dotto biteko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kamanda Asiyechoka

    Kama Kiongozi anayewajibika nilitarajia Dotto Biteko Naibu Waziri Mkuu kuomba radhi watanzania au kujiuzulu

    Taifa limekosa umeme kwa zaidi ya masaa 15. Dotto Biteko yupo kimya tu anakula bata kwa kupanda Mashingingi. Eti itilafu ya umeme? Itilafu gani ya kurekebishwa kwa masaa 24? Mbona hapo awali January Makamba akiwa waziri wa Nishati alituaminisha kuwa Mgao wa umeme ulikuwa sababu ya miundombinu...
  2. P

    Toka Dotto Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu, amefanya maajabu gani kwenye cheo hicho?

    Wakuu kwema? Wajuvi noamba mtujuze kwenye jambo hili. Toka Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu amefanya mambo gani mpaka sasa kulingana na nafasi yake hiyo? Huu mshahara tunaomlipa kutoka mifukoni mwetu kama Naibu Waziri Mkuu anaula kutokana na kazi gani alizofanya mpaka sasa? Anautendea...
  3. S

    Dotto Biteko aambiwe ukweli. Kuzuia likizo za wafanyakazi wa TANESCO ni ukiukwaji wa sheria, na hakuleti umeme

    Tatizo la umeme hapa nchini ni la kimfumo, siyo la mtu (waziri). Ndiyo maana mawaziri wengi wanateuliwa na kutenguliwa lkn tatizo liko pale pale. Waziri Biteko naye kama wenzake waliopita hana jipya. Namuona amejaa maneno mengi ya vitisho na manyangaso kwa wafanyakazi wa TANESCO lkn tatizo la...
  4. B

    Dotto Biteko, kwa nini suala la mgao wa umeme halifiki kikomo?

    Yaani nashangaa umeme bado ni kero kubwa sana kwetu sisi wananchi wa Tanzania. Tuliaminishwa kwamba kijana huyu mheshimiwa Waziri Biteko akiingia mgawo wa umeme utakuwa historia lakini mpaka muda huu bado ni bila bila. Umeme kukatika hovyo hovyo Tanzania imekuwa ni kero isiyopata suluhisho la...
  5. kibori nangai

    Hivi Dotto Biteko umeshindwa kabisa suala la umeme?

    Ndugu Dotto Mashaka Biteko Najua utakuwa kanda hii ya Ziwa maana jana ulikuwa Bukoba kwa wakatoliki. Nakuulizaa tuu umeshindwa kabisa hili swala la umeme samia SULUHU HASSANI Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Wewe ulikuwa Serikalini Dr. Medrard Kalemani alikuwa waziri kwenye serikali...
  6. Nyankurungu2020

    Pamoja na uteuzi wa Dotto Biteko na Paul Makonda. Mama bado hakubaliki kanda ya ziwa

    Hakuna ubishi kanda ya ziwa bado wana kinyongo. Uchaguzi wa 2025 kuna kisasi kikubwa watafanya by any means necessary. Uteuzi wa Dotto Biteko ilikuwa ni mbinu ya kurudisha ushawishi wa mama kwa watu wa kanda ya ziwa ili akubalike. Lakini haukuzaa matunda. Haya huyu mwenezi wa CCM sasa...
  7. Pascal Mayalla

    Licha ya Mapungufu, Sheria Mpya ya Uchaguzi Pia ina Mazuri Yake!, Imerejesha Mamlaka ya Uchaguzi kwa Wananchi, Hakuna Kupita Bila Kupingwa!.

    Wanabodi, Hili ni bandiko mwendelezo wa three series za uchambuzi wangu wa sheria mpya ya Uchaguzi, 2023. Kama hukuona 1st series, anzia hapa Asante Rais Samia kwa Muswada huu. Umuhimu wa mabadiliko ya Katiba kabla ya Sheria hii bado ni muhimu sana. Huu ni uchambuzi Wangu - Part 1 kisha uje...
  8. S

    Fupa la umeme kumchafua Dotto Biteko?

    Dotto Biteko aliteuliwa 30 August, 2023 na kuapishwa 1 September, 2023. Siku ya kuapishwa mhe rais alitoa miezi 6 kero za umeme ziwe zimemalizika. Kimahesabu kutoka 1 September 20223 mpk leo 15 December 2023 bado miezi 2 na nusu muda uwe umeisha. Lkn sioni mipango, mikakati wala mbinu za...
  9. benzemah

    Dotto Biteko Aagiza Kusimamishwa Meneja Huduma kwa Wateja TANESCO na Afisa Uhusiano wa TPDC

    MTWARA; NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Dotto Biteko amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Nchini (tanesco), kumsimamisha kazi Meneja wa Huduma kwa wateja kwenye shirika hilo na kuweka mtu mwingine kufanya hiyo kazi. Pia amemuagiza Mkurungezi Mtendaji wa Shirika la...
  10. Jaji Mfawidhi

    MTAZAMO: Makonda kuchukua jukumu la Majaliwa, Dotto Biteko, ndani kwafuka!

