Mbunge Ngassa - Tunaendelea Kuboresha Huduma za Afya, Kulinda Ustawi wa Taifa

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,919
947

MBUNGE NGASSA: " TUNAENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA, KULINDA USTAWI WA TAIFA"

"... Uimara wa Taifa unatokana na uimara wa afya za Wananchi. Serikali yetu imeendelea kuwekeza kwa kiwango kikubwa kwenye huduma za afya kwa ajili ya kuhakikisha Taifa Letu linakuwa imara. Tunafarijika kuona maboresho makubwa kwenye Zahanati zetu za Vijiji, Vituo vya afya vya Kata na Hospital yetu ya Wilaya ambapo Mwenge wa Uhuru utaweka Jiwe la Msingi kuzindua Wodi ya Wagonjwa Mahututi (ICU).

"... Kwenye ziara zangu Vijijini Ninapofika Ninakagua upatikanaji wa vifaa tiba, madawa, mifumo ya maji safi na maji taka. Tunaendelea kujivunia uwekezaji mkubwa kwenye sekta ya afya uliofanywa na Serikali yetu ya Chama cha Mapinduzi (CCM)..."

NICHOLAUS GEORGE NGASSA
MBUNGE WA JIMBO LA IGUNGA
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2023-09-19 at 09.36.55(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-09-19 at 09.36.55(1).jpeg
    85.5 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-09-19 at 09.36.55.jpeg
    WhatsApp Image 2023-09-19 at 09.36.55.jpeg
    82.1 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-09-19 at 09.36.54.jpeg
    WhatsApp Image 2023-09-19 at 09.36.54.jpeg
    49.6 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2023-09-19 at 09.36.53(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-09-19 at 09.36.53(1).jpeg
    97 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-09-19 at 09.36.53.jpeg
    WhatsApp Image 2023-09-19 at 09.36.53.jpeg
    73.3 KB · Views: 1
Back
Top Bottom