diplomasia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Nimekuza Diplomasia, tunatembea kifua mbele. Ukitaja Tanzania wanakuuliza Mama Samia?

    Mgombea wa nafasi ya Rais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni unaofanyika tarehe 17 Septemba, 2025, Kusini Unguja, Zanzibar amesema, "Watanzania huko duniani tunatembea kifua mbele, ukitaja Tanzania mtu anakuuliza ‘Mama Samia..?'
  2. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Rais wa Msumbiji kuivuka Tanzania kwenda kuomba msaada wa Kiusalama Rwanda inatupa picha gani kuhusu diplomasia yetu?

    Si mara ya kwanza kwa raisi wa msumbiji kukimbilia kigali kupewa back up dhidi ya matishio yanayo jitokeza sehemu mbalimbali mwa miji ya msumbiji hasa capo Delgado. Mara ya kwanza alitoka askari zaid ya 1500. Kwa mikataba itakayonufaisha pia Rwanda. Kiusalama kama jirani yako hayupo salama...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Mpango wa diplomasia ya afya wazinduliwa Cairo

    Cairo. Mpango wa Diplomasia ya Afya kwa Wanafunzi wa Tiba umezinduliwa nchini Misri kwa udhamini wa Muungano wa Kimataifa wa Wanafunzi wa Tiba wa nchi hiyo na tawi lake katika Chuo Kikuu cha MTI. Mpango huo unaolenga kuwawezesha madaktari chipukizi na wanafunzi wa tiba kutoka Misri na wa Sudan...
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ashiriki Kongamano la Diplomasia ya Afya

    Waziri Kombo ashiriki Kongamano la Diplomasia ya Afya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki Kongamano kuhusu Kukuza Huduma za Afya Ulimwenguni kupitia Diplomasia lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi...
  5. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila aeleza misingi minne ya kujenga uchumi wa kisasa

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Ubia nchjni PPPC Bwana David Kafulila amesema ukuaji huu wa wa kasi wa Uchumi wa Tanzania 1unatokana na ukuaji wa Diplomasia Kimataifa. Mkurugenzi Kafulila ametaja mambo manne ambayo ni muhimu kwenye kujenga Uchumi wa kisasa. Kwanza, Mkurugenzi huyo...
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania na China kuongeza nguvu katika diplomasia ya uchumi

    TANZANIA NA CHINA KUONGEZA NGUVU KATIKA DIPLOMASIA YA UCHUMI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Wang Yi pembezoni mwa Mkutano wa Jukwaa la...
  7. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Diplomasia ya Mama Samia ni ngumu sana

    Mpaka sasa sijaelewa diplomasia ya serikali ya Mama Samia imejikita kwenye nini hasa! Uchumi, usalama au nini? Kwa majirani zetu wa Kenya na Uganda tumeshaharibu hivyo hivyo hatuko vizuri sana na Congo na Rwanda. Cha ajabu kwangu leo ni kwamba wakati Marekani na EU wakilalamikia hali ya mambo...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Shule ya diplomasia na heshima ya demokrasia-Kutoka kwa Mbunge wa Kenya

    Tuusikie huu ujumbe wa kiungwana kutoka Kenya Kuna jambo jingine linaendelea katika Kenya tukiwa hapa lazima tuwaeleze kuna ile siasa ya kila wakati, unaona juzi Wakenya wengi walienda Tanzania na mimi ni msomi kwa mambo ya kigeni. Naelewa sana, sisi Wakenya tupo hapa kwa sababu kuna Demokrasia...
  9. Lancashire

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia diplomasia uliyojigamba Kuifungua nchini Tanzania inakwenda kuzama Rasmi kuanzia Leo

    Nimetazama kwa ufupi sana majadiliano ya wabunge katika Bajeti ya wizara ya mambo ya ndani. Kiukweli sijui kama hawa wabunge wanatambua wanachokifanya. Ni mashambulizi dhidi ya serikali ya Kenya, viongozi wa Kenya , Wananchi wa Kenya huku baadhi ya wabunge kama msukuma akijigamba kwamba Tanzania...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Diplomasia mashakani

    Wananchi Kenya watishia kuwatimua Watanzania wanaofanya biashara na kazi Kenya "Mimi kama Mbunge wa Nyatike, jimbo langu linapakana na Tanzania na Uganda. Nyatike ipo kwa kona ya Kenya kabisa, mahali ukivuka unaingia Tanzania na ukienda kidogo unaingia Uganda. Kitu ambacho hawa watu wetu...
  11. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Somo la kihistoria: Tanzania inawahitaji sana diaspora katika kuleta maendeleo

