biblia

Byblos (Arabic: جبيل‎ Jubayl, locally Jbeil; Greek: Βύβλος; Phoenician: Gbl, probably Gubal) is the largest city in the Mount Lebanon Governorate of Lebanon. It is believed to have been first occupied between 8800 and 7000 BC and continuously inhabited since 5000 BC, making it one of the oldest continuously inhabited cities in the world. It is a UNESCO World Heritage Site.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Biblia imeandika Mungu alimuua Onani kwa kugoma kumpa mimba mke wa kaka yake, kwenye tendo alimwaga mbengu nje. Je uzazi wa mpango ni dhambi?

    habari wadau. kwenye Biblia kitabu cha mwanzo 38 : 8 kimeandika kupitia Yuda onani aliagizwa na Mungu atembee na mke wa marehemu kaka yake . Onani akatii hilo agizo. ila alivyokuwa anafanya nae Mapenzi. onani aliamua kumwaga mbegu nje . Mungu alikasirika na kumpa adhabu ya kifo Onani...
  2. Wasabato mnadai Kanisa Katoliki ni alama ya mpinga kristo lakini bado mnaamini Biblia waliyoindaa Karne 16 zilizopita?!

    Wadau hamjamboni nyote? Nimekuja na mada kama ifuatavyo Mabaraza ya Makadinali wa Kanisa Katoliki kwenye Mtaguso wa Roma (382) na Trento (1546) walisimamia mchakato wa kuchambua, kupangilia pamoja na kuidhinisha vitabu 73 - 46 katika Agano la Kale na 27 katika Agano Jipya - ambayo...
  3. Je Biblia inajipinga yenyewe katika maandiko yake mfano Zaburi 109 inapingana na Mathayo 18:21?

    Zaburi 109:Hii ni zaburi ya Daudi inayojulikana kama "Zaburi ya Kulaani." Katika zaburi hii, Daudi anamlilia Mungu awaadhibu maadui zake kwa maneno makali na malalamiko mazito. Mfano, katika Zaburi 109:9, Daudi anaomba Mungu, "Watoto wake na wawe mayatima, na mke wake awe mjane." Mathayo...
  4. Hivi Mungu wenu bado yupo au amekufa? Au zile zilikuwa hadithi tu za vitabuni?

    Ujue siwaelewi. Nashindwa kuelewa mpaka sasa huyo Mungu anayepata sifa kede kede katika hivyo vitabu vyenu Biblia na Quran mpaka sasa hizo sifa zake ameshindwa kuzionesha kwa wafuasi wake. Angalia wafuasi wake pale Palestine wapo tayari kwa nguvu zao kulinda ule msikiti usitwaliwe na waisrael...
  5. T

    Biblia Mwanzo 4: Kwa nini Kaini baada ya kumuua Abel, aliogopa watu wengine watamuua, hao watu ni kina nani?

    Msingi wa dini uko kuanzia mwanzo 1 inayoelezea uumbaji wa Mungu wa binadamu wa Kwanza. Baada ya Adamu kuubwa, alipewa mke wake akamuita Eva, wakazaa watoto 2, mmoja Abeli mwingine Kaini. Hao watoto mmoja akawa mkulima (Kaini) na mwingine Abel mfungaji. Mmoja, Abel akapata kibali machoni pake...
  6. Biblia na Quran vinachangia kiasi gani kwenye Pato la taifa? Watumiaji wa vitabu hivi acheni kuwasakama walevi, wao ndio wanajenga taifa letu

    Inasikitisha sana. Vitabu vya dini havina Kodi, kama vina Kodi basi ni kidogo sana. Pombe zinaingizia Serikali faida kubwa kupitia Kodi. Hivyo walevi ndio wajenga nchi yetu. Barabara zetu, shule, vituo vya afya na mambo mbalimbali ya kimaendeleo yanategemea zaidi walevi kuliko walei. Cha...
  7. Biblia inaonesha kurejea vitabu vingi ambavyo havipo: Je, kuna siri imefichwa?

    Katika mambo yanayoshangaza ni namna Biblia inavyoonesha kurejea vitabu vingi ambavyo havipo ndani yake. Swali la kujiuliza ni je vitabu hivyo vimetajwa tu havipo au vimeondolewa? Na kama vimeondolewa ni kwa nini? Ni nani anafaidika na kutokuwepo kwa vitabu hivyo? Angalia namna maandiko haya...
  8. M

    Biblia imesisitiza zaidi kwenye kusaidia zaidi wenye uhitaji na sio kumtajirisha mmiliki/mchungaji au nabii wa kanisa kwa kigezo cha zaka na sadaka.

    Kwenye nyakati tulizopo kumekuwa na utapeli mkubwa miongoni mwetu wakristo kuhusu mambo ya zaka na sadaka. Kuna viongozi baadhi hutumia biblia vibaya kuwatisha waumini wao kwamba inatakiwa sadaka (pesa) zote zipelekwe kanisani. Wengine wameenda mbali zaidi kuwa hata kile kidogo ulicho nacho...
  9. Mgogoro Hamas vs Israel: Bunge lapitisha sheria inayotoa ufafanuzi wa 'Chuki dhidi ya Wayahudi' ili Idara ya Elimu itekeleze sheria ya kupinga ubaguzi

    Wanaukumbi. Bunge la Marekani limepitisha kitendo ambacho kinapiga marufuku kabisa kuongea na kupinga Israel. Hata ukihubiri sehemu za biblia zinazosema wazi siku ambazo Wayahudi walimuua Kristo utakamatwa. Sheria ya "antisemitism" ambayo imepitishwa hivi punde katika Bunge HAIFAI tu kuwa...
  10. R

    Inawezekanaje kuimarisha Maadili katika JAMII Kwa kuondoa Biblia mashuleni?

