Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema amemsikia Kenani Kihongosi akieleza nia ya kufanya mdahalo naye, huku akisema angependa kwanza kujua walipo Polepole na Nchimbi.
Heche amesema: “Nimemsikia yule mtoto Kenani Kihongosi eti anataka mdahalo na mimi. Nikimuuliza Polepole na Nchimbi...
Nadhani kama ni muda wamepata muda wakutosha, wasipimrudisha basi siku ya uzinduzi wa AFCON tuitimie kwa maandamano ya amani ya kumdai.
Pia tutafute ili kubaini wahusika wote ili nao washughulikiwe kwa sheria za jadi.
Tumesha chapisha vipeperushi vyakutosha, lengo ni kuwafikia watanganyika wote waishio hapa. Tutashiriki maandamano ya amani ya kumdai Humphrey Polepole siku ya uzinduzi wa AFCON.
Kweli dunia ni uwanja wa fujo,
Kila mmoja anapiga zake zikipasuka anatoweka.
Wapo waliovuma mitandanoni na kwenye siasa.
Wako wapi akina Humphrey Polepole Mdude,, Nchimbi na wengine waliovuma kwenye uringo wa siasa?
Wako wapi akina Rachael Dangwa na mitusi na vimbwanga vyake?
Wako wapi akina...
Kama lengo lilikuwa kututisha basi lengo hilo limefeli, kwa taarifa yenu ndiyo kwanzaa kumekucha.
Kama lengo lilikuwa kuficha uovu wenu, hilo pia limefeli mchana kweupe na mtawajibika kwa kila tendo mlilotenda.
Nawahakikishia kuwa HAKUNA atakayesalimika kuanzia aliyewatuma mpaka watekelezaji...
Ndugu Watanzania!
Usiku huu nimepokea ujumbe kutoka kwa mtu ambaye ni mmoja wa ndugu wa Mhe. Balozi Humphrey Polepole. Nimebadilisha initials au utambulisho wake kwa sababu za kiusalama. Suala la Polepole lina simanzi isiyoisha, hivyo hatuwezi kupuuzia minong'ono yoyote kuhusu wapi alipo.
Kwa...
Ni suala la muda tu, muda utazungumza. Abdul na Wanu watapitia kipindi kigumu zaidi ya alichopitia Humphrey Polepole, wewe kama mzazi utashuhudia na hutakuwa na msaada wowote.
Asante.
Hellow wana JF.
Wakuu(Viongozi kwa Raia) naomba tujifunze kuishi kwa nidhamu, mipaka, tahadhari n.k
Mambo yanaweza kubadilika time yoyote ile na ukazimika kabisa kwenye dunia hii.
https://youtu.be/j3sXSrK1IgY?si=ciaUzrI93iD8PAfG
Kwa mujibu wa Evarist Chahali, mfanyakazi wa zamani wa TISS aliyeko uhamishoni Uingereza, kwa taarifa zilizothibitishwa ni kuwa Vice President Dr Emmanuel Nchimbi aliye wekwa kwenye kizuizi cha ndani (House Arrest) Yuko mahututi..
Inasemekana...
Utawala wa Samia umefanya makosa makubwa ya kimkakati (strategic mistakes) yaliyoweka fursa ya kushitakiwa na kunyongwa.
Kosa la kwanza ni "Coup D'etat" mtu yoyote anayejua siasa na sheria anafahamu October 29 Samia na Washirika wake walifanya mapinduzi dhidi ya maamuzi ya kiraia (Katiba...
Kwa yanayoukuta utawala wa awamu ya pili wa Rais Samia ni balaa .
1. Rais Samia alijigamba kuifungua nchi lakini amekuja kuifunga kuliko Rais yoyote tangu uhuru.
2. Serikali ya Samia imetengwa kutoka ndani ya nchi hadi nje ya nchi, Rais Samia amepigwa marufuku ziara za Ulaya na America
3...
Haya maneno alipoyatamka Humphrey Polepole baadhi ya watu walibeza wakadhania anawasingizia.
Ukweli umeeanza kuthibitika na huko mbeleni yataibuka mengi.
Watu watafanyiwa mambo maovu sana
Historia ya watoto wa Mobutu Sese Seko, Muammar Gaddafi na Saddam Hussein ina somo moja kubwa: watoto wanaporithi mamlaka ya baba zao bila kuwajibika kwa sheria, huanza kujiona warithi wa taifa badala ya raia wa taifa. Lakini mamlaka ya baba yalipoanguka, kinga yao pia ilianguka.
1. Watoto wa...
NARUDIA; VIJANA MAISHA NI POLEPOLE, HUO NDIO MWENDO. USIYASUBIRI. YAFUATE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Haba na haba hujaza kibaba. Bandua bandua humanize gogo.
Hizo ni hekima za wahenga, manabii wa kale. Polepole ndio mwendo.
Kijana nisikie, ndoto kubwa uliyonayo ni kama gogo la mbuyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.