boresheni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chuchunge

    JamiiForums Tanzania Shabiby Bus boresheni huduma zenu

    Shabiby Bus boresheni huduma zenu haswa sehemu mnazopeleka abiria kula na kujisaidia. Maafisa afya nao mfanye kazi zenu vizuri,abiria watakuja kupata madhara kiafya.Hembu kuweni na ofisi nzuri Arusha kama Machame Bus, Sehemu mnazopeleka watu kula mbaya na chafu mtu unakosa alternative!Hii kero...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yanga msimu ujao club bingwa boresheni point zenu walau zifike 9 sasa tumechoka

    Yanga kwa hii misimu yote iliyocheza club bingwa,Kila msimu kwenye makundi imekua ikimaliza makundi na jumla ya point 8 Kwa match zote 6 inazocheza.Hali hiyo imeifanya yanga kushindwa kufuzu hatua ya robo fainali mara mbili mtwalia. Kwa hivyo msimu ujao uongozi wa yanga nafikili Hilo nao pia...
  3. O

    JamiiForums Tanzania KERO Shirika la Umeme Tanesco sisi wafanyakazi wa S.T.E boresheni mikataba yetu au tupeni mikataba ya kudumu

    Habari sisi ni wafanyakazi wa shirika la umeme tanesco wa mikataba ya S.T.E kwenye shirika la tanesco kuna mikataba ya aina tatu 1. Mkataba wa kudumu company namba 2. Mkataba temporary mwaka ni mmoja 3. Mkataba wa kazi maalumu maalumu. S.T.E mwezi mmoja. Sisi S.T.E Tunafanya kazi kwa kubwa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded TANESCO, sisi Wafanyakazi wa S.T.E Boresheni Mikataba yetu au tupeni Mikataba ya Kudumu

    SHIRIKA LA UMEME TANESCO SISI WAFANYAKAZI WA S.T.E BORESHENI MIKATABA YETU AU TUPENI MIKATABA YA KUDUMU. Habari sisi ni wafanyakazi wa shirika la umeme tanesco wa mikataba ya S.T.E kwenye shirika la tanesco kuna mikataba ya aina tatu:- 1. mkataba wa kudumu company namba 2. Mkataba temporary...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO NSSF boresheni eneo lenu la Kiluvya, lina vichaka, linatumika kama njia kwa Wanafunzi

    Kuna eneo ambalo ni kama pori linalomilikiwa na Mfuko wa NSSF lipo huku Kiluvya kutokea kwa Sumaye mpaka Shule ya Secondary Makurunge, Wanafunzi wanapita mpaka mida ya usiku wakitoka shule na sio salama kwao. Ukiangalia kwenye ramani kuna Barabara kubwa tu iliyo chini ya TANROADS na ni...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Benki ya NMB Mihayo Tabora boresheni huduma zenu

    Benki ya NMB Tabora wamekuwa na huduma mbovu. Huduma inayotakiwa kutolewa na watu watano ila inatolewa na mtu mmoja. Wateja wanapoteza muda mrefu bila kupata huduma. Mfano mtu nataka kujua salio anaweza kutumia lisaa limoja mpaka mawili anasubiri wahudumu, Lakini wahudumu hakuna yupo mmoja tu...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo Kikuu cha SAUT boresheni ukumbi uendane na idadi ya Wanafunzi, tunajazana sana Ukumbini

    Hiki unachokiona kwenye picha hapo siyo kwamba watu wapo kwenye shoo ya muziki, hapo ni Ukumbini katika Chuo Kikuu cha SAUT au Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agostino Tanzania (St. Augustine University of Tanzania - SAUT MAIN CAMPUS). Wanafunzi tumejaa katika Ukumbi wa chuo kiasi kwamba wengine...
  8. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania TRA BORESHENI WEBSITE YENU!! siku ya tatu haifunguki

    Nimeingia siku ya tatu iko ivi tu day1 nimeenda stationary wakanambia mfumo unasumbq
  9. covid 19

    JamiiForums Tanzania Simba na Taifa Stars: Changamoto na Nini Kifanyike Kuleta Mabadiliko ya kweli

    Kama wewe ni shabiki wa mpira wa ndani na nje, ni rahisi kugundua tatizo kubwa linaloikabili timu ya Simba, ambalo pia linaathiri timu yetu ya taifa, Taifa Stars. Shida kuu iko kwenye safu ya ushambuliaji—kimsingi, Simba haina makali mbele. Kazi kubwa inafanywa vizuri sana kutoka nyuma hadi...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Miundombinu ya mabomba kwenye Vyoo vya 'Magufuli Bus Terminal' imeharibika, maji yanatoka ovyo na hakuna anayejali