    Salaam, shalom!! Kwa kuanza, naomba kudeclare, Rabbon ni mwalimu wa neno la Mungu katika ngazi ya watoto. JAMII ya kitanzania, inatahamaki kushuhudia mmomonyoko mkubwa wa Maadili na wanaolaumiwa ni wazazi. Nichukue fursa hii kuwakumbusha JAMII kuwa, watoto wetu, wanakaa mashuleni masaa mengi...
  11. Uchumba unazungumzwaje kwenye biblia?

    Ingawa neno “uchumba” halipatikani katika Bibilia, tumepewa kanuni kwamba Wakristo wanastahili kupitia kabla ya ndoa. Kanuni ya kwanza ni kwamba ni lazima tutafautishe mtazamo wa dunia kuhusu uchumba kwa sababu mtazamo wa Mungu wahitilafiana na ule wa dunia (2 Petero 2:20). Huku ikiwa mtazamo wa...
  12. Biblia zenye maudhui ya Ushoga zadaiwa kuingia nchini

    Wakati serikali, wanaharakati na wapenda amani wakipambana dhidi ya kuenea kwa vitendo vya kishoga na kisagaji, mashabiki wa mambo ya ushoga na usagaji wameanza kuingiza vitendo hivyo hapa nchini kupitia kwenye biblia kwa kasi ya kutisha. Biblia hizo zimenyofolewa baadhi ya vifungu vyenye...
  13. Soma biblia kama mwanafunzi anayejiandaa kufanya mtihani

    Habari zenu wadau nimewaletea somo hili muhimu kwa wale wote wakristo kwa lengo la kufundishana na kukukumbasha ili sote tuweze kutenda sawa sawa na maandiko yanavyotutaka Biblia inafundisha kila kitu katika maisha yetu haya tunayoyaishi Biblia inatufundisha kufakari neno la Mungu usiku na...
  14. Msanii Diamond ashambuliwa kwa kusoma Biblia

    Yale yale, ukisoma comments za kwenye hii video yaani utadhani jamaa sijui kaua au kafanya nini yaani, watu wanaishi kimajungu majungu na hasira za kufa mtu. Mfuasi yeyote wa dini ya Kiislamu akisikika kataja chochote cha dini nyingine wanamjia juu balaa.
  15. Trump atoa biblia yake.Ina bendera na katiba ya US pamoja na mwimbaji ampendae

    Huku uchaguzi wa Marekani ukikaribia na Donald Trump akikabiliwa na matatizo mengi kisiasa pamoja na ukata wa kifedha,ameona achapishe biblia yake ya kizalendo ambayo juu imepambwa na bendera ya Marekani na kuandikwa Mungu ibariki Marekani. Ndani ya biblia hiyo Trump ameweka mistari ya katiba...
  16. Biblia: Usimpendelee maskini wala kumwogopa mwenye cheo

    Walawi 19:15 BHN‬ “Unapotoa hukumu uamue kwa haki; usimpendelee maskini wala kumwogopa mwenye cheo. Bali ni lazima kumwamua jirani kwa haki."
  17. Wanawake muolewe. Wanawake waliofanya mambo makubwa katika Biblia walikuwa ni wake za watu

    Ni Ibris ndio anakudanganya eti ukiwa siglemama ndio utafanikiwa, utakuwa huru na utajitawala. Wale ambao kama mimi wameruhusu akili zao ziathiliwe na Biblia watajua wanawake wenye ushawishi, matajiri na wanawake wa maana wenye adabu walikuwa ni wake za watu, sio Masingle mama au wanakejeli...
  18. Biblia wanayotumia Wakotoliki na wanayotumia Walutheri pamoja na madhehebu mengine ni tofauti?

    Nayasema haya ni kutokana na kukutana na biblia ya ndugu yangu ambae ni mkatoliki, sasa wakati naisoma nikaona mbona inautofauti. Utofauti nimeukuta kwenye baadhi ya vifungu ndani ya biblia, japo unakuta maudhui yako sawa ila maneno yanatofautiana. Mawazo yangu(nikafikiri au ndo zile habari...
  19. Kwa Mujibu wa Biblia Takatifu, "Machawa" walitendwa hivi

    Kama kuna kitu kilikua hakivumiliki kwenye miaka hio ilikua ni "uchawa". Machawa waliuliwa/uwawa upfront bila kupoteza muda. Natamani Sana Enzi zile zingerudi, tungepoteza Vijana wengi Sana. 2 Samweli 4:10 [10]mtu mmoja aliponiambia, akasema, Tazama, Sauli amekufa, akidhani ya kuwa ameleta...
  20. U

    Biblia haijamilika inahitaji msaada wa nje, haiwezi kujisimamia

    BIBLIA HAIJAMILIKA INAHITAJI MSAADA WA NJE, HAIWEZI KUJISIMAMIA, Huruhusiwi kuongeza mke Ndoa itavunjwa tu patapokuwa na ushahidi moja wenu anazini nje ya ndoa Kutengana ni mpaka kifo ndipo unapoweza kuoa upya, Haijalishi hata kama mwanaume ananyimwa tendo mwaka mzima, haruhusiwi kuongeza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…