Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Gombo Samandito Gombo amesema akichaguliwa kuwa Rais, mara baada tu ya kuapishwa siku hiyo hiyo atatangaza huduma za afya nchini kuanza kutolewa bure kwa watu wote bila malipo wala kutumia bima.
"Nikimaliza...
Katika hili nitsimama na Rais Samia na kumpongeza sana.
Fedha za covid zililengwa kutumika katika ununuzi na utekekezaji wa mambo yasiyoonekana kwa wananchi.
Nchi nyingi zilitumia fedha hii kulipa perdiems ,utafiti usioeleweka,harakati za chanjo au ununuzi wa medical supplies ambapo leo hii...
Mgombea wa Ubunge kupitia Chama cha ACT Wazalendo katika Jimbo la Kinondoni, Rahma Mwita ameahidi kuwekeza nguvu zake katika kuboresha huduma za kijamii na miundombinu endapo wananchi watampa ridhaa ya kuwaongoza.
Hayo ameyabainisha Agosti 24, 2025 mara baada ya kuchukua fomu katika Ofisi za...
Wakati jua lilipochomoza kwenye eneo la Bonde la Ufa katika wilaya ya mbali ya Magharibi ya Kikuube, Jennifer Nyangoma mwenye umri wa miaka 45 alienda kwenye kambi ya matibabu ya bure iliyokuwa ikisubiriwa na watu wengi.
Kwa wiki kadhaa, wanakijiji katika eneo hili linalopakana na mashariki mwa...
Rais Samia amejenga Hospitali ya Rufaa Mwanza kwa TZS25bn,akaboresha huduma za afya Bugando kwa TZS10bn na akafanya ukarabati wa hospitali kwa TZS5bn
Rais Samia katika jitihada zake za kuimarisha huduma za afya nchini ya Serikali yake ya Awamu ya Sita ametekeleza miradi yenye thamani ya...
Muhsin Ussi (MNEC) — Kiongozi wa Kitaifa wa Vijana kutoka Zanzibar (CCM).
"Wakati Rais Dkt Hussein Mwinyi anaingia madarakani Zanzibar tulikuwa na hospital kubwa Moja tu inaitwa Mnazi Mmoja na kwa Pemba tulikuwa na hospital inaitwa Abdallah Mzee.
"Unaweza kwenda hospital Saa 11 Alfajiri...
Serikali imeazimia kutumia Shilingi Bilioni 161. 3 za Mfuko wa pamoja wa Afya kwa ajili ya kuboresha na kuimarisha mifumo ya afya nchini ili kutoa huduma bora za afya ya msingi kwa wananchi sambamba na kupunguza vifo vya watoto vitokanavyo na uzazi na kuimarisha huduma za bima ya afya kwa wote...
==
Kuelekea 2030 upatikanaji wa huduma za afya kuwa zero kilometa kutoka kilometa 5 ya sasa ambazo zimefikiwa chini ya Uongozi wa Rais Samia.
Kufikia mwaka 2050 Dira ya maendeleo ya Taifa inatarajia kuwa na jamii yenye afya ambapo kila mtu anapata huduma za afya kwa usawa na kwa gharama nafuu...
Tanzania imebarikiwa utajiri wa kila kitu, lakini tunashangaa huduma ya afya ni mbovu, tumekuja hapa Tunduru kinamama wanalalamika wakienda kujifungua wanauziwa watoto, vifaa vya kujifungulia hakuna, wazee wanatozwa hela, lakini tunashangaa wenzetu wa Chama Cha Mapinduzi wanajisifia eti nchi...
Mchambuzi Skawa Jr. amehoji baada ya Mbunge wa Iramba Mashariki, Francis Mtinga, akichangia Mjadala wa bajeti ya Wizara ya Afya jana Juni 2, 2025 kuomba Watanzania kukatwa kiasi cha Tsh 100 kwenye kila vocha ya 1000 atakayonunua ili kuchangia huduma za afya.
Mwenyekiti wa UWT Taifa, Mary Pius Chatanda, amesema wanawake nchini wanamshukuru kwa dhati Rais Samia kwa juhudi zake kubwa katika kuboresha huduma za afya kupitia ujenzi wa Zahanati, Vituo vya afya, Hospitali za Wilaya, Mikoa na Kanda.
Amesema kuwa kabla ya maboresho hayo, wanawake –...
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, ameagiza Zahanati ya Kijiji cha Muungano, Kata ya Laghanga, kuanza kutoa huduma kwa wananchi ifikapo Aprili 30, 2025.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
Umati wa wananchi wa Kata ya Kivule wa Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam, wamejitokeza kwa wingi kupata matibabu ya macho na kupimwa magonjwa ya wanawake bure, kisha kutoa ombi kwa taasisi zenye uwezo kuwa na utamaduni wa kutoa huduma za afya kwa wananchi wasio kuwa na uwezo.
Kupata taarifa...
MAKUSANYO VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA YAMEONGEZEKA
Makusanyo ya fedha kutoka kwenye vituo vya kutolea huduma za afya yameendelea kuongezeka katika kipindi cha Serikali cha awamu ya sita ambapo makusanyo yameongezeka kutoka shilingi bilioni 54.2 mwaka 2021/2022 hadi kufikia shilingi...
Tanzania na Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo (JICA), zimetiliana saini mkataba wa msaada wa Yen za Japan bilioni 1.527 sawa na shilingi bilioni 27.3 kwa ajili ya kuboresha sekta ya afya nchini.
Mkataba huo umesainiwa katika Ofisi za Hazina Ndogo jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Wizara...
Huduma za afya bure ni ndoto ya kila taifa linalotaka kuboresha ustawi wa wananchi wake. Tanzania inaweza kufanikisha hili ikiwa kila Mtanzania atachangia kiasi kidogo cha fedha kila mwezi kupitia bima ya afya ya umma. Mfano, ikiwa kila raia atachangia TZS 2,000 kwa mwezi, makadirio yanaonyesha...
USHAURI KWA SERIKALI: WAJIBU WA KIKATIBA KATIKA KUTOA HUDUMA ZA AFYA NA KUSAIDIA NHIF KWA RUZUKU
1. UTANGULIZI
Serikali ya Tanzania ina wajibu wa kikatiba kuhakikisha kwamba kila raia anapata huduma bora za afya. Kifungu cha 30(1) cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kinaitaka serikali...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imedhamiria kumaliza matatizo ya kiafya wanayokabiliana nayo Wananchi wanaoishi katika Visiwa Vidogovidogo kwa kufikishwa katika matibabu kwa wakati ili kupunguza vifo vinavyoweza kuepukika ikiwemo vya...
Wakazi wa Kijiji cha Bushimani kata ya Chambo Wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameiomba Serikali kukamilisha ujenzi wa Boma la Zahanati walilolijenga kwa nguvu zao mwaka 2012 ili kuwaondolea adha ya kufuata huduma za Matibabu umbali wa kilomita 10.
Veronica Michael na Elizabeth Mabula ni...
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI, Dkt. Christina Mnzava, amepongeza Jeshi la Magereza kwa kutumia fedha za mapato ya ndani ya Jeshi hilo katika ujenzi wa Hospitali Kuu ya Jeshi la Magereza Ukonga pamoja na kuboresha utoaji wa huduma za afya katika zahanati za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.