huduma za afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel amjibu Lema kibabe kuhusu suala la ubora wa huduma za afya nchini

    Hayo yametokea Februari 11, 2025 wakati wa ibada ya mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Manyara, Derick Magoma, ambapo Naibu Waziri wa Afya, Dr. Godwin Mollel alipojibu hoja za Godbles Lema wa CHADEMA kuhusu suala la afya, akigusia pia katika Magoma alipokuwa akiugua. Chanzo...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Asiwepo Mtanzania ambaye atakosa huduma za Afya Hospitali kwa kukosa fedha

    Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya, amegiza Vituo vya Afya na Hospitali kuwa kusiwepo na Mtanzania yeyote atakayekosa huduma za afya kwa sababu ya kukosa fedha. Tamko hilo amelitoa leo Februari 7 wakati akijibu swali la nyongeza Bungeni kuhusu hali ya huduma za afya nchini.
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Jenista Mhagama: Ujenzi wa bohari ya dawa Dododma umefikia asilimia 95%

    Waziri wa Afya, Jenista Mhagama, amesema ujenzi wa ghala la kuhifadhi bidhaa za afya la Bohari ya Dawa Kanda ya Dodoma lenye ukubwa wa mita za mraba 7,200, litakalogharimu zaidi ya Tsh. bilioni 23.7 umefikia 95%. Mhagama amesema hayo leo February 6, 2025 wakati akikagua ujenzi wa ghala hilo...
  4. Enthusiastic

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa acheni kuwachonganisha watoa huduma za afya na wananchi

    Kwa sababu watanzania wengi ni wajinga, wamezoea kudanganywa, wanadanganyika, wanapenda kudanganywa na hawapendi kuambiwa ukweli. Kumekuwa na changamoto ya sera ya afya inayotaka huduma za uzazi na za watoto chini ya miaka mitano kushindwa kutekelezwa ipasavyo. Mimi nataka kuchangia kama...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche amchana RC Chalamila, kisa kauli ya mjamzito anayegoma kununua gloves, adai wamejisahu kwasababu ya shibe ya kijinga

    Wakuu Makamu Mwenyekiti wa Chadema (bara), John Heche amlipua RC Chalamila kwa kauli yake iliyozua gumzo kuhusu Mama Mjamzito aliyempigia simu na kumweleza changamoto ya ukosefu wa Gloves hospitali. Soma, Pia: RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mwenyekii wa CCM Njombe: Ongeza watoto kwani huduma za afya zinaboreshwa

    Hivi hizi kauli zao za kuongeza watoto zimekuwa ajenda? Lakini upande wa pili bado hali ni tete sanakwenye mazingira ya huduma za afya. ============ Mwenyekii wa chama cha Mapinduzi Mkoa wa Njombe Deo Sanga {Jah People} amewasihi wananchi wa wilaya ya Wanging'ombe kuendelea kuongeza watoto kwani...
  7. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kama mama Samia ameonyesha kwa vitendo kwenye nishati ya kupikia kwanini hawaonei huruma wajawazito wanaotukanwa na wasaidizi wake?

    Ni mambo ya kushangaza kidogo, je tumerogwa? ama tumejiroga? Ni hali ya hatari kwa kweli inakuwaje serikali imetumia pesa nyingi kwenye michezo lakini imeshindwa kununua vifaa vya kujifungilia kina mama? Mkuu wa mkoa wa Dar anaongoza mapambano ya kuwatukana wajawazito kisa tu yeye na familia...
  8. milele amina

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Hali ya Huduma za Afya: Aga Khan Hospital kuhudumia wageni wa mkutano wa Nishati Afria badala ya Muhimbili Hospital

    Aga Khan Hospital, iliyopo Dar es Salaam, imekuwa katika habari kutokana na kuvunjwa kwa mkataba wake na Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) wa kuwahudumia Watanzania maskini. Hali hii inatia wasiwasi, hasa pale ambapo hospitali hiyo imekuwa ikihudumia wageni katika mkutano wa Nishati Afrika...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila afafanua video inayo trend aliyosema "Kama hutaki kununua Gloves kajifungulie nyumbani"

    RC Chalamila afafanua video inayo trend ikisema "Kama hutaki kununua Gloves kajifungulie nyumbani" Soma: RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani
  10. milele amina

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani

    Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amewataka wananchi wa mkoa huo kuacha kuingiza siasa katika mambo yanayowahusu binafsi hasa katika Afya kwani hazitawasaidia badala yake zitawachelewesha na pia kuwa na madhara zaidi. Akizungumza hivi karibuni na wanachi wa Temeke jijini Dar Es...
  11. E

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma za Afya zahanati ya Tandale ni mbovu hasa upande wa bima

