ya Juma Ibrahim, maarufu kama Ostadh Juma na Musoma, akidai kuchafuliwa jina lake.
Akizungumza na Waandishi wa habari kuhusu kesi hiyo, Wakili Mashaka Ngole, anayemwakilisha Sheikh Kishki...
Ni takribani mwezi na nusu sasa kumetokea changamoto ya upatikanaji wa maji katika Manispaa ya Musoma.
Mwanzoni tuliambiwa tatizo lilisababishwa na upungufu wa umeme kwenye pampu za kusukuma maji. Hata hivyo, TANESCO Mkoa ilikanusha taarifa hiyo, ikisema hakuna upungufu wowote wa umeme katika...
Anonymous
Thread
maji
manispaa
mmoja
musoma
mwezi
mwezi mmoja
shida
shida ya maji
zaidi ya
Kuna changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji katika Manispaa ya Musoma Mjini. Maji yamekuwa yakipatikana zaidi nyakati za usiku na kwa kusuasua. Wakati mwingine tunakaa hadi wiki nzima bila kupata maji.
Tunaomba mamlaka husika ichukue hatua kuhakikisha wananchi wanapata huduma ya maji kwa...
Sisi wafanyabiashara wadogo wadogo wa Manispaa ya Musoma tunatoa wito kwa Serikali, TAMISEMI na viongozi wa Manispaa kuingilia kati suala la ongezeko la ushuru wa kila siku kutoka Shilingi 200 hadi Shilingi 500 kwa wafanyabiashara wadogo kama wauza mboga za majani, karanga, mandazi na biashara...
Mimi ni mmoja wa wafanyabiashara nilipangishwa na manispaa ya musoma tangu mwaka 2018. Tumekua tukifanya shughuli zetu na kolipa kodi stahiki bila shida hadi ilipofika mwaka 2023 changamoto za kupandisha kodi kila mwaka zikaanza.
Mwaka 2022/2023 nililipa kodi tsh 528,000 kwa mwaka kulingana na...
Anonymous
Thread
biashara
kodi
manispaa
musoma
vibanda
vibanda vya biashara
Mamlaka ya Huduma ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Wilaya ya Musoma, Mkoa wa Mara, imeshindwa kutoa huduma ya maji kwa wananchi wake kwa kipindi cha zaidi ya wiki mbili sasa.
Wananchi wa kata za Buhare, Rwamlimi na Nyakato wameathirika kwa kiasi kikubwa kutokana na ukosefu wa huduma hiyo...
Kukamilika kwa maboresho ya Uwanja wa Ndege wa Musoma kunatajwa kuwa hatua muhimu itakayochochea ukuaji wa sekta ya utalii, biashara na uchumi kwa ujumla katika ukanda wa Ziwa Victoria na mikoa jirani.
Maboresho hayo yanatarajiwa kurahisisha usafiri wa anga kwa watalii wanaotembelea vivutio...
Bukoba mjini na Musoma mjini yote ni miji midogo, je mji gani una unafuu
Usafiri - Anga, Maji, Ardhi
Mitaa ya makazi ya watu inayovutia
Majengo ya mjini
Shule
Vyuo
Barabara
Miradi
n.k
Wana uhakika kuwa Musoma kuna vijana wakakamavu wengi wa CHADEMA na Ilikuwa wapate wageni kutoka nchi jirani kwa urahisi.
Wanasheria wa CHADEMA walipaswa kwenda mahakamani kupata agizo la kisheria kuonyesha kuwa zuio la mahakama limekwisha au la badala ya viongozi wakuu wa chadema kusema zuio...
Taarifa zaidi zinaeleza kwamba siku ya wanawake ya Dunia siyo shughuli ya Kisiasa Wala si sherehe ya COM ama si mali ya TANZANIA ama viongozi wake
Hii ni siku ya Dunia isiyochangamana na masuala ya itikadi za vyama.
Kwahiyo Katazo la Polisi wa com limedhibitiwa n.a. kupuuzwa, Chadema...
Ombi kwa Waziri wa Madini kuna kampuni ya uchimbaji dhahabu ipo Musoma Vijijini, Kijiji cha Kwitope inaitwa GDM, haitendi haki kwa sisi wafanyakazi, mshahara ni shida, mikataba ya ujanja, mtu hapewi stahiki zake kwa wakati akiondolewa kazini.
Pia kuna kauli mbovu kwa wafanyakazi, watumishi wa...
Anonymous
Thread
kampuni
madini
musomamusoma vijijini
timu
utendaji
vijijini
wafanyakazi
waziri
waziri wa madini
Sisi Wafanyakazi 160 tuliopo katika Mgodi mdogo ambao unapatikana Mkoani Mara, Wilaya ya Musoma, Kata ya Kigera, Kijiji cha Kwitope chini ya Kampuni ya IDERA au GDM tuna changamoto ambazo tunatamani jamii izisikie na ujumbe ufika kwa mamlaka husika ili utatuzi upatikane.
Tunacheleweshewa sana...
Wakuu Kwema?
Naomba aliyewahi kusafiri kwa gari binafsi Dar to Musoma au Musoma to Dar alitumia masaa mangapi? Nataka kupata experience. Maana nilisafiri kwa Bus nilitumia masaa 22 sio poa.
Traditionally chakula huwa tunakula pamoja it means kwamba msosi unawekwa kati mnakula wote sasa watu wanakula vibaya sana yaani ukichukua nyama na yeye anachukua anatafuna vibaya then anarudia nyingine kama mashindano fulani ivi, aisee mjilekebishe ulaji wenu sio mzuri kama mnakimbizwa kupanua...
Musoma ipo karibu sana na Serengeti, lakini ujenzi wa airport ni wa kusua sua na barabara za Musoma kwenda wilaya ya serengeti ni duni.
Watalii hutua Arusha uwanja wa KIA, kisha husafiri masaa manne kufika Serengeti.
Na hata ofisi za mbuga ya Serengeti zipo Arusha wakati mbuga na wilaya ya...
Nimepata taarifa ya kutokea kwa vurugu na rabsha za hapa na pale huko ukweni, ningependa kupata abc hapa JF maana nimejaribu kuperuzi huku na kule sijapata dondoo zozote kuhusu hili wakuu,,
Nawasilisha,,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.