diplomasia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa diplomasia, na siasa za kiulimwengu tusaidieni majibu

    Ikitokea Rais mwenyeji kutofautiana kimazungumzo na Rais mgeni katika nchi yake, na Rais mwenyeji akaamua kutoa agizo kwa majeshi yake, yamkamate Rais mgeni kwa kuwa wametofautiana kimaongezi; je hiyo inawezekana kutokea? Mfano Rais wa Marekani awe nchini China, halafu Rais wa China atoe agizo...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini mkurugenzi wa TBS hajioni tatizo kwenye hili SAKATA LA VINYWAJI RWANDA?

    Hivi hivi karibuni, tumeshuhudia operation kubwa ya kiudhibiti wa ubora na usalama wa vinywaji nchini Rwanda lililozua gumzo kubwa Afrika Mashariki. Lakini kinachoshangaza na kusikitisha zaidi ni jinsi Shirika letu la Viwango Tanzania (TBS) linavyolichukulia jambo hili kana kwamba halituhusu...
  3. JamiiForums Tanzania Diplomasia ya Tanzania haijawahi kushindwa kokote ulimwenguni, kupambana nayo ni sawa na kufunga mlango huu, kisha mlango ule mwingine unafunguka

    Na hii ni kwasababu, msingi wa muundo wa diplomasia ya Tanzania ni kushinda kila jaribu, iwe ni la kisiasa, kijamii au kiuchumi, kitaifa na kimataifa kwa kutofungamana na upande wowote wa dunia. Lakini zaidi sana ukomavu na umadhubuti wa diplomasia ya Tanzania huonekana zaidi, na hufanya...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka Rio Ferdinand hadi DJ Khaled: Kwanini diplomasia yetu ya utalii inafeli na kutia Taifa aibu kimataifa?

    Wana-JF salam, Hali ya mambo mitandaoni imezidi kuchafuka baada ya picha na video zikisambaa zikimwonyesha msanii na prodyuza nguli wa Marekani, DJ Khaled, akiwa ameshika jezi ya timu yetu ya taifa (Taifa Stars) yenye nembo ya "Visit Tanzania". Kurasa nyingi za udaku, huku zikipewa nguvu na...
  5. JamiiForums Tanzania Diplomasia iliyomtoa Mbowe ndani ikishindikana, dhidi ya Lissu Kuna hatari kubwa mno, waliomchagua hawana cha KUPOTEZA kama ambavyo Abduli hasingekuwa

    Nina Imani, kama Abdul hasingekuwa mtoto wa Rais,hasingekuwa mzanzibari akawa mtanganyika hasiye ona hata upande wa kitambaa cha bendera ya Tanganyika, akakosa ajira,akaishia maisha magumu kama vijana wa kibara wenzake hakika, lazima angetaka au angeona kuwa Lissu anaonewa nae angeandamana pale...
  6. JamiiForums Tanzania Lapid: Makubaliano ya Iran na Marekani ni pigo kubwa kwa diplomasia ya Israel

    Wanaukumbi. Kiongozi wa upinzani nchini Israel na waziri mkuu wa zamani, Yair Lapid, amemkosoa vikali Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kufuatia taarifa za kutiwa saini kwa hati ya maelewano kati ya Iran na Marekani. Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mtandao wa X, Lapid alieleza makubaliano...
  7. JamiiForums Tanzania Marekani yapunguza Vituo vya kuomba Viza Afrika kutoka 50 mpaka 20, Tanzania tumepona

    Kuna mabadiliko makubwa kwenye sera za Marekani kuhusu utoaji wa visa barani Afrika. Marekani imepunguza idadi ya balozi na ofisi za ubalozi zinazoshughulikia maombi ya visa kutoka 50 hadi 20 pekee. Hatua hii inatajwa kuathiri safari na mahusiano ya kidiplomasia kwa nchi nyingi. Kwa mujibu wa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania "Who are you" itamgharimu sana Rais Samia kidiplomasia

    Lilikuwa kosa mno ki-mkakati kwa Rais Samia kuwahoji wa Manga eti ni kinanani?! Ki ukweli hakika, washauri wa Rais wetu hawaku-mtendea haki kumsaidia kujizuia kutoa kauli kama ile Ndugu zangu, kwa kauli ile, siyo rahisi tena mambo kuendelea kuwa kama awali. Wazungu kwa mfano, huwa na nongwa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania CRDB Yaunga Mkono Diplomasia ya Michezo ya Majeshi

