mabaraza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: tuondoe mabaraza ya madiwani kwenye majiji na badala yake zianzishwe mamlaka za usimamizi za majiji, matokeo yatakuwa makubwa sana.

    Kwako Mhe Rais wa JMT, Mhe.Waziri Mkuu Mhe.Waziri wa TAMISEMI Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano, Natanguliza pongezi nyingi kwa kazi kubwa mnayoifanya ambayo matokeo yanaonekana kila mahali ambayo inaleta tabasamu la matumaini. Nawapongeza zaidi kwa hatua mbalimbali za kuleta...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kuna wimbi la vijana waliosoma vyuo vya nje ya nchi kupata changamoto ya usajili kwenye mabaraza ya kitaaluma kipindi wanaporudi Tanzania.

    Kwa nyakati tofauti nimeona watanzania wakilalamika kukosa usajili wa mabaraza ya kitaaluma hasa manesi na wafamasia pale wanapohutimu masomo yao ughaibuni na kurudi nchini kwajili ya kufanya kazi je ? Changamoto ni nini? Kwa kupitia nikabaini changamoto chache kwanza kutokua na uelewa wa...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mabaraza ya ardhi ya wilaya ni ubatili mtupu, yafutwe

    Naomba niende kwenye mada husika kwa kuwaelekeza kwenye mifano halisi. Nachukulia mfano Baraza la ardhi wilaya la Arusha ambapo migogoro ya ardhi imetamalaki na haiwezi kwisha kwa sababu migogoro mingi inachagizwa na wenyeviti wa mabaraza.. Majuzi kwenye pita pita zangu, nikitokea zilipo ofisi...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa pili wa umoja wa mabaraza ya habari Afrika

    https://www.youtube.com/live/TESsdXCNBrU?si=zVojh8cRb2WhaVBx Mkutano wa Pili wa Mabaraza ya Habari Afrika 2025 umeelezwa kuwa ni fursa ya kihistoria kwa vyombo vya habari barani Afrika kuimarisha ushirikiano wa kikanda, kukuza matumizi ya teknolojia mpya, na kushiriki kikamilifu katika...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aalikwa kufungua Mkutano wa Kimataifa wa Mabaraza ya Habari Afrika utakaofanyika Julai 14 – 17, 2025

    Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Kimataifa wa Mabaraza ya Habari Afrika utakaofanyika kuanzia tarehe 14 hadi 17 Julai 2025. Mkutano huo utafanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC). Mgeni Rasmi aliyealikwa kufungua mkutano huo wa kimataifa ni Rais wa Jamhuri ya...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mabaraza ya Madiwani kufikia Ukomo leo Juni 20, 2025

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa ametangaza kuwa mabaraza yote ya madiwani nchini yatavunjwa rasmi ifikapo Juni 20, 2025. Tangazo hilo amelitoa leo Jumapili, Juni 15, 2025, alipokuwa akitoa tamko rasmi kuhusu tarehe ya kuvunjwa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Malalamiko Kuhusu Mabaraza ya Uuguzi na Ukunga na Upotoshaji wa Media Dhidi ya Wauguzi

    Kwa heshima kubwa, ningependa kuelezea malalamiko yangu kuhusu jinsi baadhi ya vyombo vya habari vinavyotoa taarifa zinazopotosha hadhi ya wauguzi, huku mabaraza ya uuguzi na ukunga yakiwa kimya bila kuchukua hatua za kutetea kada hii muhimu ya afya. Mfano halisi ni taarifa iliyochapishwa na...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Usuluhishi wa Migogoro ya Ardhi Katika Mabaraza ya Kata, 2021

    Wadau, Kuna huu mwongozo ulitolewa na Katibu Mkuu TAMISEMI mwaka 2021. Bati mbaya haupo kwenye tovuti ya wizara. Nitaupata wapi? Kama mtu ana nakala yake tafadhali nitumie. Shukrani sana.
  9. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Naishauri CHADEMA ianzishe chombo kinachoitwa "Mabaraza ya Wazee" kwa kila ngazi nchini

    Mimi ni mfuatiliaji mkubwa wa masuala ya kisiasa hapa nchini. Nimeona zoezi la maandalizi ya uchaguzi wa viongozi Serikali za mitaa lilivyoanza na linavyoendelea. Pia nimesikiliza matamko ya viongozi wa CHADEMA kuhusu mwenendo wa zoezi hilo. Niwe muwazi, kuna mambo baadhi hayajajulikana na...
  10. Replica

    JamiiForums Tanzania Raha ya deni Kulipa: Kwanini watu hukimbilia kwenye mabaraza/mahakama baada ya kuchemka kurejesha benki!

