Naomba kujua namna ya kupata majina ya waliochaguliwa kujiunga na Chuo cha Diplomasia

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
8,098
9,994
Ndugu samahanini kwa usumbufu. Nimeomba kujiunga na chuo cha Diplomasia ngazi ya diploma katika dirisha la awamu ya tatu. Lakini kama inavyoonyesha hapo chini website yao haijawa na taarifa za kujitosheleza sana kuhusu walio chaguliwa kujiunga na chuo hicho.
Screenshot_20231025-033939.png


Wameweka walio chaguliwa awamu ya kwanza tuu. Awamu ya pili hakuna wala ya tatu. Mwisho wameweka walio chaguliwa kujiunga na masters na post graduate awamu ya tatu kama inavyoonyesha.

Nitumie njia gani kujua kama nimechaguliwa kujiunga na chuo hicho?
 
Back
Top Bottom