    SEHEMU YA KWANZA: UTANGULIZI Katika kusoma kwangu historia ya dunia, hasahasa ya miaka 300 iliyopita sijawahi kuona popote mabadiliko makubwa yamefanyika ndani ya nchi fulani bila msaada wa Diaspora. Katika miaka 300 iliyopita, mapinduzi makubwa ya kisiasa ambayo ni somo kwa dunia nzima...
  12. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Huyu Ndiye Mstaafu Nguli Wa Diplomasia Na Siasa za Kimataifa Aliyebakia Barani Afrika Na kuheshimika Kupita Kiasi

    Ndugu zangu Watanzania, Katika Bara lote La Afrika Kwa sasa limebakiwa na Mwanadiplomasia Mmoja tu na pekee mstaafu ambaye ndiye Nguli ,bingwa na bobezi katika siasa za kimataifa na mwenye uwezo wa ushawishi na kushawishi jambo na kukubalika. Ndiye Mwenye Uwezo , kumbukumbu,maarifa ,ufahamu wa...
  13. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania RAIS MWINYI: TUTANGAZE FURSA ZA UWEKEZAJI NA KUZINGATIA DIPLOMASIA YA UCHUMI

    RAIS MWINYI: TUTANGAZE FURSA ZA UWEKEZAJI NA KUZINGATIA DIPLOMASIA YA UCHUMI Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewasisitiza Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika Nchi mbalimbali kuzingatia Diplomasia ya Uchumi na Kuzitangaza fursa za Uwekezaji...
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ateta na wanafunzi wa Diplomasia Hungary

    Waziri Kombo ateta na wanafunzi wa Diplomasia Hungary Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ametembelea Chuo cha Diplomasia cha Hungary na kutoa mhadhara kwa wanafunzi wa Chuo hicho kuhusu Sera ya Mambo ya Nje na mchango wa Tanzania...
  15. funaku

    JamiiForums Tanzania Tuweke rekodi katika kumbukumbu Rais Samia ameirejesha Diplomasia ya Tanzania Kimataifa!

    Wakati anaingia madarakani ilionekana kama anakirupuka hivi yaani anafungua nchi. Wengi tusingeweza kuamini kama angeonesha consistence katika sera yake ya mambo ya nje...yaani kufungua fursa kwa watanzania kuelekea mchangamano wa kidunia. Inawezekana wasaidizi waliopewa kazi hii awali...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Diplomasia ni jambo la muungano ?

    Diplomasia ni jambo la muungano ? Rais - Zanzbar Waziri mambo ya nje - Mahmoud (Zanzibar) MShauri wa rais maswala ya diplomasia - Maulidah (ZAnzibar)
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha dhahabu cha watawala nguli katika geopolitics na diplomasia ukanda wa SADC na Africa Mashariki kimefifia sana

    Ukanda wa SADC na Africa Mashariki umewahi kuwa na watawala nguli sana wa geopolitics na diplomasia mwaka 2015 kurudi nyuma. Nyerere, Mandela, Thabo Mbeki, Mkapa, Chisano na Kikwete ambaye ni kama alifunga ukurasa huu walikuwa wanaweza hata kuitisha kikao cha pande zinazogombana, zinazopigana...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa ndege wa Beirut waanza kuwakagua hata wana diplomasia wa Iran tofauti kabisa na ilivyokuwa huko nyuma

    Uwanja wa ndege wa Beirut unatekeleza hatua kali kwa safari za ndege za Irani, pamoja na mwanadiplomasia - hii ndio sababu. Akiwasili kutoka Tehran kwenda Beirut kwa ndege ya "Mahan Air", mwanadiplomasia wa Iran alitoka moja kwa moja kutoka kwenye ndege hadi kituo cha ukaguzi cha skana ya...
  19. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa India na CCM wazidi kuimarika. CCM kushinda uchaguzi mkuu 2025 kwa kuimarisha diplomasia .

  20. B

    JamiiForums Tanzania Kada chikulupi kasaka, mbobezi wa sheria, utawala na diplomasia atwaa fomu ubunge bunge la afrika mashariki

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi Chikukupi Njelu Kasaka amechukua fomu ya kugombea ubunge wa bunge la Afrika Mashariki (EALA) leo tarehe 14.08.2024. Kada huyo amechukua fomu katika ofisi ya Chama Cha Mapinduzi iliyopo jijini Dodoma akisindikizwa na makada mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi Chikulupi...
Back
Top Bottom