    Nilikuwa na jambo langu ambalo limeshaisha kwenye haya mabaraza/mahakama kitengo cha ardhi, huwa wateja tunakaa na wanaita kesi ili wahusika wafike sehemu husika. Kesi zilizojaa ni mtu flani vs NBC, flani vs CRDB, ABC Ltd vs NBC etc. Wakili mmoja akaniambia nyingi zinachelewesha tu mabenki...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa: Nitavunja Mabaraza ya Serikali za mitaa yenye mivutano

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amesema atavunja mabaraza ya madiwani yenye mivutano inayokwamisha maendeleo ya wananchi. Waziri Mchengerwa ametoa kauli hiyo wakati wa kukagua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya inayojengwa Kata ya Kibelege...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Yaahidi Kuchukua Hatua Kali za Kisheria kwa Mabaraza Yanayofanya Maamuzi ya Migogoro ya Ardhi kwa Mienendo ya Rushwa

    SERIKALI YAAHIDI KUCHUKUA HATUA KALI ZA KISHERIA KWA MABARAZA YANAYOFANYA MAAMUZI YA MIGOGORO YA ARDHI KWA MIENENDO YA RUSHWA "Lini Serikali itahamisha Mabaraza ya Ardhi kwenda kwenye mfuko wa Mahakama?" - Mhe. Jafari Chege Wambura, Mbunge wa Jimbo la Rorya "Katika jitihada za kuboresha mfumo...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa atoa miezi miwili kwa CRB na NCC kuunda Mabaraza ya Wafanyakazi

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Mhandisi Aisha Amour kuhakikisha anazisimamia Taasisi za Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) na Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) kuhakikisha zinaunda Mabaraza ya Wafanyakazi ambayo yanaundwa kwa mujibu wa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maoni na mapendekezo ya Mabaraza ya Maaskofu kuhusu Tume Huru na Sheria ya vyama vya siasa haya hapa

    ..Maoni ya CCT / Non-Catholic Churches. https://www.youtube.com/watch?v=2ou_i8vl-Tk
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kila siku mabaraza na vikao vinavyoitwa vya Demokrasia lakini vitendo hakuna

    Hawa wadau wanaoitwa wadau wa mabaraza ya demokrasia tangu 2021 wao ni vikao tu. Leo wako Dar kesho Dodoma keshokutwa Arusha. Kwa miaka miwili hatujaona impact wanazunguka tu kama mpira wa kona. Kwa kuwa wao ndio wenye Nchi waache kujisumbua tu. Swala la demokrasia ni gumu kwao. Wafanye...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Condester Sichalwe: Elimu ya Diplomasia ya Uchumi Itolewe Kwenye Mabaraza ya Madiwani ili Iwafikie Wananchi

    MHE. CONDESTER SICHALWE - ELIMU YA DIPLOMASIA YA UCHUMI ITOLEWE KWENYE MABARAZA YA MADIWANI ILI IWAFIKIE WANANCHI "Diplomasia ya Uchumi ni kipaumbele cha Wizara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki. Bajeti iliyopita nilichangia kuhusu vikwazo vya wafanyabiashara wanaoliendea soko la...
  17. comte

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Hakutakuwa na hand shake safari hii kila kitu kichukue nafasi kwenye bunge na mabaraza ya wawakilishi

  18. comte

    JamiiForums Tanzania Demokrasia sahihi ni kufanya siasa ndani ya bunge na mabaraza ya uwakilishi baada ya uchaguzi siyo maandamano

  19. Bibititi1

    JamiiForums Tanzania Mabaraza ya watu wenye heshima wanalitambua jina la Rais Samia

    Waswahili wana msemo Tabia hushawishi kwenye kundi mkitembea wacha Mungu na wewe utakuwa mwenye kumcha Allah, mkitembea Wezi pamoja na wewe utakuwa miongoni mwa wezi, Ukitembea na viongozi bora na wewe utakuwa miongoni mwa viongozi bora. Msemo huu unaumba kwa muktadha huu. 1. Rais Samia...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete amezindua Kikao kazi cha Mafunzo kwa Wenyeviti wa Mabaraza ya Ardhi

    MHE. RIDHIWANI AZINDUA KIKAO CHA WENYEVITI MABARAZA YA ARDHI NA NYUMBA, ASISITIZA UADILIFU NA KUKEMEA VIKALI RUSHWA. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete Jana Aprili 05, 2022 amezindua Kikao kazi cha Mafunzo kwa Wenyeviti wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba wa...
Back
Top Bottom