    Kituo kikuu cha Mabasi Dar es Salaam 'Magufuli Bus Terminal' ni miongoni mwa maeneo ambayo Serikali imekuwa ikikusanya mapato, kutokana na hilo inatarajiwa Miundombinu na huduma za kituo hicho ziende sambamba na kodi na tozo wanazotozwa Wananchi ambao wamekuwa wakifika eneo hilo. Kwa sasa licha...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Serikali boresheni mfumo wa kidigitali kupokea maoni ya watu kuhusu masuala mbalimbali yanayoihusu nchi yao

    Ni jambo lisilopingika kwamba watu wote wenye maono kuhusu wapi tuipeleke Tanzania hawawezi kupewa dhamana ya uongozi au ufanya maamuzi.Hii ni kwa sababu nafasi za uteuzi au uwakilishi ni chache na wananchi tupo wengi. Binafsi nimeitafuta muda mrefu fursa ya kuwa mwakilishi wa wananchi au...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Benki ya NMB boresheni huduma zenu kwa wateja

    Nilikuwa safari yangu kuelekea Chato nikasimama mji mdogo wa Katoro nje kidogo ya Geita, nikaenda sehemu kupata huduma ya vitu mbalimbali kisha nikaona nikiapate huduma ya kifedha na mambo mengine katika tawi la NMB KATORO. Ee bwana wahudumu wa tawi hili costmer care yao ya hovyo sana pia...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani: Boresheni Huduma za Afya kwa Wazee

    Mbunge Cherehani: Boresheni Huduma za Afya kwa Wazee Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani amemuomba Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Ushetu Athuman Matindo kuboresha huduma kwa wazee ambao wanavitambulisho maalum kutoka ofisi ya serikali ya kijiji ili wapate huduma kwa wakati. Amesema...
  14. IamMrLiverpool

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki boresheni Ibada zenu

    Habari Wakuu, Bwana asifiwe.... Mungu ni Mwema... Tumsifu yesu kristo, Shalom. Wiki iliyopita nilialikwa na jamaa yangu kwenda kuhudhuria ibada ya RC, Kwakuwa mimi huwa namualika kwenye Ibada zetu na anakuja hivyo ikabidi na mimi nimuunge mkono. 1) Kwakweli Ibada zenu zina utulivu wa hali ya...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Taa ya kuongozea magari Kinondoni Biafra inakaribia kuanguka, kodi kubwa tunazolipa zitumike vizuri!

    Wakuu, Hizi ni taa zipo Kinondoni Biafra, Dar. Moja imejishikilia vizuri wakati nyingine inakaribia kuanguka. Naamini kufanyiwa maboresho sasa ni bora na itakuwa gharama nafuu kuliko kusubiri ianguke iharibike zaidi. Kodi zetu ndio zinawezesha ukarabati huo kufanyika na kama ikiachwa ikaanguka...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Elimu siyo ngumu lakini mambo kama haya ndiyo yanaifanya iwe ngumu kwa watoto; Wizara ya Elimu, BAKITA boresheni

    Huu ni mfano mdogo tu unaoonesha hatujui tunachokifanya kielimu! Tazama majina ya sayari kwa kingereza halafu ulinganishe na kiswahili chake, huu ni mzigo kwa watoto lakini hatuoni kama taifa! Miaka saba asome majina kwa Kiswahili halafu tena kitu kilekile aje aanze upya kukisoma secondary...
  17. DR SANTOS

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI, boresheni mfumo wa maombi ya ajira

    Habari wana jamvi Nasikitika kusema kwamba leo nimekesha usiku kucha for nothing, mfumo wa maombi ya ajira haufunguki na hata ukifnguka mzigo una load tu bila response yoyote. Jana nilijua labda pengine ni kwaajili ya watu wengi kuutumia mchana nikasema usiku nitakesha nimalize kila kitu...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania safari Chaneli boresheni habari zenu; Mnaonesha utumbo mwingi sana kuliko ubunifu

    Ukizungumzia umhimu wa Documentary chaneli katika utalii Tanzania! Huwezi Kuacha kuizungumzia TANZANIA SAFARI CHANELI Chaneli hii imekuja kuonesha mageuzi makubwa sana katika sekta ya utalii Tanzania! Lakini pamoja na mazuri ya chaneli hii IPO shida kubwa sana katika namna wanavyowasilisha...
  19. Singasinga

    JamiiForums Tanzania Azam TV boresheni kamera zenu

    Habari wakuu, Kwa tukio la jana kukataliwa goal la Geita Gold ni wazi Azam TV wanapaswa kuboresha eneo lao la camera kwani hawakupi nafasi ya kuangalia angle zote za move ya mpira. Mfano jana kwa picha za marudio zinaonesha tu kapombe akianguka na mfungaji kupiga kichwa na goal kukataliwa. Je...
Back
Top Bottom