    Paul Albert Bashite Makonda al maarufu kama Bashite ambaye alikuwa Mkuu wa Wilaya Dar es salaam na badae kuwa mkuu wa Mkoa awamu ile ya Mkono wa Chuma na kutumbuliwa na Awamu hiyo hiyo kabla ya kupigwa kikumbo kabisa na awamu iliyofuata sasa awau hiyo hiyo imemrudishwa kwenye siasa : Baada ya...
  11. benzemah

    Dotto Biteko: Makali ya umeme kupungua 2024

    Makali ya umeme yatapungua kwa kiasi kikubwa kufikia mwanzoni mwa 2024, kupitia juhudi za Serikali kupunguza upungufu wa umeme kutoka Megawati 810 na kufikia megawati 240. - Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ametoa kauli hiyo leo jijini Dar es Salaam katika hafla ya utiaji...
  12. benzemah

    Dotto Biteko: Tumsaidie Rais Samia kujenga Nchi

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewashukuru marafiki na wanafunzi aliosoma nao katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine Mwanza (SAUT) na kuwataka kufanya kazi kwa bidii ili kumsaidia Rais Samia Suluhu Hassan kutimiza azma ya kujenga uchumi wa nchi na Watanzania. Ujumbe...
  13. The Burning Spear

    Pamoja na ujio wa Dotto Biteko Makali ya Mgao wa Umeme Yameongezeka

    Makamba alitolewa Tanesco kupunguza makelele tu. Ila kiuhalisia sasa hivi mgao wa umeme ni mkali kupita kiasi.. Swali linabaki pale pale bwana yule aliwezaje kutuepusha na hii dhahama...Samia is a failure. Nawashangaa sana wanaowaza kumwongezea muda.
  14. benzemah

    Rais Samia Atoboa Siri ya Kumteua Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu

    Rais Samia ‘atoboa siri’… aeleza sababu zilizomfanya amchague Dkt. Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu. Ameyasema hayo wakati akizindua vifaa vya uchimbaji madini kwa ajili ya kuimarisha STAMICO na wachimbaji wadogo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete - Dodoma.
  15. King Nkondo

    Hongera Waziri Dotto Biteko kwa kuanza kuimarisha upatikanaji wa umeme

    Niende moja Kwa moja kwenye hoja, Kwa siku chache ulizokaa Wizara ya Nishati ndugu Biteko, Leo ni siku ya tatu mfululizo mkoa wa Geita na Shinyanga hatujakatiwa umeme. Huo ni mwanzo mzuri tutakuwa wachoyo wa fadhila tusipokutia moyo, endelea kushikilia hapohapo mwamba, hakika mama kafunga goli...
  16. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Rose Busiga akabidhi Tuzo ya Pongezi kwa Naibu Waziri Mkuu Dkt. Doto Biteko

    MBUNGE ROSE BUSIGA AKABIDHI TUZO YA PONGEZI KWA NAIBU WAZIRI MKUU, MHE. DKT. DOTTO BITEKO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Geita, Mhe. Rose Vicent Busiga ametoa Tuzo ya Pongezi kwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko kwa niaba ya Wanawake wa Mkoa wa Geita na tuzo...
  17. D

    Ushauri kwa Waziri Dotto Biteko - Waziri wa Nishati

    Niweke bayana kabisa, kitaaluma mimi ni mhandisi, ntayoyaandika hapa ni kutokana na uzoefu wangu kwenye kada hii. Naamini Mheshimiwa Biteko utapita hapa na utapata chochote kitu. Inawezekana kabisa umwfanya makubwa wizara ya madini, ila wizara hiyo inawagusa watanzania wachache sana, hivyo leo...
  18. J

    Mzigo mzito mpe Mnyamwezi! Tunakuombea kila la kheri Dkt. Biteko kwenye mambo ya Umeme na Mafuta

    Wengi wanashangaa kwanini sasa kuna sintofahamu kubwa kuhusiana na mambo ya Umeme, Petrol na Diesel Wapendwa jipeni moyo na tuzidi kumuombea kwa Mungu wa mbinguni ndugu Yetu Doto Biteko akapewe Wepesi katika Utendaji wa majukumu yake ya kila Siku Nawatakia Alhamis yenye baraka 😄
  19. Huihui2

    Ushauri kwa Waziri Dotto Biteko: Kama Makamba Ametolewa, Basi na MD wa TANESCO na Bodi nayo itoke

    Kwa hili linaloendelea kuanzia last week linalohusu mgawo wa umeme ambao Maharage Chande anasema haupo bali kuna ratiba ya umeme ni dhahiri matarajio ya Rais Samia aliyoweka kwa Waziri Makamba, Bodi ya Wakurugenzi na MD wao YAMEFELI. Rais kamtoa Makamba baada ya kumuidhinishia fedha kwa...
  20. Nigrastratatract nerve

    Nimeona barabara ya kuelekea nyumbani kwa Naibu Waziri Mkuu ikitengenezwa kwa kasi maeneo ya Musabe

    Yajayo yanafurahisha Leo nilikuwapo jijini Mwanza maeneo ya Buhongwa nikaona barabara ya kuelekea nyumbani kwa Naibu waziri mkuu, Dotto mashaka Biteko ikijengwa kwa kasi Sana nikajua tu yajayo kwa Kanda ya ziwa yanafurahisha kila la Kheri mtarajiwa.
Back
Top Bottom