    Huduma za Afya katika zahanati ya Tandale ni mbovu hasa kwa upande wa bima
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Jenista Mhagama Aiomba Hospitali ya Queens London Kutoa Ushirikiano Huduma za Afya Tanzania

    Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama ameiomba Hospitali ya Queens iliyopo jiji la London nchini Uingereza kutoa ushirikiano kwa Tanzania ili msukumo wa kuimarisha huduma za Afya uzidi kuimarika. Waziri Mhagama amewasilisha ombi hilo Desemba 11, 2024 wakati akihutubia mkutano wa uongozi wa...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Utoaji wa Huduma za Afya Vijijini Mwetu Unaendelea Kuboreshwa - Wanavijiji Wapewa Zawadi za Krismasi

    UTOAJI WA HUDUMA ZA AFYA VIJIJINI MWETU UNAENDELEA KUBORESHWA - WANAVIJIJI WAPEWA ZAWADI ZA KRISMASI Utoaji wa Huduma za Afya ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini unaendelea kuboreshwa. Ratiba za uzinduzi wa utoaji wa Huduma za Afya vijijini mwetu: (i) Tarehe 6.12.2024 Zahanati ya Kijiji cha...
  14. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha viongozi wengi kuendelea kuugulia kisiri na kufia India kinaashiria huduma za afya Tanzania bado ni duni na haziaminiki!

    Ndani ya kipindi cha wiki tatu tu Tanzania tumeshuhudia vifo vya viongozi wawili wa kitaifa wakifariki wakati wakitibiwa kisiri huko India kinaashiria bado huduma zetu za kiafya hapa Tanzania ni duni, mbovu au haziaminiki na watanzania walio wengi wakiwemo viongozi wakubwa wa kitaifa. Taifa...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Zahanati Inayojengwa Nyasaungu Kuanza Kutoa Huduma za Afya Disemba 2024 - Musoma Vijijini

    ZAHANATI INAYOJENGWA KIJIJINI NYASAUNGU KUANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA MWEZI DISEMBA 2024 Kijiji cha Nyasaungu chenye vitongoji vitano (5) kinakamilisha ujenzi wa zahanati yake ambayo inatarajiwa kuanza kutoa Huduma za Afya ifikapo Disemba 2024 Kijiji hiki ni moja ya vijiji vitatu vya Kata ya...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Bora huduma za afya ziwe bure kuliko elimu

    Serikali ni bora itowe huduma za afya bure kuliko elimu. Fedha za elimu bure zihamishwe kwenye afya ili madawa na huduma kwa ujumla vipatikane kwa urahisi kwa kila raia. Ukiwa na afya mgogoro hata hiyo elimu huwezi kuipata. Ada zirudishwe shule zote za serikali ila iwe kiasi kidogo sana na...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Matibabu ya jadi yatoa mchango mkubwa katika mifumo ya huduma za afya

    Ni hivi karibuni tu dunia imetoka kuadhimisha siku ya Tiba Asilia, ambapo mchango wa matibabu haya ya jadi kwa sasa umekuwa ukisaidia sana katika sekta ya afya. Kwa karne nyingi, maarifa ya kimapokeo kuhusiana na matibabu ya jadi yamekuwa nyenzo muhimu kwa afya katika jamii mbalimbali, na...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel lawaonya wafanyakazi huduma za afya Lebanon kusini waache kutumia ambulance kwani hutumiwa na magaidi ya Hezbollah

    Wadau hamjamboni nyote? Tahadhari kwa wanaotumia magari ya kubebea wagonjwa almaarufu ambulance kumbe hutumiwa na magaidi ya Hezbollah! #Times of Israel In a separate post, Adraee reiterates an earlier call for health workers and medical teams in southern Lebanon to avoid using ambulances...
  19. Surya

    JamiiForums Tanzania Serikali iboreshe huduma za afya kwa Mabinti, hasa kwa Magonjwa ya sehemu nyeti

    Serikali wakiweza kulitizama hili basi watoe msaada kwa dada zetu hili tatizo limekuwa kubwa sana, Ukiweza fanya uchunguzi. Nahisihi serikali kwanini... kwasabau elimu hii ya jinsi ya mwanamke kutunza afya ya sehemu zake za siri hasa Uke pamoja na Mfumo wa uzazi haijapewa kipaumbele hata na...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Jenista Mhagama: Serikali Kuendelea Kuboresha Huduma za Afya Ruvuma

    Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Peramiho Mhe. Jenista Mhagama ameuhakikishia umma wa wanaruvuma kuwa Serikali kupitia Wizara ya Afya itaendele na uboreshaji wa huduma za Afya ikiwemo upatikanji wa vifaa, vifaa tiba pamoja na dawa. Waziri Mhagama amesema hayo Septemba 20, 2024 baada ya...
Back
Top Bottom