Hongera Bi Rose Manumba, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala, madiwani na wataalamu wote kwa uongozi wenye matokeo unaotanguliza maslahi ya wananchi. Kupitia usimamizi madhubuti wa ukusanyaji wa mapato, kuelekeza rasilimali nyingi kwenye miradi ya maendeleo inayogusa maisha...
Mbunge wa Maswa Mashariki, Dkt. George Venance Lugomela, amesema aliwapatia baadhi ya madiwani fedha alizozitaja kuwa ni posho wakati wa mchakato wa kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka 2025, akidai baadhi yao hawakutekeleza makubaliano waliyokuwa nayo.
Akizungumza katika kikao cha...
MHE. GHATI CHOMETE ATEMBELEWA NA MADIWANI WA HALMASHAURI YA MJI WA TARIME-BUNGENI DODOMA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete ametembelewa na Wahe.Madiwani wakiongozwa na Mhe.Thobias Elias Ghaty- M/Kiti wa Halmashauri ya Mji wa Tarime.
Madiwani hao walifika Bungeni...
Mbunge wa Jimbo la Same mashariki, Anne Kilango Malecela akichangia Bajetia Kuu ya Serikali 2026/2027 Bungeni leo Juni 2026, ameiomba serikali kuangalia uwezekano wa kuboresha maslahi na posho za madiwani nchini.
"Nimwombe Rais Samia kwa unyenyekevu, kwa hali ilivyo sasa, ni vyema serikali...
Na Mwandishi Wetu.
MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mariam Ibrahim amemshuru Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa , Rais Dk.Samia Suluhu Hassan kwa kupendekeza jina lake na Kamati Kuu ya chama hicho kulipitisha na hatimaye kushinda kwa kura nyingi.
Ametoa shukrani hizo kwa...
Baraza jipya la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru lipo Mkoani Katavi kwa siku tano kujifunza kuhusu hewa ukaa.
Madiwani wote zaidi ya 60 na wakuu wa idara watakuwa nje ya halmashauri kwa zaidi ya wiki moja kwaajili ya safari hiyo.
Tsh Milioni 1.8 italipwa kwa kila diwani katika...
Mkuu wa Mkoa wa Pwani (RC), Mheshiwa Abubakar Kunenge amesema ushirikishwaji wananchi kwenye miradi ya maendeleo unaofanywa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ni wa mfano na unapaswa kuigwa na taasisi zingine.
Aidha, amewaomba Madiwani kutoa ushirikiano kwa...
Habari Tanzania !.
Eti watanzania mnaonaje mtakapo fanya mabadiliko ya Katiba Mpya; Diwani awe na sifa ya kuteuliwa kuwa Waziri ili achangie maendeleo yetu kwenye Taifa.
NB
Mkumbuke katika Mfumo uliopo nchini wa kisiasa; mwenye kujua changamoto za wananchi ni Diwani pia ndio mtu pekee mwenye...
Ni kiwango kikubwa sana Cha ujinga maboss kuanza kuwashukiru waajiri wao waliowajiri
Cha ajabu hao maboss hawaambulii chochote Cha kwao binafsi ila wanawalipa waajiri wao Kwa wakati Kila mwisho wa mwenzi bila kukosa .
HIki kiwango Cha juu Cha ujinga Kwa wananchi kuwashukiru kwanza waajiri wao...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amewataka Madiwani nchini kuwa wanyenyekevu kwa wananchi katika kuwatumikia na kuwaletea maendeleo.
Prof. Shemdoe ametoa wito huo kwa Madiwani hao leo, wakati akimuwakilisha Waziri Mkuu...
Unaposema mnyama fulani ana akili sana maana yake ni kwamba mnyama huyo ana uwezo wa kutunza kumbukumbu ipasavyo. Kinyume chake pia ni kweli.
Hii pia iko applicable kwa watu. Kama huna kumbukumbu basi wewe ni tahira.
Kuna watu si Matahira ila hujifanya matabira kwa makusudi.
Magufuli ndiye...
Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ?
Moja ya hoja kuu kuwa hakukuwa na uchaguzo kabisa oct 29, ni kwamba internet ilizimwa, usafiri haukuwepo kabisa hakuna shughuli yoyote mpaka mida...
Yaani nawaona wakiwa na wakati mgumu wa kuitumikia jamii yao, sababu watu waliyo wengi wamewakataa
Yaani Tanzania inaenda kuingia kwenye Siasa ngumu kabisa za uhasama kuliko zile za Somalia za kipindi kile.
Hawa Viongozi hawataweza kujumuika tena na jamii maana watajikuta mda wowote maisha yao...
https://www.youtube.com/live/bsMXcScNS8E
Muliro: Polisi kusubiri hadi tukio lifanyike hapo ni sawa na kufeli
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro akizungumza katika mdahalo huo leo Agosti 20, 2025.
Nianze kwa kumpongeza mwenyekiti wetu wa CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA Dr. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapa nguvu Wajumbe waamue viongozi wanaowataka kupitia kura. Hongera sana mwenyekiti wetu Samia kwa kuongoza chama chetu kwa akili kubwa na maono makubwa.
Wajumbe wameshachagua wabunge na...
Wanabodi,
Kutokana na hali ya kisiasa nchini kwetu, huo ndio ukweli. Ukubali au ukatae, wajumbe wakishapitisha majina, hayo majina kwa asilimia kama 98% au 99% ndio wawakilishi tutakaokuwa nao kwa miaka mitano ijayo.
Ama kweli SIASA si HASA.
Sheria mpya inampa mamlaka Rais ambaye ni mwenyekiti wa chama tawala kuweza kuweka wabunge wake hata kama hawakupita kura za wajumbe, Tunakoelekea sio kuzuri.
Hii ina hatari hasa kwa kuweka wabunge ambao hata hawajakulia katika majimbo
Mwaka 2020 ulifanikisha kuingiza madiwani wote uliowataka na yule wa akribu yako zaidi ukamfanya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Iramba. Mbaya sana!
Pamoja na wewe bado kukubalika ninakushauri kwa dhati ya moyo wangu usitoe hela kuhakikisha hao madiwani wanarudi,. Hiyo sio timu itakayokufikisha...
Rais mstaafu Jakaya Kikwete ametetea marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2024 akihoji, "Hivi ni kweli kwamba, sheria zetu zinazohusu uchaguzi ni mbaya sana kiasi kwamba haziwezi kusimamia mchakato wa uchaguzi mwaka huu?"
Ameyasema hayo leo Juni 21 katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.