https://www.youtube.com/live/XCDPRo8_24s?si=IW7oNMtLDpnRMsbH
LIVE: Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Leo September 03,2026 ni Mgeni Rasmi ufunguzi wa Kongamano la Tano la Kitaifa Ushiriki wa Watanzania.
Hafla hiyo inafanyika katika ukumbi wa mikutano wa PSSSF, Makole jijini Dodoma
Nikiwa miongoni mwa waombaji tuliopata neem ya kuhudhuria kongamano la 18 la maombi ya kutafita makao makuu ya serikali Dodoma.
Miongoni mwa masomo ambayo tulipata kujifunza ni juu ya umuhimu wa kuomba kwa habaro ya Nchi.
Mtumishi wa Mungu Mwl Mwakasege alitufundisha faida 7 za kuombea nchi na...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete anawakaribisha katika Kongamano la Bima la Afya kwa wote, Mgeni rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Kanali Evans Mtambi
Kongamano hili litafanyika Agosti 21, 2026 katika Hotel ya CMG, Tarime Mjini.
▪️Fursa kwa Makundi Maalum...
KONGAMANO LA BIMA YA AFYA KWA WOTE
▪️Fursa kwa Makundi Maalum.
▪️Ujenzi wa Bweni la Wasichana.
▪️Mhe. Ghati Z. Chomete
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara.
📆 21 Agosti, 2026.
📍CMG Hotel, Tarime Mjini.
Ndugu zangu mimi nauliza tu ni kwanini UVCCM tarehe ya Leo hawajaonekana kufanya kongamano la vijana maana leo ni siku ya vijana bali naona online tvs nyingi Kuna Bavicha na kwa mbali ile ngome ya nondo.
Dar es Salaam, Juni 6, 2026 — Wizara ya Afya leo itahodhi Kongamano la PPP lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHIMBILI-CHPE). Tukio hili limeandaliwa kwa kushirikiana na Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP Centre) pamoja na wadau...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Urusi lililofanyika Jijini St. Petersburg nchini Urusi tarehe 05 Juni, 2026. Kongamano hilo limewakutanisha Wafanyabiashara, Wawekezaji pamoja na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Urusi lililofanyika Jijini St. Petersburg nchini Urusi tarehe 05 Juni, 2026. Kongamano hilo limewakutanisha Wafanyabiashara, Wawekezaji pamoja na...
Kuna barua rasmi kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) – kupitia Ofisi ya Mashirika ya Kipapa ya Kimisionari Taifa (PMS) inayoonesha kuahirishwa kwa Kongamano la Sita la Kitaifa la Utoto Mtakatifu.
Kongamano hili kubwa lilitarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 18 hadi 22 Juni, 2026 huko...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Mei 28, 2026 amewasili kuwa Mgeni Rasmi katika Kongamano la Kitaifa la Wadau wa Mazingira pamoja na maadhimisho ya miaka 40 ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) yanayofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC)...
Jumuiya ya Wanafunzi Taasisi za Elimu ya Juu (TAHLISO) wameandaa kongamano la wanafunzi wa vyuo walilolipa jina la Never Again, wakiwa na madhumuni ya kudumisha amani, hususani kwa wanafunzi Tanzania.
Mgeni rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh Albert John Chalamila na viongozi wengine wa...
Wana JF, habari za weekend?
Naleta mjadala huu mezani kama mwananchi nisiyefungamana na upande wowote wa kisiasa, lakini nikiwa na mapenzi mema na ya dhati kwa nchi yetu ya Tanzania.
Kumekuwa na wimbi jipya la mbinu za kisiasa zinazofanywa na kundi linalojipambanua kama 'watetezi wa utawala...
Jana nilipokwenda kuhuduria Kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu Chaso.
Walitumwa baadhi ya vijana kutoka UVCCM, kwa kulipwa vifedha kidogo…
Sina tatizo na vijana hata kama ni wa ccm kuhudhuria na kusikiliza sera, misimamo na hoja zetu.
Lakini huyu kijana, watu wetu walipomgundua na kumhoji...
02 May 2026
KONGAMANO KUBWA LA VIJANA WA CHADEMA CHASO 2026, UKUMBI WAFURIKA
https://m.youtube.com/watch?v=O9I_Z6gJWfA
CHADEMA Students Organization (CHASO) Tarehe 02/05/2026 wasomi wa vyuo vikuu na vya kati Mkoa wa Dar es Salaam na vyuo jirani watakutana katika kongamano la 2026 kujadili hali...
Wanabodi,
Kupitia TBC, matangazo ya moja kwa moja, live Mubashara kutoke Tunguu Zanzibar: Nawaletea Kongamano la Vijana la kuadhimisha miaka 62 ya Muungano wa Tanzania lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa CCM katika Viwanja vya Tunguu - Zanzibar ambapo mgeni rasmi ni Mwenyekiti wa CCM na Rais...
GT
Sijui mentor wa maCCM ni nani? Mnazidiwa akili na chadema yenye rasilimali watu wachache
Chadema walijua kabisa mkiwazua kufanya Tamasha lao ndo watapata airtime zaidi huko duniani na mtego huo mmeshindwa kunasua.
Kama mgepiga kimya wakajifanyia Tamasha lao hakuna mtu angekaa kufuatilia...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imesogeza huduma za kibingwa na kibobezi kwa wanawake wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) katika Kongamano la Pili la Wanawake wa shirika hilo lililolenga pia kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia.
Huduma zilizotolewa ni pamoja...
Anandika John Heche kuwa;
"Chuo kikuu cha Dar es Salaam kwasasa kimegeuka kuwa kama shule ya msingi.
Wakati UDASA wana kongamano lao leo, Dupsa walinialika pia kwa kongamano.
Ajabu ni kwamba sehemu ambayo Inatakiwa kuwa chimbuko la fikra na mawazo wamezuia kongamano hili dakika za mwisho kabisa".
Jukwaa la Kimataifa la Nasser limeshiriki kikamilifu katika Kongamano la Vijana wa Afrika (Pan-African Youth Forum 2025) uliofanyika nchini Djibouti kuanzia Novemba 4 hadi 6, 2025, chini ya uratibu wa Tume ya Umoja wa Afrika, ukiwa na kaulimbiu isemayo “Kutoka kwenye ndoto hadi vitendo: Vijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.