Mwadhiri wa chuo kikuu cha Dodoma bwana Melkisedek Kaijage leo kaachiwa huru baada ya upande wa mashtaka unoiwakilisha serikali kusema kwamba hauna nia ya kuendelea na kesi hiyo ya mchongo.
Hiyo ni kesi ya mchongo kwasababu siku wanasheria wa UDOM wakihangaikia dhamana kwa ajili yake dhidi ya...
Watawala wana hofu sana na huyu mtu,wanafahamu sana misimamo yake,hanunuliki na Wala hashawishiki kwa chochote. Kwenye mazingira ya kawaida ni kwamba angekaa pembeni baada ya kushambuliwa kwa risasi zile.
Kwa sasa watawala watakachokifanya ni kuendelea kumuweka kizuizini na pia kuitumia...
Huyu mzee huenda kweli alimuuza Polepole akatekwa.
Tulishuhudia baada ya Magufuli kufa Mafisadi papa wa CCM wakaachiwa kwa amri ya rais. Leo huyu mzee analeta porojo👇
Kumekuwepo na machapisho yanayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii yenye nukuu mbalimbali zinazodaiwa kuwa zimetolewa na viongozi wa nchini Tanzania.Moja ya kurasa hizo ni mjadala tv na siasa za kweli ambazo huchapisha maudhui hayo mara kwa mara
Huyu Jamaa Sasa ndio kajionyesha yeye ni Mtu wa Aina gan.
Tulidhani labda ni Matumizi tu mabaya ya Nafasi ya Baba yake... Huyu Mtu ana uchu wa Madaraka, Mtu aliyetayari kufanya lolote ili mradi Awe Rais.
Juzi tarehe 1 tumeona team ya Artemis II kutoka NASA imefanya tena ziara ya kuelekea mwezini ambayo itachukua siku 10 na leo tayari picha za awali zimeanza kusambazwa.
Hii siyo simulizi ya karne ya 20 tena, bali ni ushahidi wa karne ya 21 unaoonekana kwa macho. Lakini ni kama umekuja wakati...
D.Trump (USA)- wafungwa wa kisiasa waliofungwa na communist maduro wameanza kuachiwa, thanks to D.Trump, ni swala la muda tu hata akina Tundu Lisu watafikiwa, tusife moyo to fight evil ...
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amefutia mashtaka na kumwachia huru mfanyabiashara wa vipodozi Jenifer Jovin (26) maarufu Niffer na Mika Lucas Chavala, waliokuwa na kesi ya uhaini.
Uamuzi huo umetolewa leo Jumatano Desemba 3, 2025 na Hakimu Mkazi Mkuu, Aaron Lyamuya, baada wakili wa Serikali...
Siku chache zilizopita niliandika thread kuhusu hizi kamata kamata za watu kisha kubambikiwa kesi ya uhaini,
Rais Samia atakuja kutoa tamko hao watu waachiwe na malengo makuu ni mawili 1) Kumjenga Samuya Kisiasa 2)Kuwapumbaza wadanganyika.
Hatimaye yametimia leo.
Viongozi wa upinzani wawe makini baada ya kuachiwa wanaweza wakawa wamepanga wawateke.
Imarisheni ulinzi na muwe na ulinzi wa watu wenye silaha za moto.
Nyota ya Diddy inaonyesha nguvu kubwa sana ya uthibiti katika kila hali siku hizo so kwa makadilio Diddy anaweza kutoka Jela kati ya Tar 5 hadi tar 9 january na reccond zaidi Tar 8.
Mwigizaji Rose Ndauka na Msanii Lukamba wameeleza matamanio yao ya kumuona Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Lissu akiachiwa na kushiriki shughuli za kisiasa kama ilivyokuwa hapo awali.
Kupitia mtandao wa Instagram Lukamba amechapisha picha ya Lissu akiambatanisha na maneno...
https://youtu.be/lXYcasdnW3g?si=j-3229TRJTlB6ORF
1. Mahakama ni chombo cha kisheria, kinachoamua na kutoa haki za watu kwa kutafsiri kwa usahihi hizo sheria ili kumpa kila mtu haki yake kwa kadiri ya ustahili wake kisheria..
2. Haina shaka kuwa mchakato (process) yote ya mashitaka ya Tundu...
Naam!
nmeota hivyo leo Mchana kipindi nmepitiwa Usingizi Baada ya kushiba ugali wa mtama na nyama ya kuchoma apa Stendi ya Nyamhongolo Jijini Mwanza Nikiwa safarini kuelekea kumsindikiza mgombea mwenza!
Ndoto yangu imenionesha hakuna namna nyingine ya kufukuza huu upepo tofaut hiyo ya...
Habari za Jumapili!
Najulishwa hapa Ombi la Kuachiwa Tundu Lisu Lipo meza ya Wakuu linajadiliwa. Kuona kama umuhimu wa kumuachia kabla ya septemba 7. Yapo makundi mawili; Kundi moja linasema akae mpaka baada ya uchaguzi. Kundi jingine linasema aachiwe tuu.
Lakini nimejulishwa kuwa wapo...
Naweka wazi na huu uzi utabaki kuwa ushahidi.
Rais mtarajiwa wa jamhuri ya Tanganyika ndugu Antiphas Mwighai Tundu Lissu ataachiwa huru kabla ya may 19 siku ya kusikilizwa kesi yake.
DPP atatoka hadharani na kudai hana haja ya kuendelea na kesi hiyo bila kutoa sababu maalum.
Huu siyo utabiri...
Polisi kiuhalisia kazi ya kubwa ni "ku - mantain law and legal orders" ambayo imewekwa ktk lugha rahisi ya "kulinda usalama wa raia na mali zao..."
Katika ku - maintain law and orders, moja ya jukumu lao la kwanza kabisa ni kuzuia uhalifu usitokee kwa kudhibiti visababishi....
Ikitokea kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.