    MONACO - Benki ya CRDB imeendelea kudhihirisha dhamira yake ya kuunga mkono maendeleo ya Taifa kupitia sekta mbalimbali kwa kushiriki katika Mkutano Mkuu wa 81 wa Michezo ya Majeshi Duniani (81st CISM General Assembly) uliofanyika nchini Monaco kuanzia tarehe 1 hadi 9 Mei 2026. Mkutano huo wa...
  10. JamiiForums Tanzania China Yabadili Jina la Rubio: "Marco Lu" kwa Diplomasia

    👉 China imeonekana kutumia mbinu ya kipekee ya kidiplomasia kwa kubadili jina la Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, kuwa "Marco Lu" ili kurahisisha safari yake ya kuingia nchini humo. 👉 Hatua hiyo imeibua mjadala mkubwa kimataifa kuhusu namna siasa na diplomasia zinavyoweza kubadilishwa...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Rais wetu amefanya Tanzania kuwa mfano kwa diplomasia kila kona Afrika

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ameishukuru Tanzania kwa mchango wake katika maendeleo ya Uganda, huku akisisitiza kutoisahau Tanzania.
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania bado tunalala Kwenye Diplomasia na Kujitangaza

    Juzi tumemuona Emmanuel Macron akiwa Kenya kwenye summit ya kimataifa. Ukiangalia namna Wakenya walivyotumia hiyo nafasi utaona kabisa wanaelewa mchezo wa diplomasia, branding ya nchi, tourism, culture, na biashara za kimataifa.Kila event kubwa kwao huwa sio tu mkutano wa viongozi ni nafasi ya...
  13. JamiiForums Tanzania Diplomasia, Usaliti, na Usalama wa Barani Afrika

    Viongozi wa Afrika, jitahidini kuwa na majasusi wa kimkakati. Kuna ukoloni mamboleo unaorejea barani Afrika, ambapo baadhi ya viongozi wa ndani watatumika kuwasaliti na 'kuwauza' viongozi wenzao wa Kiafrika. Alloyce, P.R.
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania katikati ya dhoruba ya kijipolitiki: Kauli ya balozi mteule wa Marekani ni onyo au diplomasia ya maslahi?

    “Karne hii mpya haitapiganiwa kwa mafuta pekee — itapiganiwa kwa madini, taarifa, na ushawishi wa kimkakati.” Kuna nyakati katika historia ambapo kauli moja ya kidiplomasia hubeba ujumbe mkubwa kuliko mikataba mingi ya kisiasa. Moja ya nyakati hizo ni pale balozi mteule wa Marekani nchini...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyojenga Diplomasia ya uchumi kwa weledi mkubwa

    Na África J&L, Dar es Salaam Wakati Rais William Ruto atakapohutubia Bunge la Tanzania Mei 5, 2026, akiwa kiongozi wa kwanza wa Kenya kufanya hivyo, wengi wataona tukio la kihistoria. Lakini kimsingi, hili ni zaidi ya historia. Ni ushahidi wa jitihada za utekelezaji wa diplomasia ya uchumi...
  16. JamiiForums Tanzania UAE yafikiria kujiunga na Marekani kulinda mlango wa Hormuz / Diplomasia na Iran, tia maji-tia maji

    Dkt. Anwar Gargash, ambaye ni mshauri wa kidiplomasia wa Rais wa UAE, amethibitisha leo (Jumanne, Machi 17, 2026) kuwa UAE inaweza kujiunga na juhudi za kimataifa zinazoongozwa na Marekani ili kulinda usalama wa njia ya maji ya Strait of Hormuz. Gargash alitoa kauli hiyo wakati akizungumza...
  17. JamiiForums Tanzania Juma Zuberi Homera ana uzoefu gani kwenye diplomasia?

    Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera, amewasili jijini Geneva, nchini Uswisi, kushiriki Mkutano wa Ngazi ya Juu katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa ulioanza Februari 23, 2026. Katika mkutano huo Mhe. Homera anatarajia kuwasilisha taarifa rasmi ya Jamhuri ya...
  18. JamiiForums Tanzania Diplomasia ya Tanzania: Kutoka fahari hadi sintofahamu

    Kwa miongo kadhaa, Tanzania imejengwa na kutambulika kama moja ya shule bora za diplomasia barani Afrika. Kuanzia harakati za ukombozi wa nchi za Kusini mwa Afrika, ushiriki thabiti katika Umoja wa Mataifa, hadi kusimama kama taifa lisilofungamana na upande, Tanzania iliweka alama yake...
  19. JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu ateuliwa kuwa Mshauri wa Rais katika masuala ya Diplomasia

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mshauri wa Rais, Diplomasia. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Balozi Lazaro Samuel Nyalandu ameteuliwa kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Diplomasia ya Kiuchumi imepewa nguvu, Balozi Mahmoud Thabit Kombo ashika usukani Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

    Diplomasia ya Kiuchumi imepewa nguvu Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ashika usukani Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…